britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Haya ndiyo Mama Samia amekataa ona Mwaka 2018 polisi walivyoshirikiana na TRA kwa nguvu kukusanya Kodi
Haya ndiyo Mama Samia amekataa ona Mwaka 2018 polisi walivyoshirikiana na TRA kwa nguvu kukusanya Kodi
Mkuu na MUNGU pia anamakusudi yake kumwondoa magu alikuwa anatupelekaa pabayaa uku akiwaadaa watanzania na maneno mm raic wa wanyongeHawa kenge wametesa sana watu,sijui wanajisikiaje waliobaki?
Hakika Mungu ameamua kuwafuta machozi watu wake
Naona Mataga mmechanganyikiwa mpaka mnaandika kilimbukeni aka kisukuma.Hii sio habari ambayo iko balanced. Sasa kama ndio ushauri huu anapewa Mama si nchi ibaendexkumshinda! Unasaidi yatima na jamii kwa fedha yao uliyo waibia kupitia ukwepaji kodi huu si utapeli kama utapeli mwingine tu.
Naona Mataga mmechanganyikiwa mpaka mnaandika kilimbukeni aka kisukuma.
"...ibaendexkumshinda..." ni lugha gani hii.
Hakika shetani ameshindwa, Tanzania imekombolewa.
Halafu kuna wajinga walikanyagana eti kuaga! Mtu kapeleka kabisa familia nzima! Hili taifa linaongoza kwa wapumbavu duniani.Mkuu na MUNGU pia anamakusudi yake kumwondoa magu alikuwa anatupelekaa pabayaa uku akiwaadaa watanzania na maneno mm raic wa wanyonge
Hatari sanaMkuu na MUNGU pia anamakusudi yake kumwondoa magu alikuwa anatupelekaa pabayaa uku akiwaadaa watanzania na maneno mm raic wa wanyonge
Sawa lakini mwanzo mzuri angalau wenye kutia matumaini. Hatua kwa hatua tutafika. Hatua ya kwanza ni kutambua kuna tatizo na Mh. Rais ametambua hilo.Mama hajakataa chochote.Lile ni changa la macho!Anatakiwa kukataa kwa kuzifuta sheria zote gandamizi za kukusanya kodi ambazo alizitunga yeye pamoja na Magufuli na siyo kukataa kwa maneno matamu wakati sheria gandamizi za kukusanya kodi zipo palepale!Nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa sheria na wala siyo kwa mujibu wa maneno matamu.
Atambue kuwa kuna tatizo kwa kuzifuta sheria ambazo zinaleta matatizo na siyo kutupa maneno matamu.Hatutaki maneno matamu kwa sababu maneno matamu ni mtaji wa wanasiasa.Wanasiasa hutumia maneno matamu kuhadhaa watu ili watimize malengo yao mabaya.Sawa lakini mwanzo mzuri angalau wenye kutia matumaini. Hatua kwa hatua tutafika. Hatua ya kwanza ni kutambua kuna tatizo na Mh. Rais ametambua hilo.
JPM alikemea ukusanyaji wa kodi wa aina hii tena kwa maneno makaliii,tena kuzidi SSHSawa lakini mwanzo mzuri angalau wenye kutia matumaini. Hatua kwa hatua tutafika. Hatua ya kwanza ni kutambua kuna tatizo na Mh. Rais ametambua hilo.
Acha upofuJPM alikemea ukusanyaji wa kodi wa aina hii tena kwa maneno makaliii,tena kuzidi SSH
Lakini kwa kuwa sheria za kodi ni zile zile jamaa waliendelea na mtindo wao ule ule kutimiza malengo walowekewa
SSH na makam wake wameweka malengo ya trilion 2 alafu wanawaambia TRA wawe wapole,si uongo huo?
naunga mkono watazame sheria kandamizi kwanza
Anaweza futa hizo sheria nabado asizitekeleze, mfano hakuna sheria inayokataza mikutano ya siasa lkn ilipigwa vita, chakwanza niile motive behind, chapili ndio huo urekebishwaji wa sheria,kwahio tumpe Muda Mama yetu Samia.Atambue kuwa kuna tatizo kwa kuzifuta sheria ambazo zinaleta matatizo na siyo kutupa maneno matamu.Hatutaki maneno matamu kwa sababu maneno matamu ni mtaji wa wanasiasa.Wanasiasa hutumia maneno matamu kuhadhaa watu ili watimize malengo yao mabaya.