Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,312
- 10,492
Naona mama anafurahiwa na karibu kila mtu:
Wawekezaji washaomba wakutane nae waje wawekeze (jambo zuri, ila lisipoangaliwa tunaua vya kwetu pia kuna mamluki watapitia mlango huo plus wapiga dili)
Karuhusu upembuzi mbugani makampuni ya nje yakachimbe madini (mbuga zetu hatarini)
Ameruhusu wawekezaji waajiri watu wa nje yaani hata wafagiaji ilimradi wao wanapenda hivyo (tutashindwa kulinda ajira za ndani)
Mama anakuwa na matamko mengi, kikubwa ajue namna ya kuyasimamia maana binadamu tunapenda kurelax.
Binafsi nilipingana na JPM kwenye issue ya Covid except lockdown! But the rest Magufuli was a patriot, result oriented and mthubutu! Maendeleo yanahitaji watu waumie kwanza ili kujenga kesho.
"Hata wakati tunajenga nyumba zetu wenye uchumi wa kawaida huwa tunabana matumizi"
Hatumpangii mama cha kufanya, ila akumbuke kuna kundi la wazalendo die hard asipocheza nao kwa hekima atawapoteza.
...ondoa mapungufu ya JPM, bana wezi, linda rasilimali, jenga nidhamu kazini, imarisha miundo mbinu, pambana na wazembe, kuwa mzalendo!!
Jenga Tz huru inayowajibika!!