Kuna mtu mwenye Phd anatumbuliwa, iwe fundisho kwa wenye viburi vya elimu

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Kuna watu wanaamini kuitwa Dr au Prof ndo wamesoma na wana suluhu ya matatizo ya Dunia. Wanasahau kwamba hizo elimu siyo uwezo wa kudeliver.

Natabiri muda wowote kuanzia Sasa wenye dharau kwa sababu ya Phd wataanza kurudi vyuoni. Waliaminishwa kwamba wizarani na kwenye taasisi nimaeneo ya kwenda kulecture watu badala yakuwa sehemu ya team work kufanikisha malengo ya serikali.

Nchi haiendeshwi na haitaendeshwa unavyotaka wewe na elimu yako, nchi itaendeshwa kwa matakwa ya wasiosoma na waliosoma.

Wasomi acheni dharau la sivyo mtarudi vyuoni siku si nyingi na kuwaachia watu ambao ni creative ndio waendeshe taasisi za umma

We are done with ""UMIMI" we are looking forward to those who think about us.

Endeleeni kuamini nchi inategemea mnyororo wa cv mtanikumbuka. Fanyeni kazi na heshimuni watu
 
Back
Top Bottom