Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimesikia tetesi kuwa serikali imezuwia sherehe za xmass. Nilishituka sana kusikia hilo, nikajiuliza sababu ni nini? Sikupata jibu sahihi. Nikawaza labda uzuwia wanaofurahia magufuli kutangulia...
13 Reactions
147 Replies
10K Views
Tusiposema sasa mawe yatasema. Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo, ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania. Haya ni mambo ambayo Tanzania hatukuyazoea...
42 Reactions
440 Replies
31K Views
Wale ndugu zangu tulioumizwa na kuamua kuondoka tusikubali kurudi haraka haraka maana hawa waliotuumiza ndio hawahawa wanaotutaka turudi tena Tanzania tusikubali kirahisi. Huyu Waziri wa fedha...
32 Reactions
99 Replies
9K Views
MFUMO WETU WA ELIMU UNAHITAJI KUTAZAMWA KWA 'JICHO' LA PEKEE LA SIVYO TUTAENDELEA 'KUZINGUKA' Mheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, Niungane na watanzania wenzangu kukupongeza kwa hotuba...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Nahisi chini ya mama Samia CCM inaonekana kuimarika zaidi.naona kama kwa sasa CCM haina mpinzani tena. Kwa kweli inaonekana vijana sasa wameamua kuimba mapambio ya CCM. Kidumu Chama cha Mapinduzi.
1 Reactions
9 Replies
836 Views
Tanzania ni nchi ambayo tumependelewa na Mungu. Nchi ambayo wananchi wake ni wapole na taasisi zake ikiwemo idara ya ujasusi na vyombo vya usalama ni imara mno na ambavyo haviwezi kuruhusu mtu...
37 Reactions
102 Replies
10K Views
Mh. Rais Samia Suluhu ni kama Rais wa Serikali ya Awamu ya 6. Huyu mama hakuwepo kabisa awamu ya 5. Ni Rais mpya ambaye hakuwahi kuwepo katika Serikali iliyopita. Kama alikuwepo haya...
2 Reactions
9 Replies
956 Views
Sasa DG mpya usipoyatafutia ufumbuzi utatumbuliwa within no time haya matatizo hapa chini, nawe utatumbuliwa. Ujue kuwa huyu ameondoka kwa matatizo haya chini! 1. Kwa muda mrefu wateja wa simu...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Katika tathmini ya maendeleo ya Mkoa Wa dar es salaam naomba Leo nianze na Jimbo la kigamboni linaongozwa na Dk.Faustine Ndunguli ambaye pia ni naibu waziri wizara ya afya(CCM). A) KIELIMU Jimbo...
6 Reactions
70 Replies
7K Views
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amehudhuria ibada takatifu ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma. Mheshimiwa Mpango akiwa...
1 Reactions
112 Replies
10K Views
Kati ya hivi ni kipi kinafanya uchumi wa nchi na uchumi wa mtu mmoja kukua 1. Je kutoza kodi kubwa kunafanya uchumi kukukua? 2. Je kutoza kodi kidogo kunafanya uchumi Kukukua? 3. Je...
1 Reactions
4 Replies
977 Views
Tumeanza kuona baadhi ya Wanasiasa na wakereketwa wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakishindindana kwa kasi kuukosoa utawala wa Hayati Dkt.Magufuli . Hawahawa ndio walikuwa waungaji mkono wakubwa wa...
16 Reactions
25 Replies
2K Views
Mheshimiwa Raise wangu, kumekuwa na maoni mengi sana hasa katika kipindi hiki. Ni sawa, ni kweli isiyopingika kuwa hutoweza kukidhi takwa la Kila moja wetu bali kusimama imara na kuipa taifa kipau...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwanza naomba nikupongeze kwakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumteua Waziri mpya TAMISEMI najua uchapaji wake kazi sio wa kitoto. Naomba mama ikikupendeza tendea haki uhamisho wa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
"...Nina maradhi gani na katiba..?" Alilalama aliyepata maradhi...! Na nadhani maradhi yake ni haya Alikuwa makamu mwenyekiti wake katika hilo bunge la katiba iliyoleta maradhi. Kwa ushirikiano...
6 Reactions
15 Replies
863 Views
"SIKIA SAUTI YA WANYONGE': Tangu awamu ya mheshimiwa hayati Magufuli ilipoanza,mfumo wa ajira ulipinduliwa. Tulikuwa tunategemea kila mwaka ajira zipo hasa kwa idara ya afya,walimu, na kilimo...
4 Reactions
56 Replies
7K Views
Anaandika Diwani wa Kata ya Kongolo- Magu na Mwanafalsafa Herbert Faustine ____________________________________ MAMA JANETH USISOME ANACHOANDIKA KIGWANGALA. Sitaki kurudia alichoandika Hamisi...
32 Reactions
39 Replies
6K Views
Mh. Rais Mama Samia Suluhu naomba utoe kauli ya Kuwaruhusu Vyama vya Upinzani kufanya siasa zao kwa Uhuru ikiwepo mikutano ya hadhara kama zama za Mzee Jaka Kikwete. Sheria inawaruhusu ila tamko...
0 Reactions
1 Replies
747 Views
Hakika nimekuwa najiuliza maranyingi kuhusu Nani Waziri Mkuu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nimekuwa nafuatilia shughuli mahususi wanazozifanya mawaziri wakuu katika pande zote mbili...
0 Reactions
2 Replies
921 Views
Hii ni hotuba kama ya nne ya Rais Samia, na mpaka sasa nilichokichunguza ni kwamba, huyu ni Rais ambaye anajipambanua kuwa na itikadi za kiuchumi za 'Free markets' ambazo ndizo haswa zinazofanya...
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…