Katika suala la Mbowe, TRA mmeanikwa 'ukwarukwaru' wenu

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,552
Reaction score
30,788
Siyo siri TRA imekuwa ikitumika kuwakomoa wafanyabiashara wengi.

Sasa mmeanikwa.

Ukiwa mfanya biashara halafu mpinzani kama Mbowe, basi vijimemo "toka juu" ndiyo vinashughulikiwa kwa "weledi wa ukusanyaji kodi".

Katika suala hili la Mbowe, TRA wali cease hadi account binafsi.

Ni kwa sheria ipi?

Ndio maana kama kuna sheria hiyo basi Bunge letu lina wale 60% wasiojua kitu, kulingana na Prof Assad.

Ama sivyo TRA imekuwa chombo cha uonezi mkubwa katika miaka ya karibuni.
 
Kwa namna kina bwashee Swai walivyojazana pale TRA ni lazima Freeman alikuwa na shida kwenye maswala yake ya kodi wasingemsulubisha boss wa chama chao!
Achaa urongooo. Kuna kampuni nyingine anafanya rafiki yangu wamefungiwa accounts zote za kampuni eti wana daiwa kodi ya 2014...mpaka leo hawajalipwa mshahara. Kila mwaka TRA huwapa VAT clearance certificate ikimaanisha kuwa wamelipa kodi na hawadaiwi. Huu uonezi umezidi aiseee.
 
Achaa urongooo. Kuna kampuni nyingine anafanya rafiki yangu wamefungiwa accounts zote za kampuni eti wana daiwa kodi ya 2014...mpaka leo hawajalipwa mshahara. Kila mwaka TRA huwapa VAT clearance certificate ikimaanisha kuwa wamelipa kodi na hawadaiwi. Huu uonezi umezidi aiseee
TRA imekuwa kichaka kinachotumiwa na wanasiasa kukomoa wafanya biashara.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]TRA wanageuka maadui wa wafanya biashara.

Wakija kwenye genge lako badala ya kukuelimisha wao wanakimbilia kufunga biashara yako.
 
Kwa namna kina bwashee Swai walivyojazana pale TRA ni lazima Freeman alikuwa na shida kwenye maswala yake ya kodi wasingemsulubisha boss wa chama chao!
Amri ya Boss wa Chama na Boss wa Nchi ipi inafatwa na watumishi? MATAGA bado hamtaki kukubali kuwa pamoja na mazuri ya SHUJAA bado alikuwa na MAOVU mengi (roho ya kufilisi matajiri, kuteka, kutesa, kuua, kubambika kesi, kuminya uhuru wa habari, kupenda kusifiwa, kunanga wapinzani, alikosa staha ya kauli, hakuwa mfariji).

Hitler aliijenga Ujerumani, aliitoa kwenye anguko la uchumi kwa kuanzisha programs nyingi nzuri lakini leo hii sehemu mashuhuri ya historia yake ni kuteka, kutesa, kuua na kuminya wapinzani!

SHUJAA alikuwa na both sides of the coin, let's accept that.

M. Kayamba
Kaburini Chato
 
STAHA YA MANENO hapo ndipo ninapopishana na shujaa wa ufipa Ndugu LISSU.

Mengine yote mwenda zake kaenda na yake.
 
Siyo siri TRA imekuwa ikitumika kuwakomoa wafanyabiashara wengi.

Sasa mmeanikwa.

Ukiwa mfanya biashara halafu mpinzani kama Mbowe, basi vijimemo "toka juu" ndiyo vinashughulikiwa kwa "weledi wa ukusanyaji kodi".

Katika suala hili la Mbowe, TRA wali cease hadi account binafsi.

Ni kwa sheria ipi?

Ndio maana kama kuna sheria hiyo basi Bunge letu lina wale 60% wasiojua kitu, kulingana na Prof Assad.

Ama sivyo TRA imekuwa chombo cha uonezi mkubwa katika miaka ya karibuni.
Katika suala hili la Mbowe, TRA wali cease hadi account binafsi.

unaweza kuta na wewe ni graduate wa Tanzania
 
Kijana huna hata genge unapigania biashara za Mbowe mkwepa kodi!!
Mwambie alipe kodi kwa mujibu wa sheria. Asilete janja janja.
 
Kwa namna kina bwashee Swai walivyojazana pale TRA ni lazima Freeman alikuwa na shida kwenye maswala yake ya kodi wasingemsulubisha boss wa chama chao!
Uwezo wako wa kufikiri naona umepungua mara tu baada ya kuachwa MJANE
 
Achaa urongooo. Kuna kampuni nyingine anafanya rafiki yangu wamefungiwa accounts zote za kampuni eti wana daiwa kodi ya 2014...mpaka leo hawajalipwa mshahara. Kila mwaka TRA huwapa VAT clearance certificate ikimaanisha kuwa wamelipa kodi na hawadaiwi. Huu uonezi umezidi aiseee
TRA ni majanga sana hasa kipindi cha jiwe
 
Kwa namna kina bwashee Swai walivyojazana pale TRA ni lazima Freeman alikuwa na shida kwenye maswala yake ya kodi wasingemsulubisha boss wa chama chao!
Tatizo hupendi kutumia ubongo kufikiria hicho kiungo unachotumia kufikiria kina walakini. Tuelezee hiyo shida kwenye masuala yake ya kodi tuneishasikia upande wake
 
Amri ya Boss wa Chama na Boss wa Nchi ipi inafatwa na watumishi? MATAGA bado hamtaki kukubali kuwa pamoja na mazuri ya SHUJAA bado alikuwa na MAOVU mengi (roho ya kufilisi matajiri, kuteka, kutesa, kuua, kubambika kesi, kuminya uhuru wa habari, kupenda kusifiwa, kunanga wapinzani, alikosa staha ya kauli, hakuwa mfariji).

Hitler aliijenga Ujerumani, aliitoa kwenye anguko la uchumi kwa kuanzisha programs nyingi nzuri lakini leo hii sehemu mashuhuri ya historia yake ni kuteka, kutesa, kuua na kuminya wapinzani!

SHUJAA alikuwa na both sides of the coin, let's accept that.

M. Kayamba
Kaburini Chato
Mkuu nikupongeze sana kwa kukubali kubakia hapo chato ukiilinda kaburi
 
Back
Top Bottom