Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,417
- 30,927
Humphrey Polepole kijana mzee mwenye kipindi channel ten siku za wikend ambacho ukikiangalia utaamini anasaidia wananchi ila kimsingi ni kipindi chenye majivuno majigambo ya Tambo za kwamba yeye ana PR kubwa.
Mtu wa makoneksheni serikalini ambapo anaweza kumpigia yeyote wakati wowote nchi hii na lazima ajibu maswali yake tit for tat.
Kwa uhalisia kabisa watu pekee ambao polepole hawezi kuwapigia simu nchi hii ni wanne tu:
Kipindi hicho kinamjenga polepole zaidi kuliko chama.
Mama yetu Rais SSH stuka, Hawa ndio walikuwa kwenye kampeni za 2025 polepole alikuwa anajiimarisha kisiri na kichinichini piga chini huo utopolo wa polepole mama.

- Rais
- Makamu wa Rais
- Waziri Mkuu
- Mkuu wa Majeshi