Ndege 3 kwa mpigo, wapinzani ina maana hamjui kuwa CCM ni ile ile au tuseme nini?

mtoto wa mchungaji

Senior Member
Oct 24, 2020
110
250
Siasa za kujipendekeza kwa CCM na siasa nyepesi nyepesi ni vizuri mkazifanyie Ufipa, haya mawazo ya kutaka kuokota dodo katika mti wa mfenesi mwisho mtajikuta mmedharaurika mpaka na kuku. Niwaambie ukweli vijana wa Lumumba wanakosa dili kisa mmekuwa wepesi mmno, mpaka vijana na wana CCM wanalalamika. Natumia lugha ngumu kwani mnakatisha sana taama.

Kujipendekeza kwa Mama kama yeye ni mtu wa bavicha tena kwa chama kilichowai kuwa chama kikuu cha upinzani hii ni aibu acheni, kusubiri wagombea kutoka CCM hii hachene msirudie, kuvizia vimakombo vinavyo dondoka kutoka CCM acheni ni aibu. Kujinasibu kwa mitusi na mineno isiyo poozwa acheni. Jaburibuni kujenga taasisi imara, mbona mtachukua nchi kilaini. CCM ya kawaida sana kama chama cha Kaunda wa Zambia au Kanu cha Kenya mbona viliondoka. Fungeni matumbo hata miaka 10 tu hii kuchumia tumbo mtakaa sana.

Hii kuwaficha ficha naona mnazidi kuwa wajinga, ni hivi Mama hana Ilani yake katika awamu ya sita isipokuwa Ilani yake ni ile ile ya awamu ya tano ambayo aliinadi na kaka yake marehemu au ranimeti wake, kule kulikuwa na mikakati ya kuwapiga pini hivyo wembe ni ule ule, na Mama ni CCM si bavicha sasa Lisu namsikia eti anataka aje aongee na Mama atasubiri sana, jengeni taasisi iwasaidie na si kuweka mbele fedha mpaka mnataka biashara ya chanjo hapa bongo hili mpatate 10% katika maisha ya watu.

Nadhani mnaweza kuelewa hapa kuwa ninyi ndiyo mlikuwa wa kwanza kusema serikali ya CDM ikiingia madarakani itafufua shirika la ndege, Magu kalifufua mnapinga, Hayati amelala ndege zinanunuliwa tena tatu eleweni hili lipo katika ilani ninyi vipi? Hayo mawazo ya kutaka kuokota fenesi katila msufi mtakaa sana.

Uchaguzi wa serikali za mitaa kesho kutwa wekeni maandalizi jamani, ninyi mnaanza na kuchoma watu kinga mnakera walio wengi na mkikosa kura haraka bira hata aibu utasikia tumeibiwa kura na tume siyo huru na mkishinda uchaguzi mnaipongeza tume mimi nakuwaga sielewi wapinzani wetu.

Jengeni taasisi ndugu zetu changamoto ndiyo nzuri zenye mashiko kwa taifa zima.
 
Ryaro ryaro

JF-Expert Member
Feb 10, 2021
226
1,000
Hii haiwezi Ingia akilini, Hata wale LY walioko Bungeni Hawakubaliani na Kufanya Biashara kwa Hasara, yaana 150 billions sio Mchezo. Wanasiasa Hawana Uchungu na Hii nchi, na wanachojali ni Matumbo yao. Ukiona hivyo Ujue 10% inahusu kwa waliojimilikisha nchi.
 
craq

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
835
1,000
Haueleweki hebu nenda kastue dabi Kiki kidogo huenda tutakuelewa.
 
citizensindevelopment18

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
877
500
Siasa za kujipendekeza kwa CCM na siasa nyepesi nyepesi ni vizuri mkazifanyie Ufipa, haya mawazo ya kutaka kuokota dodo katika mti wa mfenesi mwisho mtajikuta mmedharaurika mpaka na kuku. Niwaambie ukweli vijana wa Lumumba wanakosa dili kisa mmekuwa wepesi mmno, mpaka vijana na wana CCM wanalalamika. Natumia lugha ngumu kwani mnakatisha sana taama.

Kujipendekeza kwa Mama kama yeye ni mtu wa bavicha tena kwa chama kilichowai kuwa chama kikuu cha upinzani hii ni aibu acheni, kusubiri wagombea kutoka CCM hii hachene msirudie, kuvizia vimakombo vinavyo dondoka kutoka CCM acheni ni aibu. Kujinasibu kwa mitusi na mineno isiyo poozwa acheni. Jaburibuni kujenga taasisi imara, mbona mtachukua nchi kilaini. CCM ya kawaida sana kama chama cha Kaunda wa Zambia au Kanu cha Kenya mbona viliondoka. Fungeni matumbo hata miaka 10 tu hii kuchumia tumbo mtakaa sana.

Hii kuwaficha ficha naona mnazidi kuwa wajinga, ni hivi Mama hana Ilani yake katika awamu ya sita isipokuwa Ilani yake ni ile ile ya awamu ya tano ambayo aliinadi na kaka yake marehemu au ranimeti wake, kule kulikuwa na mikakati ya kuwapiga pini hivyo wembe ni ule ule, na Mama ni CCM si bavicha sasa Lisu namsikia eti anataka aje aongee na Mama atasubiri sana, jengeni taasisi iwasaidie na si kuweka mbele fedha mpaka mnataka biashara ya chanjo hapa bongo hili mpatate 10% katika maisha ya watu.

Nadhani mnaweza kuelewa hapa kuwa ninyi ndiyo mlikuwa wa kwanza kusema serikali ya CDM ikiingia madarakani itafufua shirika la ndege, Magu kalifufua mnapinga, Hayati amelala ndege zinanunuliwa tena tatu eleweni hili lipo katika ilani ninyi vipi? Hayo mawazo ya kutaka kuokota fenesi katila msufi mtakaa sana.

Uchaguzi wa serikali za mitaa kesho kutwa wekeni maandalizi jamani, ninyi mnaanza na kuchoma watu kinga mnakera walio wengi na mkikosa kura haraka bira hata aibu utasikia tumeibiwa kura na tume siyo huru na mkishinda uchaguzi mnaipongeza tume mimi nakuwaga sielewi wapinzani wetu.

Jengeni taasisi ndugu zetu changamoto ndiyo nzuri zenye mashiko kwa taifa zima.
Tumekuelewa tutajiweka sawa
 
Ghiti Milimo

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
2,741
2,000

Vipi ile MITANO TENA? Kwa mawazo yenu, hii Nchi inaelekea shimoni sasa, kwani mliyetaka KUMLAZIMISHA, mtoa HUKUMU YA HAKI kamchukua!
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
52,905

Elimu Elimu Elimu

unununuzi wa ndege sio kama ununuzi wa migebuka.
Hizo ndege zilishakuwa zimelipiwa na Marehemu Fisadi.
 
Liwagu

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
2,563
2,000
Nakusalimu kwa Jina la Jamhuru ya muungano wa Tanzania. Kazi iendelee

Kurasa 303 ndio kwanzaaaa zinaanza.

Hahahaa hawatakagi kusijia kazi iendelee.

Wanaambiwa zege limesha korogwa na Magu halilali bado wanakodoa machu tu hawaelewi.
 
NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
9,379
2,000
Tanzania bila ya CCM haiwezekani.
Waache waongee na wao wasijisikie unyonge maana ajaenda za chama chao awana sasa wanaenda na ajenda za CCM.
 
Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
3,304
2,000
Zilishalipiwa long time, unalipa wakati unatoa order ndio wanaanza kutengeneza, sio kwamba unazikutta ndege zipo sokoni kama vitz au IST. Haihitaji uwe na akili hata ya msukuma au kibajaji kujua hili.
 
E oxygen

JF-Expert Member
Feb 25, 2021
209
225
Siasa za kujipendekeza kwa CCM na siasa nyepesi nyepesi ni vizuri mkazifanyie Ufipa, haya mawazo ya kutaka kuokota dodo katika mti wa mfenesi mwisho mtajikuta mmedharaurika mpaka na kuku. Niwaambie ukweli vijana wa Lumumba wanakosa dili kisa mmekuwa wepesi mmno, mpaka vijana na wana CCM wanalalamika. Natumia lugha ngumu kwani mnakatisha sana taama.

Kujipendekeza kwa Mama kama yeye ni mtu wa bavicha tena kwa chama kilichowai kuwa chama kikuu cha upinzani hii ni aibu acheni, kusubiri wagombea kutoka CCM hii hachene msirudie, kuvizia vimakombo vinavyo dondoka kutoka CCM acheni ni aibu. Kujinasibu kwa mitusi na mineno isiyo poozwa acheni. Jaburibuni kujenga taasisi imara, mbona mtachukua nchi kilaini. CCM ya kawaida sana kama chama cha Kaunda wa Zambia au Kanu cha Kenya mbona viliondoka. Fungeni matumbo hata miaka 10 tu hii kuchumia tumbo mtakaa sana.

Hii kuwaficha ficha naona mnazidi kuwa wajinga, ni hivi Mama hana Ilani yake katika awamu ya sita isipokuwa Ilani yake ni ile ile ya awamu ya tano ambayo aliinadi na kaka yake marehemu au ranimeti wake, kule kulikuwa na mikakati ya kuwapiga pini hivyo wembe ni ule ule, na Mama ni CCM si bavicha sasa Lisu namsikia eti anataka aje aongee na Mama atasubiri sana, jengeni taasisi iwasaidie na si kuweka mbele fedha mpaka mnataka biashara ya chanjo hapa bongo hili mpatate 10% katika maisha ya watu.

Nadhani mnaweza kuelewa hapa kuwa ninyi ndiyo mlikuwa wa kwanza kusema serikali ya CDM ikiingia madarakani itafufua shirika la ndege, Magu kalifufua mnapinga, Hayati amelala ndege zinanunuliwa tena tatu eleweni hili lipo katika ilani ninyi vipi? Hayo mawazo ya kutaka kuokota fenesi katila msufi mtakaa sana.

Uchaguzi wa serikali za mitaa kesho kutwa wekeni maandalizi jamani, ninyi mnaanza na kuchoma watu kinga mnakera walio wengi na mkikosa kura haraka bira hata aibu utasikia tumeibiwa kura na tume siyo huru na mkishinda uchaguzi mnaipongeza tume mimi nakuwaga sielewi wapinzani wetu.

Jengeni taasisi ndugu zetu changamoto ndiyo nzuri zenye mashiko kwa taifa zima.
Tutang'oa viti na kupakia magunia ya korosho au sato samaki. Haitakosa kazi ya kufanya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom