Kabla ya utawala wa awamu ya tano kuingia 2015, vyombo vya habari na waandishi wa habari kitaaluma nchini vilikuwa na uhuru walau wa asilimia 70 ya kufanya kazi kitaaluma na wasihofie baya lolote...
Wapinzani wa Nchi hii kwa hakika ni janga!
Leo wamesahau ajenda zao na kutwa kuchwa wanacheza mdundiko wa CCM tu.Wamesahau kabisa Samia ni mwana CCM na yupo pale kwa sababu ya CCM.
Anyway,mimi...
Ndani ya siku 18 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara HAPANA, siyo kwamba ameajiri HAPANA, siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani HAPANA
bali ni...
Wakati wa awamu ya Mzee Mwinyi tukitoka kwenye mfumo wa dola kama ndio engine ya uchumi tulifungua milango na madirisha kwa wawekezaji. Waliingia wababaishaji na matapeli wa kila aina wakijifanya...
Sasa ndio kazi mijibaba mikubwa mikubwa naiona ikinyenyekea kwa Sultana Samia,yaani Tanzania ni pekee duniani stresi ni tatizo linaloondoka bila ya kutumia makemikali.
karibu tutaona zile shangwe...
Iramba imebahatika sana baada ya Uchaguzi wa Mwaka jana 2020.
Katika mkoa wa Singida kama sikosei ni Iramba pekee iliyotoa mawaziri.
Tuna Waziri Dr. Mwigulu Nchemba, Prof. Kitila Mkumbo...
Hayo yamesemwa na Dr. Elisha Osati, Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) leo Mei 27, 2020
FULL TEXT:
Leo tumekuja kuzungumza nanyi Waandishi wa Habari kuhusu tathmini ya Corona hapa...
Ndugu Wana Jamii,
Tumeanza kusoma hisia tofauti, za watu tunaoweza kuwahisi ni wapinga maendeleo au wanaotaka kujaza matumbo yao binafsi kwa kutumia madaraka walioaminiwa na jamii, juu ya kauli...
Nimekuja na uthibitisho hapa unaonyesha jinsi wapinzani walivyo wanafiki.
Wanatuchanganya watanzania
Wao ndio walio ishauri serikali inunue ndege na kufufu ATCL leo tena hao hao ndio wapingaji...
Heshima kwenu Wana JF,
Katika pitapita zangu huku mitaa ya mtwara na kujaribu kuongea na wanamtwara kwa wakati tofauti kutaka kujua deep down ya machafuko yaliyotokea katika juma la jana nini...
Moja ya changamoto kubwa inayokabili watawala wetu nikuaminishwa kwamba usipokuwa Mwenyekiti wa chama hautoweza kuongoza Nchi. Hii ni doctrine imewekwa kulinda maslahi ya chama na kumfanya Rais...
Toka awamu ya tano iingie madarakani matukio ya kutekwa, kushambuliwa na kuuawa yalikuwa yakidaiwa kutekelezwa na watu wasiojulikana.
Hadi hii leo ninapotoa ombi langu hili kwako, watekelezaji...
Wana JF,
Kuna thread ilianzishwa na kila mtu akawa anatoa kile anachokifahamu juu ya Ridhiwani. Mimi nimekusanya yale yaliyotolewa na kuyaweka pamoja. Swali langu kuna uhusiano gani kati ya mambo...
Maendeleo yoyote yawe binafsi au ya nchi hayaji bila kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu.
Heshima katika kazi ndio msingi wa kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu.
Watu wakifanya kazi kwa nguvu...
Sasa upepo wote umehamia kwa Samia, tumesahau kabisa kua serikali imetoa agizo lakini hadi leo kuna mitandao haijatekeleza na hata.
Tunataka ile menu ya zamani, kwa nini hatuna ajenda yani...
Ifuatayo ni miradi inayoendelea au ipo njiani kuanzisha wilayani Bagamoyo au Mbegani au Mkoa wa Pwani kiujumla
(i) EPZ zone mbali ya kuwa kuna Kamal EPZ
(ii) Turkish University in Tanzania
(ii)...
Kama kichwa kinavyojielekeza ninakusudia kueleza ni kwa namna gani umaskini ambao umekua ndio nyenzo muhimu katika kukamata nyazfa muhimu Serikalini na jinsi unasababisha umaskini kuongezeka...
Mtu akiwa Rais hata kwa kupindua nchi Ni Rais huyo,
Akiwa Rais kwa kuchaguliwa kidemokrasia Ni Rais huyo,
Akiwa Rais kwa kuiba kura ni Rais huyo.
Mtu aliyekalia kiti Cha Urais Ana Upanga wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.