Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Alichokifanya Ole Sabaya Mkuu wa WIlaya ya Hai ni kumdhibiti OCD ndio maana Kwa sasa ukiona anayoyafanya OCD wa Hai, Mkuu wa WIlaya, Ole Sabaya yuko nyuma yake. Huyu OCD anahojiwa na Tume...
9 Reactions
52 Replies
7K Views
Rais John Magufuli leo Novemba 3 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Prof. Mussa Assad Prof. Assad aliteuliwa na Rais Mstaafu...
23 Reactions
676 Replies
98K Views
Ukifatilia kwa makini mjadala unaoendelea wa kauli ya Rais dhidi ya vyombo vyahabali utajiuliza nini hofu ya serikali dhidi ya vyombo habari, hii nikwasababu haihitaji mtu uwe na PHD kuelewa kuwa...
2 Reactions
2 Replies
847 Views
Makabwela ambao wametoa malalamiko lukuki ya malipo ya bando jipya wamemlazimisha Rais Samia Suluhu kufutilia mbali post yake ya Twitter aliyoitoa ambapo alitoa taarifa rasmi ya kuwasili Dar leo...
32 Reactions
131 Replies
18K Views
Great thinker tusaidiane kuchambua uteuzi uliofanyika Jana na Mh.Rais ili kutambua ingizo jipya ni akina na CV zao kwamba walikuwa wapi kabla ya uteuzi, na waliotenguliwa ni akina nano Nimeomba...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kamanda Mambosasa ameonyesha chumba alichokuwa amehifadhiwa MO alipotekwa! Ameeleza kuwa alikuwa akilazwa chini kwenye godoro akiwa amefungwa huku akiwa hawezi kuona lakini alikuwa akiachiwa...
4 Reactions
103 Replies
14K Views
Bado naomboleza kifo cha Jemedari Dkt. John Pombe Magufuli, Mzalendo wa KWELI asiye na UNAFIKI katika maslahi na ustawi wa watu wake na upendo kwa nchi yake, yaani Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
13 Reactions
37 Replies
4K Views
Frankly speeking, regardless my political view, nimekuwa nikijiuliza ili swali kwa muda mrefu kidogo. Wakati awamu ya 4 ya Mh Kikwete inaingia madarakani, kauli mbiu zake kama sijasahau zilikuwa...
7 Reactions
80 Replies
5K Views
Hi vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu Bashiru msomi wa chuo...
115 Reactions
304 Replies
35K Views
Wanabodi, Wana CCM wa kuja au wavamizi wanaompinga Mama Samia Suluhu hawakutegemea mabadiliko ya ghafla ya kuondoa sera kandamizi. Mimi ni mwana CCM. Kati ya mwaka 2017 mpaka 2020 Chama...
22 Reactions
41 Replies
3K Views
Mwanzoni niliposikia ujenzi wa Uwanja wa ndege Chato, basi nilidhani wameamua kumtengenezea mzee walau "Airstrip" tu ili iwe rahisi kwake kufika mpaka kijijini kwake kwa njia ya anga, kuepusha...
252 Reactions
633 Replies
105K Views
Wanajamvi: Kwa wale Wakristu, wanafahamu matukio muhimu yaliyojiri baada ya Yesu Kristu Kufa Msalabani. Kwanza, Dunia ilitetemeka kuonyesha kuwa yule aliyekuwa msalabani ni Mungu anayetawala...
5 Reactions
55 Replies
5K Views
Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba...
38 Reactions
201 Replies
19K Views
HII NAFASI YA MOHAMED DEWJI NI KUBWA SANA. Na Thadei Ole Mushi. Kwa Tanzania leo habari kubwa ingetakiwa kila mahali iwe ni Mohamed Dewji kuteuliwa kuingia kwenye Jopo la washauri watano...
14 Reactions
53 Replies
5K Views
Salam kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI IENDELEE !!! Ama baada ya salam waswahili wanasema Muungwa akivuliwa nguo huchutama ... !!! UVCCM chutameni kwanza na muinamishe vichwa chini...
9 Reactions
34 Replies
3K Views
Huu ujinga unao tumia watu wakuoshe haita saidia. Mh. Rais anakujua kuliko unavyo dhani, na aliwah kukupa onyo ukadharau kwa kiburi cha jiwe. Mkuu wa mkoa alikuonya ukawa unapandshia mabega...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimepewa dokezo kwamba leo CAG atawasilisha ripoti yake Bungeni. Japo naona taarifa hazijawekwa wazi sana lakini tusubiri muda sio mrefu kila kitu kitakuwa wazi. Hali ni mbaya sana kwa TAMISEMI...
12 Reactions
52 Replies
5K Views
Katiba yetu ni nzuri sana ndio maana mambo yote yameenda kwa amani kabisa ndani ya siku 21 za maombolezo. Katika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha...
1 Reactions
57 Replies
4K Views
Wapinzani ni kama manabii, wabashiri na watabili na huwa wanachokisema kinatokea, mimi nawaona kama ni watu muhimu sana kiroho hawa wapinzani wa Tanzania. Wakatia wa awamu ya nne ya Mzee Jakaya...
1 Reactions
8 Replies
928 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…