Wakuu Salaam;
Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia jinsi Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini Mh. January Makamba jinsi alivyokuwa na sauti ya kuwa msemaji mkuu wa wizara hiyo...
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameingia madarakani kutokana na msiba, hivyo asipelekeshwe sana na badala yake apewe muda
Ameeleza Samia...
Arch-Bishop Renatus Nkwande, Mwanza Arch-Diocese
Abstract
Mourning seasons have historically been used by opinion formers and decision makers as grand opportunities for performing their...
Wakati wa utawala wa Jk tulikopa zaidi ya Trillion 2 Tshs kwa ajili ya kuweka bomba la gesi kutoka inakochimbwa Mtwara hadi Dar es Salaam mahususi kabisa kwa ajili ya kuzalisha umeme na kuisambaza...
Hapa tutaangalia mafanikio yaliyopatikana na yanayoendelea kupatikana bila kuwepo kwa wapinzani.
Sasa hivi serikali za vijiji na mitaa ni CCM vipi hapo ulipo nini kimeongezeka? Je, hakuna dhuluma...
Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa.
Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu...
December 2018 Freeman Mbowe na Ester Matiko walikamatwa kwa madai ya kuruka dhamana kwenye kesi ya uchaguzi iliyokua inawakabili. Walidaiwa hawajahudhiria mahakamani mara 3 hivyo wakafutiwa...
Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu.
Ndugu zangu watanzania...
Watumishi nadhani sasa wakati umefika Wa kuuliza uongozi Wa juu Wa TUCTA kwanini umekuwa kimya wakati watumishi au wanachama wake hatupati Haki zetu kisheria kutoka Kwa Mwajiri wetu ambaye ni...
Habari wadau..!
Kuna ka msemo ka waswahili kanasema "ngoma si yako wavaaje kibwaya",hii ndio inajidhirisha kwa wapinzani.
Yaani siku hizi wamekuwa hawama ajenda isipokuwa kudandia dandia ,hii...
Akiwa kama Waziri wa fedha ana majukumu mazito ya kumsaidia Rais kukuza uchumi wetu na kuongeza pato la mwananchi mmoja mmoja. Ni wazi uchumi wetu umedorora na unahitaji juhudi kubwa sana huku...
Kuna wazee wastaafu ambao wameondolewa kwenye orodha ya wanaolipwa pensheni ya kila mwezi wakidhaniwa tayari wamefariki! Maafisa wa NSSF wanadai wamewaondoa ili pensheni zao zisichukuliwe na...
Wabobezi wa siasa, nijengeeni uwezo!
Kanda ya Magharibi - yenye mikoa ya Kigoma na Tabora ndiyo haijawahi kuwa na kiongozi wa kitaifa - nalenga Rais au Makamu wa Rais au Waziri Mkuu.
(a). Orodha...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jimbo la Hai limepata Mbunge hivi sasa, akiongeza aliyekuwepo kabla ya hapo alikuwa anazurura kila mahali.
Akiwa Bungeni Dodoma leo, Ndugai amesema...
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo amesema ni jambo linaofahamika kwamba Mashirika mengi ya Ndege yanapata hasara Duniani na na biashara yoyote inayofufuliwa haiwezi kuanza kupata faida hapohapo...
Mama shikamoo. Nilisahau kukwambia siku moja kuwa makeup ilizidi kidogo wakati wa kuwaapisha mawaziri. Pia, nimependa uvaaji wako. Hata hivyo, achana na nguo zenye maua maua. Embrace plain...
Baada ya Rais mpya kuamuru vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki na husda vifunguliwe , baadhi ya vyombo hivyo vimaeanza kufika wizarani ili kufahamu hatma zao .
Leo ilikuwa zamu ya...
Mwendazake alinyenyekea-nyenyekea kipindi cha uteuzi pale na kampeni baada ya kukalia kiti hamkuheshimu mtu, hadi wanaCCM nao wakapigwa na butwaa wakajiuliza eh huyu ndio yule yule, Viongozi wakuu...
Ndugu zangu,
Mbowe akiongea na wanahabari mwaka 2021 aliipinga serikali akisisitiza kuwa njia sahihi ya kujikinda na corona ni social distancing na lockdown lakini huyu wa juzi (mwaka 2021)...
Mjadala uliyoshika akili za watu kwa sasa ni faida na hasara za kuendelezwa kwa Ujenzi wa Mradi wa Bandari ya Bagamoyo.
Maneno hofu imekua kubwa juu ya yaliyomo katika mkataba wa mradi huu...