Stephen Wassira aikosoa ilani ya Rais Magufuli ya Tanzania ya viwanda

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,883
Mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika katika Serikali ya Awamu ya Nne, Stephen Wasira amesema Tanzania haijawekeza vya kutosha katika kilimo ili kukifanya kiweze kuendesha viwanda nchini

Wasira amesema Tanzania haiwezi kuendelea kiviwanda kama kilimo kitaendelea kuwa nyuma kama kilivyokuwa miaka mingi iliyopita.
Aidha amefafanua kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kilimo na viwanda kwa sababu kilimo kinazalisha malighafi za kulisha viwanda na viwanda navyo, vinazalisha bidhaa au pembejeo za kukuza kilimo.

Amesema kitu kikubwa kinachokwamisha ukuaji wa kilimo nchini ni teknolojia duni.

“Kilimo chetu kinakabiliwa na teknolojia duni, kwa mfano unaona watu bado wanavua kwa kutumia ndoano. Ilitakiwa tuanze kuvua kwa kutumia boti za kisasa ili kuongeza mazao ya samaki, kwenye kilimo hivyo hivyo,” amesema Wasira

Katika mwaka wa fedha 2017/18, Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi inaomba Bunge kuiidhinishia Sh267.86 bilioni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na miradi ya maendeleo.

Kati ya fedha hizo, Sh156 bilioni ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo na Sh103 bilioni ni matumizi ya kawaida
k
 
Huyu baba yupo...!
Anyway ana point some how. Kama kilimo kimelega, viwanda vitakwendaje..?
 
vyerahani 4 kiwanda
 
Wasipokua na vyeo akili zao zinafanya kazi vizuri,ila ukiwapa vyeo akili zinasinyaa.
Nadhani sasa ndo yuko katika ubora wake kuliko wakati mwingine wowote. Huyu kama umri ungekua unaruhusu, angerudi tena bungeni angeweza kuwa msaada katika kutoa hoja, hasa kama angeingia kwa chama tofauti na CCM. Wakiwa ndani ya box hawaoni, sasa yuko nje akili zimemrudi.
 
Mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika katika Serikali ya Awamu ya Nne, Stephen Wasira amesema Tanzania haijawekeza vya kutosha katika kilimo ili kukifanya kiweze kuendesha viwanda nchini

Wasira amesema Tanzania haiwezi kuendelea kiviwanda kama kilimo kitaendelea kuwa nyuma kama kilivyokuwa miaka mingi iliyopita.
Aidha amefafanua kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kilimo na viwanda kwa sababu kilimo kinazalisha malighafi za kulisha viwanda na viwanda navyo, vinazalisha bidhaa au pembejeo za kukuza kilimo.

Amesema kitu kikubwa kinachokwamisha ukuaji wa kilimo nchini ni teknolojia duni.

“Kilimo chetu kinakabiliwa na teknolojia duni, kwa mfano unaona watu bado wanavua kwa kutumia ndoano. Ilitakiwa tuanze kuvua kwa kutumia boti za kisasa ili kuongeza mazao ya samaki, kwenye kilimo hivyo hivyo,” amesema Wasira

Katika mwaka wa fedha 2017/18, Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi inaomba Bunge kuiidhinishia Sh267.86 bilioni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na miradi ya maendeleo.

Kati ya fedha hizo, Sh156 bilioni ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo na Sh103 bilioni ni matumizi ya kawaida
k
Mhhh! Nina wasiwasi mnamlisha maneno (mnamzushia) Wasira ili akose nafasi ya uteuzi
 
NI RAHISI SANA MCHEZAJI WA MPIRA AKIWA MTAZAMAJI KUWAONA WENZAKE WANAFANYA MAKOSA YA KIJINGA.
TUKUMBUKE ALIVYOSEMA MAKOGORO NYERERE WAKATI MZEE HUYU AMECHUKUA FORM YA KUGOMBEA URAIS.
MAKONGORO ALISEMA.
" WAKATI WA UONGOZI WA BABA YANGU WASIRA ALIKUWEPO KWENYE SERIKALI YA NYERERE, WAKATI WA UTAWALA WA MWINYI AKAENDELEA KUEPO. PIA WAKATI WA MKAPA AKAWA YUPO TU, WAKATI WA KIKWETE YUPO TU NA SASA UONGOZI WA AWAMU YA TANO ANATAKA AWEMO TU"
HUYU MZEE HANA JIPYA NA NDIYE ALIYEUA KILIMO BAADA YA KURUHUSU MAGHALA MENGI YA SERIKALI YA KUHIFADHIA MAZAO KUUZWA KWA WATU BINAFSI WAKATI WA RAIS MWINYI.
HUWEZI KUENDELEZA KILIMO KAMA HUNA MAGHALA YA KUHIFADHIA MAZAO. MAGHALA YA KUHIFADHIA MAZAO YALIYOUZWA KWA WATU BINAFSI YALIGEUZWA KUWA MAGHALA YA KUHIFADHIA BIDHAA TOKA NJE YA INCHI. OVYO KABISA.
 
Mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika katika Serikali ya Awamu ya Nne, Stephen Wasira amesema Tanzania haijawekeza vya kutosha katika kilimo ili kukifanya kiweze kuendesha viwanda nchini

Wasira amesema Tanzania haiwezi kuendelea kiviwanda kama kilimo kitaendelea kuwa nyuma kama kilivyokuwa miaka mingi iliyopita.
Aidha amefafanua kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kilimo na viwanda kwa sababu kilimo kinazalisha malighafi za kulisha viwanda na viwanda navyo, vinazalisha bidhaa au pembejeo za kukuza kilimo.

Amesema kitu kikubwa kinachokwamisha ukuaji wa kilimo nchini ni teknolojia duni.

“Kilimo chetu kinakabiliwa na teknolojia duni, kwa mfano unaona watu bado wanavua kwa kutumia ndoano. Ilitakiwa tuanze kuvua kwa kutumia boti za kisasa ili kuongeza mazao ya samaki, kwenye kilimo hivyo hivyo,” amesema Wasira

Katika mwaka wa fedha 2017/18, Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi inaomba Bunge kuiidhinishia Sh267.86 bilioni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na miradi ya maendeleo.

Kati ya fedha hizo, Sh156 bilioni ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo na Sh103 bilioni ni matumizi ya kawaida
k
Alikwina? Huyu so alikuwa Waziri tangu 1974? Mbona hakufanya hayo na Wizara hiyo alishawahi kushika mara nyingi???? Njaa zinamsumbua hiyo!!
 
Huyo ni Wassira Sr. au Wasira Jr.?
Ni mara moja tu jambo jema lilitokea Betirehemu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kwenye timu ya waandaaji wa Ilani ya CCM naye alikuwepo
 
Back
Top Bottom