Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katiba ama Rais wa jamuhuri ya Tanzania siujui kipi kipo juu ya mwingine! Mimi nilidhani katiba, maana kwa anayejaribu kuivunja katiba adhabu yake ni ndogo sana kumzidi anayetaka kumpindua rais...
0 Reactions
5 Replies
856 Views
Katika utawala wa JPM mwanamke aliyekabidhiwa kazi ngumu na akaimudu bila kujitutumua au kuonyesha ule uwanawake au kuonyesha kukwamishwa na mfumo dume ni Kamishna Jenerali wa Uahamiaji Dkt. Anna...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Hakuna nchi yoyote duniani iliwahi kuendelea bila kuwekeza kwenye elimu.Tumeshuhudia fedha nyingi sana zikitumika kwenye uwekezaji wa miundo mbinu mikubwa,ingawa miundo mbinu ni muhimu maendeleo...
1 Reactions
1 Replies
732 Views
Najua wapo watakao sema ni ukatili, hapana. Kama ambavyo wafanyakazi wanao lipwa sh hata laki nne kwa mwezi hukatwa Kodi kila mwezi, ni wakati wa wafanyabiashara tajwa kulipa Kodi halali itakayo...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Kulwa Mzee, Dar es Salaam Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), ameshauriwa kukamilisha upelelezi ndani ya muda mfupi ama kuiondoa mahakamani kesi ya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za...
10 Reactions
111 Replies
16K Views
Chagua kati ya kundi mnyonge au maskini : Mnyonge ukumbozi wake ni kuua wanyongaji wa mnyonge. Haijalishi awe ni mleta maradhi, mchawi, wasiotenda haki, wezi, matajiri, mabeberu, viongozi, na...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Mabibi na mabwana inatia moyo kuwa tuna mwanzo mpya. Katika awamu ya 6: 1. Urasimu uliokuwapo sasa unapigwa vita. 2. Upigaji mkubwa wa pesa uliokuwapo unapigwa vita. 3. Ugonjwa wa Corona uliopo...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
HATUA ya serikali kuelekeza miradi mikubwa zaidi ya sita ikiwemo ujenzi wa bandari na uwanja wa ndege wa kimatiafa wilayani Bagamoyo, alikozaliwa Rais Jakaya Kikwete imepingwa na wapinzani...
0 Reactions
396 Replies
38K Views
Mungu hutembea katika maagano, maagano ambayo hufanyika Kati yake na wanadamu aliowaumba akawapa thamani ya Kwanza Kati ya viumbe vyake Vyote. Mandalio ya moyo ni ya Mwanadamu, lakini jawabu la...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Napenda kutumia fursa hii kumkumbusha mama yetu, Rais Samia Suluhu Hassan kuwa wale wapiga deal waliolitesa taifa hili kabla ya Utawala wa Awamu ya Tano bado wapo mjini, wanaishi kwa matumaini na...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimesikiliza hotuba ya jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachana nalo. Jambo gani hili? Akiachana...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Kila kukicha unasikia mipango mipya ya maendeleo ya Serikali itatekelezwa au kuanzia Bagamoyo na kumalizikia Katavi. Mfano ni hii ifuatayo: 1. Ujenzi wa chuo kipya cha IFM utafanywa eneo la...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Haya ndiyo Mama Samia amekataa ona Mwaka 2018 polisi walivyoshirikiana na TRA kwa nguvu kukusanya Kodi
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakati Chama cha Mapinduzi kikiendelea na michakato ya kupanga safu za uongozi kufuatia kuondoka kwa Mwenyekiti Hayati John Pombe Magufuli, nini hatima ya wanachacshama waliohamia chama hicho kwa...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nimejaribu kuangalia vilio na mayowe wanayotoa mataga kila kona ya Tanzania bila kutoa sauti ,wakinungunika na kutokumkubali raisi wetu mpendwa, nimegundua kuwa. Mama anapigania...
4 Reactions
3 Replies
798 Views
Kwenye Serikali ya mifumo hakuna kuonyanya, hakuna kuagizana, hakuna kutishia, hakuna kutoa wiki wala masaa. Mifumo inafanya kazi hata kama Viongozi wote wamepugwa Mabomu na kufa. Ni sawa na ule...
2 Reactions
5 Replies
788 Views
Kuna watu wanaamini kuitwa Dr au Prof ndo wamesoma na wana suluhu ya matatizo ya Dunia. Wanasahau kwamba hizo elimu siyo uwezo wa kudeliver. Natabiri muda wowote kuanzia Sasa wenye dharau kwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa makatibu wakuu, naibu makatibu wakuu na wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali. ======= Baadhi ya mabadiliko - Alphayo Kidata ameteuliwa kuwa...
29 Reactions
904 Replies
128K Views
Nilikusikia ukijibu hoja ya Dkt Albanie alipokutaka uwaombe radhi Watanzania kwa kuwafungia bunge live. Ulikataa kwa hoja za kisiasa sana. Kumbuka watanzania walilalamikia jambo hili na...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Rais wetu mama samaia suluhu hassani ameongeza furaha ndani ya taifa letu Tanzania. Wananchi wameanza kuzungumza bila hofu kwa muda mfupi na kwa kasi kubwa sana. Hofu inaondoka ndani ya wananchi...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom