Nimeenda duka la jumla kununua vitu vya dukani karibia mzigo wa laki mbili nikamwambia muuzaji anipatie risiti nisije kukamatwa akanitolea kauli ya ajabu Sana kwamba aliyekuwa anadai risiti...
Kwenye hii story ya vijana wa JKT kikubwa kabisa ni story ya ukosefu wa ajira.
Kama sikosei kuna takwimu zilitoka kuonesha uchumi wetu ulikuwa unakuwa Kwa asilimia 2.5 Tu Kwa miaka miwili...
Nianze moja kwa moja kusema kuwa siasa Sasa imegeuka kuwa bidhaa Bora na biashara Bora katika maisha ya viongozi wengi hapa duniani hasa Tanzania Bila kuwaza kuwa watanzania wanahitaji maendeleo...
Dondoo
Hapo zamani, kwa baadhi ya makabila, jina la mtoto halikutolewa na mtu yeyote, bali mtu maalum katika jamii, mtu aliyeaminika kuiona kesho ya mtoto.
Mathalani huko kwa Wahaya, iliaminka...
Jaribu kufanya utafiti utagundua wanasiasa viongozi waliotoka familia maskini au kwenye uzururaji wanakuwaga na roho mbaya zaidi ya shetani.
Mfano ni Idd Amin aliyeokotwa mtaani na kuingizwa...
Bunge letu, kikatiba ni chombo muhimu sana, na ni miongoni mwa mihimili mitatu ya Taifa. Bunge siyo club ya mpira. Bahati mbaya, wabunge wengi wa Bunge letu la sasa, inaonekana hawatambui hadhi ya...
Serikali imesema kuanzia Julai Mosi itaanza kutoa mafunzo kazini, ikiwamo mbinu za ufundishaji wa somo la hesabu.
Hatua hiyo ni baada ya Serikali kubaini kuwa kuna walimu hawamudu kufundisha...
Maana ya neno tafsida ni utumiaji wa lugha ya adabu na heshima ili kuondoa ukali/ukakasi wa lugha na kuleta staha.
Kundi fulani la wanaCCM limeshangilia sana mama Samia aliposema yeye na JPM ni...
1.Kutangaza hali ya hatari na kuahirisha uchaguzi 2025
Hili limo ndani ya katiba ya sasa, kwa mujibu wa katiba, pindi inapotokea hali ya hatari rais amepewa uwezo wa kuahirisha uchaguzi mpaka...
Kuna moja ya thread jukwaa hili, imeandikwa humu ikiwa na hoja ya kwamba awamu ya Sasa serikali ya Mama Samia ni ya awamu ya tano yaani muendelezo wa mtangulizi wake.
Yafuatayo ni maelezo mafupi...
Wakati ndani ya nchi wanasema wameonewa na kuibiwa kura kwa kupata mbunge mmoja wa kuchagulia kutoka wabunge mia na kenda awamu iliyopita na pia mgombea urais Tundu Lissu akiambulia kura chini ya...
Wanabodi hili ni bandiko la kuelezana ukweli,na kama viongozi wetu ni wakweli basi hakuna haja za kusubiri mpaka mei mosi ifike ili mishahara ya watumishi wa umma iongezwe.
Mwaka 2017 kwenye...
Kuna watu wanateseka, tena bila sababu. Wanataka tutembee katika upotofu. Hawataki kusikia kuwa utawala wa awamu ya Hayati Magufuli umekoma kwa namna mojawapo ya zile zilizotajwa na katiba...
Jana tarehe 17/4/2021 na leo tarehe 18/4/2021, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndg. Ado Shaibu Ado amefanya ziara kwenye Kata 11 za jimbo la Muhambwe.
Kata zilizotembelewa ni Kitahana, Rusohoko...
Skauti ni mahali sahihi zaidi kwa vijana kujifunza uzalendo, uongozi, ushirikiano, umoja na mambo mengine muhimu ya kimaisha bila kuwapa vijana ambao ni washiriki wake hali ya ujivuni wa kijeshi...
Askofu mkuu wa kanisa la Pentekoste Tanzania na mwenyekiti wa baraza la makanisa ya kipentekoste Tanzania, Peter Konki amewasilisha mada ya umoja na mshikamano katika kongamano la viongozi wa dini...
Dr. Bashiru juhudi zako unazofanya za chuki na hasira dhidi ya Rais wetu mpemdwa tukwambie tu unasumbuka sana.
CCM ni chama chetu, Tumekulia ndani ya CCM, tunazijua tamaduni zetu, tunazijua saisa...
Kuna dhana potofu ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekuwa wakiwaaminisha Watanzania eti hakuna uhuru wa habari na vyombo vya habari vimeminywa. Dhana hiyo imekuwa...
Kumekuwepo na kelele kiasi toka kwa baadhi ya Watu ambao wanataka kufunganisha maendeleo ya Nchi yetu na Katiba Mpya au kwa kifupi maendeleo yanaendana na Katiba wanazofikiria wao zitawapa...