Angalizo: CCM ni CCM; lazima yeyote iliyompa dhamana aelewe sera na matakwa yake

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
Ieleweke CCM ni CCM na kina Muundo, Sera na mwenendo wake.

Kwa muktadha huo kila awaye mwenye uwakilishi utokanao na CCM inampasa bila hiari kufuata, kuheshimu na kuuishi u-CCM ulio na muundo, sera na miiko yake.

CCM haitamvumilia yeyote yule atayekiuka kwayo yale yawayo mahitaji ya wakati uwao bila kuchelea.

Kidumu Chama cha Mapinduzi.
 
Aseeee, unatia huruma!! Na mwezi huu mama tunamkabidhi chama, mtanyooka tu!
 
Hamna mwenye hati miliki ya CCM, humtaki SAMIA sepa, kutekana sio mrengo wa CCM
 
Mnatapatapa SUKUMA & CO . LTD haita wasaidia kitu mbona mungu mtu wenu alikiuka sana sana hamkuja na hoja hizi?

wewe jitombashisho na SUKUMA & CO . LTD kubalini tu zama zenu zimesha pita full stop.
 
Mnahangaika sana, naona bado huamini kilichotokea bt ndo hvyo tena, soooooooma hyo.
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, hiyo inawahusu makada wengine wa chama, lakini wala siyo Mwenyekiti Taifa wa CCM.
 
Back
Top Bottom