Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada Mhe. John Baird baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Macdonald Cartier jijini Ottawa, Canada, kwa...
Spika wa Bunge, Job Ndugai amebadilisha msimamo wake kuhusu ujenzi wa mradi mkubwa wa ukanda maalumu wa kiuchumi wa Bagamoyo (Bagamoyo SEZ) mkoani Pwani akisema awali yeye na wabunge wenzake...
*Yakarabati nyumba ya kigogo kwa mamilioni
*Yanunua samani, gari kinyume na utaratibu
OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, imeingia katika kashfa nzito na kudaiwa kufanya...
Ndiyo wanastahili lawama nahata kupoteza sifa kuliongoza taifa hili. Waliwabeza na kuwaita majina mabaya watu wote waliotoa ushauri kwa serikali, naanza na wabunge hakuna asiyejua wabunge wa CCM...
Mwezi mmoja umekatika tangu kampeni za Uchaguzi Mkuu zianze. Hali halisi inaonesha dhahiri Taifa lilivyobugikwa na umaskini uliozalishwa ndani ya miaka 5 ya utawala huu wa awamu ya tano.
Taifa...
Baadhi yetu tulikuwa tunajua tangu awali kwamba ELITEs wa CCM wengi WALIMCHUKIA Hayati kuliko Wapinzani +Mabeberu walivyomchukia Mwamba kwa pamoja,Hayati mwenyewe alilijua hilo ndio sababu...
Uchaguzi umepita, ila consequences za Uchaguzi huu zitaathiri Nchi hii na Chama cha Mapinduzi kwa miaka mingi sana ijayo kwa maoni yangu binafsi CCM imeshinda pambano (japo kwa umafia wa kila...
Shujaa hafi, daima huendelea kuishi ndani ya mioyo ya watu kwa kupitia yale mema aliyoyafanya enzi za uhai wake. Ile alama aliyoiacha, namna alivyoyagusa maisha na mioyo ya wengi, kwa kadri...
Wanabodi,
Nimekutana na bandiko hili mahaliWana jamvi katika kufuatilia ni wazi Viongozi hao waandamizi wa mihimili ya Serikali wanatoka katika Mkoa mmoja wa Mara na katika best practice na good...
Ni huyu muhongo ndiye aliyedanganya kwenye kashfa ya IPTL. Ni huyo huyo Muhongo ametoa kauli nyingi sana ambazo ni tata.
Leo hii Muhongo anawadanganya watanzania kwenye issue ya Dangote, anaenda...
Hakuna ubadhirifu uliofanywa na Rais aliyepita, ubadhirifu ulifanya na viongozi wasio kuwa na maadili wakiwemo Mawaziri, makatibu wakuu na maafisa suuri wengine katika sekta mbalimbali.
Kama...
Jana na Leo magazeti ya Mwananchi na The Citizen yameandika kuhusu kuhusika kikamilifu kwa Waziri wa Nishati na Madini kwenye mchakato mzima wa kupandisha bei ya umeme nchini. Magazeti hayo...
Mbunge wa Kilombero (CHADEMA), Mhe. Peter Lijualikali ameliomba Bunge tukufu la Tanzania kuunda tume maalum ya kuchunguza kutekwa kwa Mo Dewji, kupigwa risasi kwa Tundu Lissu, kupotea kwa Ben...
Nashauri tu kwa sababu Watanzania hatutabarikiwa na Mungu kama chombo chetu kitukufu cha Bunge kinanajisiwa mchana kweupe.
Ninayasema haya baada ya jana kuwasikiliza wanasheria nguli akina Chris...
Kama kweli inayotekelezwa ni ilani ya CCM iweje leo wana CCM wenyewe watilie mashaka ilani yao?
1. Wananza kujadili manufaa ya ununuzi wa ndege.
2. Leo hii wanaanza kujadili umeme wa maji dhidi ya...
Wazee wengi wameshindwa kutunza heshima yao, wameshindwa kuridhika na umri waliopewa na Mungu, wameshindwa kuwa kioo cha jamii, wamekuwa ndumilakuwili, hawana msimamo na awaridhiki na kile...
Enzi za uhai wa Magufuli viongozi wengi walijisahau kuwa Kuna muda Mungu anaweza kufanya maamuzi yake pasipokujali binadamu mnataka Nini au mnawaza nini, hali hi ndo inawapata baadhi ya viongozi...
Miaka nenda miaka rudi tangu enzi za kina Ludovick Utouh, wakaja kina Proff. Assad sasa kina Kichere tumekuwa tukiishia kusikiliza "madudu" kwenye taarifa za CAG.
Hakuna ripoti inayokuja isiache...
Niliwahi kushangaa wakati fulani kuona mama mmoja anajiita "mfalme zumaridi" anawafuasi wengi kiasi kwamba unaweza kujiuliza jinsi akili za binadamu zilivyo dhaifu na kuna watu wanaweza kuzifanya...