Ni ushauri mzuri kabisa ambao kama ukifuatwa basi mambo ya kubambikia kesi watu na walipakodi kuonewa kutakwisha. Hii kitu Lissu aliisema sana wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango amewasili Jijini Dodoma akitokea Dar es Salaam alikohudhuria hafla ya uapisho wa Makatibu Wakuu, Manaibu...
Wengi hudhani unavyokiona ndivyo kilivyo bila utafiti na takwimu za kutosha na kutolea maamuzi.
Angalia sasa tunainamisha nyuso kabla hata jua halijachomoza. Watz tumezidi kukurupuka hata kabla...
Huko nyuma, wale watu waliokutwa na virusi vyenye kusababisha ukimwi au ubakwaji, walikuwa wanaitwa waathirka (victims). Lakini kadri muda unavyoenda imegundulika hizi ni lugha zenye kurudisha...
Tume ya Uchaguzi (NEC) imetupilia mbali pingamizi lililowekea na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Muhambwe (CCM) Dkt. AFlorence George Samizi dhidi ya Mgombea wa ACT-Wazalendo, Masabo Julius Joseph...
Huu ujasiri Watanzania tunaupata wapi?
TCRA, Polisi , wako kimya, wameshindwa kumkata huyu aliyefoji account ya Mzee Kikwete?
Mmeshindwa kwa Kigogo, na Sasa mmeshindwa tena kwa huyu anayechafua...
Nimesikia tetesi kuwa serikali imezuwia sherehe za xmass.
Nilishituka sana kusikia hilo, nikajiuliza sababu ni nini?
Sikupata jibu sahihi.
Nikawaza labda uzuwia wanaofurahia magufuli kutangulia...
Mambo ya kitemi na kutishana sasa mwisho ni lazima watendaji watende kwa mujibu wa sheria.
Dr Kigwangalla kawaombe radhi wale askari wanyama pori uliowapigisha push ups ( mzaha siyo mzaha)...
Tusiposema sasa mawe yatasema.
Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo, ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania.
Haya ni mambo ambayo Tanzania hatukuyazoea...
Wale ndugu zangu tulioumizwa na kuamua kuondoka tusikubali kurudi haraka haraka maana hawa waliotuumiza ndio hawahawa wanaotutaka turudi tena Tanzania tusikubali kirahisi.
Huyu Waziri wa fedha...
MFUMO WETU WA ELIMU UNAHITAJI KUTAZAMWA KWA 'JICHO' LA PEKEE LA SIVYO TUTAENDELEA 'KUZINGUKA'
Mheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, Niungane na watanzania wenzangu kukupongeza kwa hotuba...
Nahisi chini ya mama Samia CCM inaonekana kuimarika zaidi.naona kama kwa sasa CCM haina mpinzani tena.
Kwa kweli inaonekana vijana sasa wameamua kuimba mapambio ya CCM.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Tanzania ni nchi ambayo tumependelewa na Mungu. Nchi ambayo wananchi wake ni wapole na taasisi zake ikiwemo idara ya ujasusi na vyombo vya usalama ni imara mno na ambavyo haviwezi kuruhusu mtu...
Mh. Rais Samia Suluhu ni kama Rais wa Serikali ya Awamu ya 6. Huyu mama hakuwepo kabisa awamu ya 5. Ni Rais mpya ambaye hakuwahi kuwepo katika Serikali iliyopita.
Kama alikuwepo haya...
Sasa DG mpya usipoyatafutia ufumbuzi utatumbuliwa within no time haya matatizo hapa chini, nawe utatumbuliwa. Ujue kuwa huyu ameondoka kwa matatizo haya chini!
1. Kwa muda mrefu wateja wa simu...
Katika tathmini ya maendeleo ya Mkoa Wa dar es salaam naomba Leo nianze na Jimbo la kigamboni linaongozwa na Dk.Faustine Ndunguli ambaye pia ni naibu waziri wizara ya afya(CCM).
A) KIELIMU
Jimbo...
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amehudhuria ibada takatifu ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma.
Mheshimiwa Mpango akiwa...
Kati ya hivi ni kipi kinafanya uchumi wa nchi na uchumi wa mtu mmoja kukua
1. Je kutoza kodi kubwa kunafanya uchumi kukukua?
2. Je kutoza kodi kidogo kunafanya uchumi Kukukua?
3. Je...
Tumeanza kuona baadhi ya Wanasiasa na wakereketwa wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakishindindana kwa kasi kuukosoa utawala wa Hayati Dkt.Magufuli .
Hawahawa ndio walikuwa waungaji mkono wakubwa wa...
Mheshimiwa Raise wangu, kumekuwa na maoni mengi sana hasa katika kipindi hiki. Ni sawa, ni kweli isiyopingika kuwa hutoweza kukidhi takwa la Kila moja wetu bali kusimama imara na kuipa taifa kipau...