The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,191
- 13,614
Yani Mama Samia Rais wa jamhuri ya muungano alipokuwa akihutubia waziri mpya wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba mara kwa mara alikuwa akisimama na kuinamisha kichwa na kukaa. Hata wajapani kwa nidhamu hii hawana. Jamaa alizidisha sana. Mara moja tu yatosha. Nidhamu ya uwoga.