Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Watanzania tujadili kwa kina kuhusu taarifa zinazosambaa kuhusu Zitto kuchambua ripoti ya CAG kupitia televisheni siku ya leo ambayo Mbowe alipanga kulihutubia Taifa.
Je, hii haina maana ya kuwavuruga watu waliojipanga kumsikiliza Mbowe? Kwanini Zitto asingepanga siku nyingine?
Upinzani Tanzania bado sana, tuwaachie CCM waendelee kututawala.