Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Wakuu habari zenu mimi ni mtoto wenu Emmanuel Kasomi leo hii nataka kuongea na CAG aache kitete, asiogope na Afunge.

Ukifuatilia report za CAG anazo toa kuna sehemu anazilinda.

Kwa wanao fuatia report za CAG amelaani sehemu nyingi kua zilijiendesha kwa Hasara.

Swali kwa CAG
Je, katika report zake mbona hajaigusa ofisi ya makamu wa rais?
- Inamaana kipindi hicho ofisi hiyo haikufanya makosa?
CAG mbona hajaigusa ofisi ya waziri wa fedha na mipango?
- Je, kipindi hicho ofisi hiyo haikufanya makosa?

Nasema kwamba CAG aache kitete asiogope asema ukweli.

Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Mi nauliza tu swali..huyu mama si alikuwa sehemu ya serikali ya awamu ya tano?.si tulimchagua yeye na magu kwa pamoja?..sasa iwaje yeye hahusishwi kwenye huu ufisadi?
Tanzania unafiki umejaa CAG aache kitete asiogope asema ukweli hata kwa Rais wa sasa na makamu wake.
 
Mi nauliza tu swali..huyu mama si alikuwa sehemu ya serikali ya awamu ya tano?.si tulimchagua yeye na magu kwa pamoja?..sasa iwaje yeye hahusishwi kwenye huu ufisadi?
Waseme Tu ukweli kwamba mwamba alituweka mfukoni , au wapige kimya waanze upya , waliopo wote hakuna wa kumlaumu mwenzake may be wote watoke tuanze upya.

Style ya kupondeana Kwa wanasiasa ni ya kawaida ili kupata trust ya wananchi , tena aliyeanzisha haya mambo ya kupondeana ni jiwe, aliyekuwa na busara alikuwa kikwete tuuu, Jiwe alipoingia alianza Kwa kuibua uozo wa kipind cha JK na akawa analaumu waz waz ...... As if yeye haikuwepo kwenye Baraza la mawazir for more than 20 yrs
 
Waseme Tu ukweli kwamba mwamba alituweka mfukoni , au wapige kimya waanze upya , waliopo wote hakuna wa kumlaumu mwenzake may be wote watoke tuanze upya .... Style ya kupondeana Kwa wanasiasa ni ya kawaida ili kupata trust ya wananchi , tena aliyeanzisha haya mambo ya kupondeana ni jiwe, aliyekuwa na busara alikuwa kikwete tuuu, Jiwe alipoingia alianza Kwa kuibua uozo wa kipind cha JK na akawa analaumu waz waz ...... As if yeye haikuwepo kwenye Baraza la mawazir for more than 20 yrs
Hivi ndiyo Tanzania yetu
 
Tatizo mnajistukia sana

CAG anataja Idara hataji Mtu, akisema TPA, akisema ATCL, akitaja Airport ya Chatto kamaliza, sisi wenyewe ndio tuna uchaguzi hiyo miradi ya Kimkakati tumtwishe nani lawama?

Kwani Sifa za kununia Ndege kwa Cash alikuwa anapewa Samia au Dr Mpango?

Ukikusanya Sifa zote peke yako kwa jambo fulani, jipange na kubeba kashfa za hizo sifa


Unajua kwanini Malaya Akifumaniwa sio breaking newz kama akifumaniwa Sheikh au Mchungaji?

Jibu ni rahisi, hao masheikh na wachungaji wana pretend Waadilifu sana …miripoti hii ya Wizi ilikuwa inatoka dialy wakati wa Jk na haikuwa issue kama sasa

Uzaramuni tunasema '…Mpenda nyingi nasaba hupata Mingi misiba…'
Mi nauliza tu swali..huyu mama si alikuwa sehemu ya serikali ya awamu ya tano?.si tulimchagua yeye na magu kwa pamoja?..sasa iwaje yeye hahusishwi kwenye huu ufisadi?
 
Tatizo mnajistukia sana

Yeye anataja Idara hataji Mtu, akisema TPA, akisema ATCL, akitaja Airport ya Chatto kamaliza, sisi wenyewe ndio tuna uchaguzi hiyo miradi ya Kimkakati tumtwishe nani lawama?...
Hahahahah 🤣🤣🤣

Shukurani 🙏🙏🙏 mkuu kwa kutetea kwa hoja
 
Mi nauliza tu swali..huyu mama si alikuwa sehemu ya serikali ya awamu ya tano?.si tulimchagua yeye na magu kwa pamoja?..sasa iwaje yeye hahusishwi kwenye huu ufisadi?
Nachojua mimi Wanasasiasa ni watu waongo na wazandiki sijawahi ona.

Lakini jibu ni jepesi sana,sababu wao sasa hivi ni viongozi wakuu. Hawaguswi hata kwa yaliyopita.

Msumeno huu mbona haukat huku na huku...?

Naendelea kusoma maoni ya wadau.
 
Back
Top Bottom