Tuwe na akiba ya maneno na vitendo, hali anayopitia Dkt. Bashiru ni ngumu sana kwenye maisha yake

mwasamasole

Senior Member
Oct 25, 2015
106
119
Enzi za uhai wa Magufuli viongozi wengi walijisahau kuwa Kuna muda Mungu anaweza kufanya maamuzi yake pasipokujali binadamu mnataka Nini au mnawaza nini, hali hi ndo inawapata baadhi ya viongozi wateule was awamu ya tano akiwemo Bashiru.

Anguko lake limekua kubwa mno na hata alipoangukia inawezekana ikawa ni maombi tu ya watu waliomuombea kwa Rais Mama Samia ili asije akafa kabisa kwa hasira, lkn vinginevyo angeweza kurudi kijijini kwao akafanye shughuli zake binafsi.

Ukweli ni kwamba kwa hali aliyonayo ndugu Bashiru kwa Sasa ni ngumu mno ktk maisha yake kuliko watu wanavyofikiri Binadamu tuwe na akiba ya maneno na vitendo pia
 
Bashiru hata weza kwenda ukimbizi kama Lisu au lema.
Bashiru ana nafasi ya kujiajili kulingana na elimu yake.
Enzi za uhai wa Jpm viongozi wengi walijisahau kua Kuna muda Mungu anaweza kufanya maamuzi yake pasipokujali binadamu mnataka Nini au mnawaza nini, hali hi ndo inawapata baadhi ya viongozi wateule was awamu ya tano akiwemo BASHIRU. Anguko lake limekua kubwa mno na hata alipoangukia inawezekana ikawa ni maombi tu ya watu waliomuombea kwa Mh Rais Mama Samia ili asije akafa kabisa kwa hasira, lkn vinginevyo angeweza kurudi kijijini kwao akafanye shughuri zake binafsi. Ukweli ni kwamba kwa hali aliyonayo ndugu Bashiru kwa Sasa ni ngumu mno ktk maisha yake kuliko watu wanavyofikiri
Binadamu tuwe na akiba ya maneno na vitendo pia

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Bashiru ameyeyuka Kama ushuzi.
Bashiru hata historia ya nchi hii haijui.
Makamba Y. , Kinana A, Kikwete J, waliijiunga na CCM enzi za mwalimu. Walikua groomed na Mwalimu kuja kuliongoza hili taifa. Sasa from nowhere anawaita Hawa wakongwe kuwatia discipline Tena kupitia vyombo vya habari waliposema hawajasikia wito ndio kapost barua.
Angekua na maadili angewafuata huko waliko kimya kimya.
Ona Sasa alimtegemea sana mtu Leo huyo mtu hayupo. Makamba yupo. Mangula yupo, Kinana yupo, Makamba yupo, Lumumba ipo.
Mkimuona mumpe pole
 
Hataweza kutulia Kamwee, kwa uharamia waliofanya juu ya dekmcrasia ya Nchi Pendwa aliyoacha Julius Kambarage,nchi iliokua na watu waliopendana na kushikamana sana. Wakaja maharamia kuvurugha misingi ya yule Mzee hawa watapukutika mmoja baada ya mwingine. Muioyo yaoo itajaa sononi na hawataishi!!
 
Nimecheka eti ameyeyuka kama ushuzi daaa hata hapo bungeni hana rana anajua dhamvi aliofanya adhabu kunyongwa daa aliemuambia afanyea yale naona wanajuta ni aibu kubwa na haifutiki anataka kufanya mapinduzi ? Daa mtu mbaya sana huyo hafai asilani hata ubunge ashukuru Mungu ......vitabu vianasema ....alaaniwe amtegemeaye binadamu....hata huyo pole pole nae hafai kabisa acha CAG aseme kama kuna ukwapuaji
 
Enzi za uhai wa Jpm viongozi wengi walijisahau kua Kuna muda Mungu anaweza kufanya maamuzi yake pasipokujali binadamu mnataka Nini au mnawaza nini, hali hi ndo inawapata baadhi ya viongozi wateule was awamu ya tano akiwemo BASHIRU. Anguko lake limekua kubwa mno na hata alipoangukia inawezekana ikawa ni maombi tu ya watu waliomuombea kwa Mh Rais Mama Samia ili asije akafa kabisa kwa hasira, lkn vinginevyo angeweza kurudi kijijini kwao akafanye shughuri zake binafsi. Ukweli ni kwamba kwa hali aliyonayo ndugu Bashiru kwa Sasa ni ngumu mno ktk maisha yake kuliko watu wanavyofikiri
Binadamu tuwe na akiba ya maneno na vitendo pia

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Malipo ni hapa hapa
 
Wewe ni miongoni mwa Wana CCM waliojimilikisha mali za Chama badae ile tume yake ya kukagua hizo mali ikapita na wewe?
 
Bashiru hata weza kwenda ukimbizi kama Lisu au lema.
Bashiru ana nafasi ya kujiajili kulingana na elimu yake.
Kwani unazani walioko ukimbizini hawana uwezo wa kujiajiri?
Mbona wanaishi, au walishawahi kukuomba uwatumie hela?
Mleta mada anezungumuzia hali aliyokuwanayo ndugu Bashiru, wewe u amuwaza Lisu na Lema!!
Jikite kwenye mada. Au akili aliondokanazo mwendazake?? maana akili zenu mlimkabidhi jiwe;!
 
Enzi za uhai wa Magufuli viongozi wengi walijisahau kuwa Kuna muda Mungu anaweza kufanya maamuzi yake pasipokujali binadamu mnataka Nini au mnawaza nini, hali hi ndo inawapata baadhi ya viongozi wateule was awamu ya tano akiwemo Bashiru.

Anguko lake limekua kubwa mno na hata alipoangukia inawezekana ikawa ni maombi tu ya watu waliomuombea kwa Rais Mama Samia ili asije akafa kabisa kwa hasira, lkn vinginevyo angeweza kurudi kijijini kwao akafanye shughuli zake binafsi.

Ukweli ni kwamba kwa hali aliyonayo ndugu Bashiru kwa Sasa ni ngumu mno ktk maisha yake kuliko watu wanavyofikiri Binadamu tuwe na akiba ya maneno na vitendo pia
Umemuuliza au kakwambia kuwa ana hali ngumu? Milungula aliyoikusanya 2020 GE inamtosha
 
Bashiru ameyeyuka Kama ushuzi.
Bashiru hata historia ya nchi hii haijui.
Makamba Y. , Kinana A, Kikwete J, waliijiunga na CCM enzi za mwalimu. Walikua groomed na Mwalimu kuja kuliongoza hili taifa. Sasa from nowhere anawaita Hawa wakongwe kuwatia discipline Tena kupitia vyombo vya habari waliposema hawajasikia wito ndio kapost barua.
Angekua na maadili angewafuata huko waliko kimya kimya.
Ona Sasa alimtegemea sana mtu Leo huyo mtu hayupo. Makamba yupo. Mangula yupo, Kinana yupo, Makamba yupo, Lumumba ipo.
Mkimuona mumpe pole
Aliwatesa sana wale wazee..hivi ana hadhi ya kumwita Kinana kumdhalilisha?
 
Mnaopitia magumu ni nyie , Bashiru hakujua katika maisha yake kama atakua Katibu Mkuu wa CCM,akapata nafasi ya ukaribu Mkuu, Bashiru hakujua kama atakua Katibu Mkuu kiongozi,akapata nafasi ya ukatibu Mkuu kiongozi,hakujua kama atapata ubunge ,kapata ubunge ..ki ufupi amepata mafanikio makubwa ndani ya Miaka minne ..sema Hana maisha ya kujikwenza ..na ubalozi juuu ..

Ndio Katibu mkuu alietoa mafanikio makubwa CCM kushinda Kwa kishindo
 
Bashiru hata weza kwenda ukimbizi kama Lisu au lema.
Bashiru ana nafasi ya kujiajili kulingana na elimu yake.
Elimu gani? wakati kashadharaulika naliphd lake. Ni miongoni waliyoishusha hadhi phd harudi tu kijijini kwao afanye shughuli za uvuvi.
 
Kama kweli walishiriki kule zoezi chafu la kuna demokrasia kwa kununua wapinzani wa kweli kwa vipandewvya fedha, hadi nini na Sometime vitisho, ile asemayo Paskal Mayala kuwa ni KARMA haitowaacha.
Hata wale wabunge waliobebwa kule sijui vile wanajisikia akiwemo Mh. Spiker Ndugai. Kwako waamini twaamini ni dhambi kubwa sana.
 
Back
Top Bottom