Mkuchika ni Waziri Kazi Maalum, hii ilikuwepo pia enzi za Mwalimu Nyerere

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
43,433
2,000
Wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa Mzee Kawawa

Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri "kiraka"

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
 

Mzee23

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
1,307
2,000
Wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa mzee Kawawa

Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri " kiraka"

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani Jafo kapelekwa wapi? Maana Madam President amesema hajamwacha mtu!
 

park don

JF-Expert Member
Dec 2, 2017
1,426
2,000
Huyu mzee si walisema amekata moto, anywy yule mzee anamatch na kila kizazi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom