Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huyu huyu CAG Kichere alikuwa Commisioner General TRA. Haya madudu tunayoyaona vile vile anahusika nayo. Ubambikaji kodi Kunyang'anya fedha za wafanya biashara benki. Kufungia biashara. Hawezi...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kuhusiana na ruti mpya ya ndege za ATCL, kwamba baada ya ukaguzi wa Uwanja huo na kuonekana uko sawa ndege hizo zitaanza kupeleka abiria na kuwachukua kutokea Chato...
23 Reactions
169 Replies
17K Views
Lumumba ni mzalendo wa kweli Afrika. Kajidhihilishia hilo katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa Hayati Magufuli. Machozi yanamtililika Kwa uchungu wa dhati. Kiukweli waafrika tumepoteza jembe.
3 Reactions
35 Replies
3K Views
"NAAAM....! Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote...
60 Reactions
243 Replies
15K Views
Mzee Wasira ambaye amekuwa waziri katika serikali tangu uhuru mpaka serikali ya awamu ya nne ya JK amesema Kiwango cha furaha kwa Watanzania kimeongezeka. Ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na...
28 Reactions
190 Replies
14K Views
Hotuba ya Mhe. Freeman Mbowe Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari...
11 Reactions
84 Replies
10K Views
U-turn signals za Rais wa kambo wa JMT zimesababisha mawimbi ya unafiki kutamalaki miongoni mwa viongozi wanaotokana na chama tawala (CCM)! U-turn signals alizotuma Rais wa kambo bila shaka...
11 Reactions
91 Replies
8K Views
Ebu eleza vyema hapa, ni kitu/jambo gani ambalo limewahi kufanywa na mwanasiasa (bila kujali chama) au Kiongozi yeyote Mwandamizi Serikalini na likakukera sana. Karibuni mfunguke hapa.
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Zipo hoja nyingi zinazohitaji msukumo wa kisiasa, msukumo huo ni vigumu kuupata ndani ya chama Tawala ila utaupata upinzani. Upinzani vyama vyote vimepoteza dira isipokuwa baadhi ya viongozi wa...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Hivi karibuni kumeibuka suala la bandari ya bagamoyo ambayo mh. Hayati JPM alilikataa kwa kuwa mkataba wake ulikuwa wa kinyonyaji. Hivi karibuni suala hilo limeibuka tena upya na spika wa bunge...
35 Reactions
154 Replies
12K Views
Hasara na upotevu huu unaotokana na taarifa za CAG ambapo wanasiasa waliochambua report ya CAG aliepita,Prof. Assad, waliibua utata wa matumizi ya shilling ya shilling trilioni 1.5 na hii ya hivi...
25 Reactions
108 Replies
8K Views
Uraiani watu wapo busy na masuala mengine ya kimaisha na kiuchumi. Huku wakichapa kazi Mitandoni ndio utakuta baadhi ya watu wachache wanaojinasibu ni wafuasi wa Chadema na Act wazalendo. Kwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nchi ipo katika sekeseke hasa la kuiona serikali ya Dkt. Magufuli kama iligubikwa na hila na vitisho juu ya Wafanyabiashara. Dkt. Magufuli ameshafariki. Mama Samia Suluhu Hassan ameshika uongozi...
1 Reactions
1 Replies
797 Views
Msemaji mkuu wa serikali yuko mubashara TBC akielezea mafanikio ya awamu ya 5. Dkt. Abbas anasema pamoja na kununua ndege na watu wengine " kununa" serikali pia inawekeza fedha za kutosha katika...
10 Reactions
84 Replies
7K Views
  • Closed
Hii thread iwe Maalum kwa Maoni, Ushauri na Mapendekezo mbalimbali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Mimi namuomba, Mheshimiwa Rais mteuliwa, kwa heshima na...
26 Reactions
7K Replies
1M Views
Ndugu wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Ninaomba kuuliza swali: je, tuendelee na utaratibu huu wa mikataba kuwa siri au tubadilishe utaratibu mikataba iwe wazi ili kila mtu ajue...
0 Reactions
4 Replies
951 Views
Ikiwa ni takribani robo karne tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi nchini watu kadhaa wasomi na wanasiasa wamependekeza iwepo nishani maalum kwa mwanasiasa bora wa upinzani nchini. Kati ya...
17 Reactions
194 Replies
24K Views
Sasa ni takribani mwezi mmoja tangu Mh.Magufuli afariki. Ila kinachoendelea mitaani ni kuoredhesha mabaya yya marehemu Mengine ni ya kiutawala na Uongozi na mengine no Binafsi. Tumeshuhudia...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Kameibuka katabia kakusema, "aaa mbona hukusema kipindi yupo?" Tuweni wakweli basi, nani kati yetu angethubutu kumkosoa? Nani angempinga mpakwa mafuta wa bwana? Yule alikuwa mteule bwana...
22 Reactions
62 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…