Fake Kikwete's Twitter Account

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,325
Screenshot_20210406-193932.png

Huu ujasiri Watanzania tunaupata wapi?
TCRA, Polisi , wako kimya, wameshindwa kumkata huyu aliyefoji account ya Mzee Kikwete?

Mmeshindwa kwa Kigogo, na Sasa mmeshindwa tena kwa huyu anayechafua na kuharibu image ya rais mstaafu.
 
hahaha, ila pia title ya huu uzi ina shida, ukisema kikwete's unamanisha ni ya kikwete maana hiyo 's hutumika kuonesha umiliki kwa mujibu wa English ya std 1

Nadhani title ipo sahihi kabisa na inaendana na maudhui ya uzi.

Hebu angalia sentensi hizi mbili:

- Fake Kikwete's Twitter Account.

- Kikwete's fake Twitter Account.

So, title na contents vinareflect na kuzungumzia 'Twitter Account ya Kikwete feki'. Au 'Kikwete feki kwenye Twitter Account'.

Ufeki wa mtu (Personification). Na wala sio ufeki wa Twitter Account.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom