Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uraiani watu wapo busy na masuala mengine ya kimaisha na kiuchumi. Huku wakichapa kazi Mitandoni ndio utakuta baadhi ya watu wachache wanaojinasibu ni wafuasi wa Chadema na Act wazalendo. Kwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nchi ipo katika sekeseke hasa la kuiona serikali ya Dkt. Magufuli kama iligubikwa na hila na vitisho juu ya Wafanyabiashara. Dkt. Magufuli ameshafariki. Mama Samia Suluhu Hassan ameshika uongozi...
1 Reactions
1 Replies
797 Views
Msemaji mkuu wa serikali yuko mubashara TBC akielezea mafanikio ya awamu ya 5. Dkt. Abbas anasema pamoja na kununua ndege na watu wengine " kununa" serikali pia inawekeza fedha za kutosha katika...
10 Reactions
84 Replies
7K Views
  • Closed
Hii thread iwe Maalum kwa Maoni, Ushauri na Mapendekezo mbalimbali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Mimi namuomba, Mheshimiwa Rais mteuliwa, kwa heshima na...
26 Reactions
7K Replies
1M Views
Ndugu wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Ninaomba kuuliza swali: je, tuendelee na utaratibu huu wa mikataba kuwa siri au tubadilishe utaratibu mikataba iwe wazi ili kila mtu ajue...
0 Reactions
4 Replies
951 Views
Ikiwa ni takribani robo karne tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi nchini watu kadhaa wasomi na wanasiasa wamependekeza iwepo nishani maalum kwa mwanasiasa bora wa upinzani nchini. Kati ya...
17 Reactions
194 Replies
24K Views
Sasa ni takribani mwezi mmoja tangu Mh.Magufuli afariki. Ila kinachoendelea mitaani ni kuoredhesha mabaya yya marehemu Mengine ni ya kiutawala na Uongozi na mengine no Binafsi. Tumeshuhudia...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Kameibuka katabia kakusema, "aaa mbona hukusema kipindi yupo?" Tuweni wakweli basi, nani kati yetu angethubutu kumkosoa? Nani angempinga mpakwa mafuta wa bwana? Yule alikuwa mteule bwana...
22 Reactions
62 Replies
4K Views
" Uwekezaji nchini Tanzania umekuwa ni tatizo na kwakweli mabadiliko makubwa yanahitaji hapa. Makampuni yanafunga, Wafanyabishara wanashindwa kuendelea huku Uchumi wa Tanzania ukiathirika pakubwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa trend inayoendelea sasa, kimya kimya, wazi wazi na pengine kwa sauti zaidi kila kona ya nchi ni dhahiri kuwa kuna watu wana maumivu na vidonda vikubwa sana vilivyotokana na utawala wa...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Ujumbe wangu ni huu: Kusifiwa au kupongezwa ni haki ya kila mtu anaefanya vizuri licha ya kuwa haki hiyo haipo kikatiba wala kisheria. Lakini ukianza kujisifia mwenyewe au kutumia nguvu au watu...
15 Reactions
44 Replies
3K Views
Kwako Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, Hoja yangu kwa sentensi moja: napendekeza serikali iwekeze kwenye matumizi ya teknolojia (haswa simu, mitandao ya mawasiliano, na apps) ili kuboresha utumishi...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi sintosema chochote,nmemuachia Mungu apigane kwa niaba yangu. Nakubali kuwajibika ‘kisiasa' siwez kuwakana wasaidizi wangu,lakin sikuiba pesa wala kufaidika 'binafsi' kwa namna yoyote ile...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Moto wa kumbi ni moto mkali sana unaweza kuyeyusha chuma au kutoboa sufuria likiwa na maji yake ndani lakini hauna miale, moshi wingi wala kelele kama mioto ya mabiwi, nyika, kuni au petroli...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Naomba niongee kwa kiwango cha uelewa wa kawaida tena wa zamani. Wakati mwalimu akiwa hai,tulisikia habari ambazo hazikuwa zimethibitishwa kuwa,mwalimu hataki kuona nchi inatawaliwa na Rais...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
DR JOHN POMBE MAGUFULI,ONE OF THE BEST TO EVER DO IT,A TRUE LEGEND. Leo 23:15hrs 09/04/2021 Wote wanaomsema vibaya na kupuuza fikra za Rais wa awamu ya tano,Dr John Pombe Magufuli juu ya miradi...
15 Reactions
53 Replies
4K Views
Mwishoni mwa mwezi Machi Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan alipokea ripoti mbili za CAG na TAKUKURU na moja ya mambo yaliyoibuka na kuchukua mjadala mpana na mkubwa sana ni hatua ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Profesa Baregu na Safari walipotea hewani kwa muda Sasa lakini ghafla baada ya Chadema kuwatimua Wabunge 19 wasomi Hawa wanaonekana kupata nguvu nakuanza kuonyesha imani kubwa kwa Chadema. Si...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mhe Abdallah Mtinika amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kuipa hadhi ya kuwa Jiji Manispaa ya Temeke. Mstahiki Meya ametoa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…