Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

My take: Binadamu wengi wana wivu wa mali na utajiri wa watu wengine;binafsi sina wivu wa mali wala utajiri wa watu wengine,bali nina wivu wa nukuu maarufu za watu wengine. Huyu bwana jina lake...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanabodi, Kuna aina mbili kuu za kuuliza maswali. Aina ya kwanza ni kuuliza swali ili kutaka kujua. Muuliza swali anakuwa anahitaji kujua kitu fulani au jambo fulani, hivyo anauliza ili apate...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Majukumu yake kama Mnikulu na maelezo ya Utangulizi Kazi yake kubwa ni kusimamia majengo yote ya ikulu kwa maana ya shughuli za utawala. Yeye ndiye anahusika na usafi na decorations zote...
137 Reactions
395 Replies
80K Views
Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wabunge walio wengi wakichangia hoja mbali mbali Bungeni na hata nje ya Bunge huku wakijitanabaisha kuwa wao ni viongozi waliopewa dhamana na kuaminiwa na...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa mfumo wetu, Wanasiasa ndio viongozi wa nchi ambapo kiongozi ndio hutoa muelekeo wa wapi pa kwenda au kutokwenda na ili iweje. Kwa mantiki hiyo, ili kupunguza ‘chances’ za kupotea, ni...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Rais Mama Samia Suluhu kwanza nikupongeze kwa kuomba kulihutubia Bunge na Mh Spika akakubalia. Ombi langu ni kuwa sekta zote zinaosubiri kwa hamu hotuba yako hasa wafanyabiashara wakubwa na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tunasikitika sana leo mambo ni mengi muda mchache; lakini kuweka rekodi sawa nimefungua hii thread ili muda ukitulia Mwigulu atueleze. Mwigulu ambaye kutwaaa kuchwaaa anaota kuwa Rais wa...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoisambaza kwa Umma, kwamba ameamua kuahirisha mpango wake wa kuhamishia biashara zake nje ya nchi baada ya Rais mpya Samia Suluhu kuonyesha mwanga wa kujali...
23 Reactions
102 Replies
11K Views
SASA TUMEMUELEWA RAIS SAMIA SULUHU KAZI IENDELEE Kwa heshima na taadhima kwa niaba ya wapenda maendeleo napenda kutoa shukurani za dhati kwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF Nawasalimu wote Nianze kwa kusema mimi sio Mganga wala Nabii ila ninenayo ndiyo ukweli unaotokana na uhalali wa hatimiliki kwa mujibu wa maagano. Hizo namba tajwa hapo juu yaani 2 na...
7 Reactions
49 Replies
6K Views
"Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii kuna uzandiki mwingi sana, kila mtu anazusha lake, naomba sana viongozi wa dini mlikemee hili na mengine yote yanayoenda kinyume na maadili na miiko yetu...
4 Reactions
20 Replies
5K Views
Mjadala wa ofisi ya Rais Tamisemi unakwenda vizuri ile mambo ya kusifia sifia kutoa pongezi na pole haipo leo. Mbunge wa kwanza kuchangia Anna Kilango ametaka majimbo yote yaangaliwe kiusawa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba nitoe tahadhari mapema kabisa, kwa mwanasiasa yeyote atakaye nikosea halafu aje kuniomba msamaha basi ajiandae kupiga magoti mbele ya kamera ndiyo nitamsamehe, huwezi kuniita...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
Mifumo ya chama chenu enyi wabunge wa CCM, inaonekana kuwajenga katika misingi ya ushabiki, kuimba na kupiga mapambio juu ya watawala na viongozi wenye mamlaka mbalimbali. Hebu tujikumbushe...
8 Reactions
47 Replies
5K Views
Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika...
48 Reactions
673 Replies
64K Views
Habari wakurugenzi..! Kiukweli mama mpaka sasa hana slogan au msemo au kauli mbiu yeye kama rais .Maana yule alikuwa na hapa kazi tu 2015 na Kazi Iendelee 2020 .Vipi mama akiamua kuchukua ile...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Alphayo Kidata, Rais Samia Suluhu amekurudishia heshima yako iliyoondolewa kwa sababu ambazo hazikuelezwa, tunafahamu kwamba ulitukanwa sana hadi ukavuliwa ubalozi, yaliyopita si ndwele tugange...
27 Reactions
157 Replies
20K Views
Wakati Waziri Mkuu akiahirisha Bunge baada ya hotuba ya Waziri Mkuu, Spika Ndugai ameongelea suala la uaminifu wa watanzania hasa kwa vijana na kudai wawekezaji wengi wamekuwa wakilalamika. Ndugai...
8 Reactions
62 Replies
7K Views
Imetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100 (1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha...
1 Reactions
88 Replies
8K Views
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na marekebisho yake yote, baada ya mhula huu mfupi wa urais wake wa kurithi kwa mujibu wa masharti ya Ibara ya 37(5), Rais Samia...
4 Reactions
106 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…