Mazungumzo kati ya Askofu Mwamakula na Ifuguto

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
111,671
2,000
Mhashamu Baba Askofu Dkt. Kalikawe Lwakalinda Bagonza! Elimu uliyoitoa juzi katika ukurasa wako wengine haikuwaingia! Waliendelea kuteseka katika nafsi zao eti kwa nini Viongozi wengine wa Dini hawakuhudhuria Kongamano la Viongozi wa Dini lililofanyika Dodoma! Waguma?!

Ifuguto: Heshima yako Baba Askofu!

Askofu Mwamakula: Nashukuru! Ni nani mwenzangu?

Ifuguto: Mimi ninaitwa 'Ifuguto' ninatoka .... Samahani Baba Askofu, ninaweza kukuuliza jambo moja?

Askofu Mwamakula: Mmmh! Karibu!

Ifuguto: Juzi kulikuwa na Kongamano la Viongozi wa Dini lililofanyika Dodoma kuhusu kumshukuru Mungu kwa ajili ya maisha ya Hayati Magufuli. Mbona sikukuona?!

Askofu Mwamakula: Uliweza kuwaona watu wote waliohudhuria?

Ifuguto: Hapana!

Askofu Mwamakula: Sasa unajuaje huenda mimi nilikuwa miongoni mwa wengi ambao hukuwaona?

Ifuguto: Wewe ni kiongozi mkubwa na lazima ungelionekana tu. Lakini pia nilifuatilia kwa watu wengi wamenihakikishia kuwa hukuwepo. Lakini kwa nini hukuhudhuria Baba Askofu?

Askofu Mwamakula: Kwani kulikuwa na ulazima wa kila Kiongozi wa Dini kuhudhuria?

Ifuguto: Hapana! Lakini wewe ni kiongozi mkubwa na Kongamano lilihusisha watu wengi na lilibeba sura ya kitaifa. Kwa hiyo tulitegemea kila Kiongozi Mkuu wa Dini awepo!

Askofu Mwamakula: Kongamano la Viongozi wa Dini la 2020 lililoandaliwa Dar es Salaam kwa ajili ya kumpongeza Magufuli halikubeba sura ya kitaifa?

Ifuguto: Lilibeba!

Askofu Mwamakula: Viongozi wote wa Dini walihudhuria? Askofu Mwamakula alikuwepo?

Ifuguto: Hawakudhuria wote na hatukumuona Askofu Mwamakula pia.

Askofu Mwamakula: Tukio la kumpokea Tundu Lissu alipokuwa anatoka Ubeligiji mwaka jana, halikubeba sura ya kitaifa? Viongozi wote wa Dini walihudhuria?

Ifuguto: Lilibeba! Hawakudhuria Viongozi wote wa Dini!

Askofu Mwamakula: Ni Viongozi gani wa Dini waliohudhuria tukio la kumpokea Tundu Lissu?

Ifuguto: Niliwaona Askofu Mwamakula na Sheikh Katimba

Askofu Mwamakula: Unadhani ni kwa nini Viongozi wengine wa Dini hawakuhudhuria?

Ifuguto: Sijui! Labda kwa sababu lile lilikuwa ni tukio la kisiasa na lilimhusu mwanasiasa.

Askofu Mwamakula: Hayati Magufuli hakuwa mwanasiasa? Tukio la juzi halikugusia siasa?

Ifuguto: Hayati Magufuli alikuwa ni mwanasiasa na tukio la juzi liligusia siasa.

Askofu Mwamakula: Mikutano ya Kitaifa ya CCM na Serikali yake haihudhuriwi na Viongozi wa Dini?

Ifuguto: Inahudhuriwa na Viongozi wa Dini.

Askofu Mwamakula: Viongozi wote wa Dini wanahudhuria Mikutano ya Kitaifa ya CCM na Serikali yake?

Ifuguto: Hapana. Ni baadhi tu!

Askofu Mwamakula: Mikutano ya Kitaifa ya CHADEMA na ACT Wazalendo inahudhuriwa na Viongozi wa Dini?

Askofu Mwamakula: Viongozi wote wa Dini wanahudhuria Mikutano ya Kitaifa ya CHADEMA na ACT Wazalendo?

Ifuguto: Hapana. Ni baadhi tu!

Askofu Mwamakula: Unafikiri ni kwa nini katika Mikutano hiyo yote ya Kitaifa iliyotajwa haihudhuriwi na Viongozi wote wa Dini?

Ifuguto: Sijui. Labda au pengine wanakuwa wametingwa au wanakuwa wamesafiri au wanakuwa wanaumwa au wanakuwa hawajaalikwa.

Askofu Mwamakula: Sasa unajuaje pengine katika Kongamano la juzi labda Askofu Mwamakula na Viongozi wengine wa Dini ambao hawakuhudhuria labda pengine walikuwa wametingwa, au walisafiri, au walikuwa wanaumwa au hawakualikwa?

Ifuguto: Siwezi kujua Baba Askofu.

Askofu Mwamakula: Una swali lingine?

Ifuguto: Hapana. Ninakushukuru kwa muda wako.

Askofu Mwamakula: Nakushukuru pia na wewe. Ushauri wangu ni kuwa mjitahidi kujihusisha na mambo yanayogusa maslahi mapana ya Taifa kuliko kutafuta ni Kiongozi gani wa Dini alihudhuria au hakuhudhuria matukio!

Ifuguto: Ahsante kwa ushauri Baba Askofu!
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
111,671
2,000
Askofu Mwamakula ndiye muandishi na huyu hajawahi kuwa mzandiki hata kwa sekunde moja, siku zote anataka nchi iendeshwe kwa haki, usawa na uwazi na ndiyo sababu anaipigania katiba mpya ya rasimu ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi. Mzandiki KAMWE hawezi kuyatetea hayo.
Tuna waandishi wazandiki sana wanapenda chokochoko ktk masuala ya kinaafiki kuliko maslahi ya kitaifa
 
Themagufulianz

JF-Expert Member
Apr 15, 2017
4,510
2,000
Hamkuja kwenye yale maandamano yake ya kudai katiba.... tulikuwa mimi na Bishop only....

Mnamuunga mkono kwa vitufe vya kubofyabofya?
Askofu Mwamakula ndiye muandishi na huyu hajawahi kuwa mzandiki hata kwa sekunde moja, siku zote anataka nchi iendeshwe kwa haki, usawa na uwazi na ndiyo sababu anaipigania katiba mpya ya rasimu ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi. Mzandiki KAMWE hawezi kuyatetea hayo.
 
Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
6,374
2,000
Mhashamu Baba Askofu Dkt. Kalikawe Lwakalinda Bagonza! Elimu uliyoitoa juzi katika ukurasa wako wengine haikuwaingia! Waliendelea kuteseka katika nafsi zao eti kwa nini Viongozi wengine wa Dini hawakuhudhuria Kongamano la Viongozi wa Dini lililofanyika Dodoma! Waguma?!

Ifuguto: Heshima yako Baba Askofu!

Askofu Mwamakula: Nashukuru! Ni nani mwenzangu?

Ifuguto: Mimi ninaitwa 'Ifuguto' ninatoka .... Samahani Baba Askofu, ninaweza kukuuliza jambo moja?

Askofu Mwamakula: Mmmh! Karibu!

Ifuguto: Juzi kulikuwa na Kongamano la Viongozi wa Dini lililofanyika Dodoma kuhusu kumshukuru Mungu kwa ajili ya maisha ya Hayati Magufuli. Mbona sikukuona?!

Askofu Mwamakula: Uliweza kuwaona watu wote waliohudhuria?

Ifuguto: Hapana!

Askofu Mwamakula: Sasa unajuaje huenda mimi nilikuwa miongoni mwa wengi ambao hukuwaona?

Ifuguto: Wewe ni kiongozi mkubwa na lazima ungelionekana tu. Lakini pia nilifuatilia kwa watu wengi wamenihakikishia kuwa hukuwepo. Lakini kwa nini hukuhudhuria Baba Askofu?

Askofu Mwamakula: Kwani kulikuwa na ulazima wa kila Kiongozi wa Dini kuhudhuria?

Ifuguto: Hapana! Lakini wewe ni kiongozi mkubwa na Kongamano lilihusisha watu wengi na lilibeba sura ya kitaifa. Kwa hiyo tulitegemea kila Kiongozi Mkuu wa Dini awepo!

Askofu Mwamakula: Kongamano la Viongozi wa Dini la 2020 lililoandaliwa Dar es Salaam kwa ajili ya kumpongeza Magufuli halikubeba sura ya kitaifa?

Ifuguto: Lilibeba!

Askofu Mwamakula: Viongozi wote wa Dini walihudhuria? Askofu Mwamakula alikuwepo?

Ifuguto: Hawakudhuria wote na hatukumuona Askofu Mwamakula pia.

Askofu Mwamakula: Tukio la kumpokea Tundu Lissu alipokuwa anatoka Ubeligiji mwaka jana, halikubeba sura ya kitaifa? Viongozi wote wa Dini walihudhuria?

Ifuguto: Lilibeba! Hawakudhuria Viongozi wote wa Dini!

Askofu Mwamakula: Ni Viongozi gani wa Dini waliohudhuria tukio la kumpokea Tundu Lissu?

Ifuguto: Niliwaona Askofu Mwamakula na Sheikh Katimba

Askofu Mwamakula: Unadhani ni kwa nini Viongozi wengine wa Dini hawakuhudhuria?

Ifuguto: Sijui! Labda kwa sababu lile lilikuwa ni tukio la kisiasa na lilimhusu mwanasiasa.

Askofu Mwamakula: Hayati Magufuli hakuwa mwanasiasa? Tukio la juzi halikugusia siasa?

Ifuguto: Hayati Magufuli alikuwa ni mwanasiasa na tukio la juzi liligusia siasa.

Askofu Mwamakula: Mikutano ya Kitaifa ya CCM na Serikali yake haihudhuriwi na Viongozi wa Dini?

Ifuguto: Inahudhuriwa na Viongozi wa Dini.

Askofu Mwamakula: Viongozi wote wa Dini wanahudhuria Mikutano ya Kitaifa ya CCM na Serikali yake?

Ifuguto: Hapana. Ni baadhi tu!

Askofu Mwamakula: Mikutano ya Kitaifa ya CHADEMA na ACT Wazalendo inahudhuriwa na Viongozi wa Dini?

Ifuguto: Inahudhuriwa na Viongozi wa Dini.

Askofu Mwamakula: Viongozi wote wa Dini wanahudhuria Mikutano ya Kitaifa ya CHADEMA na ACT Wazalendo?

Ifuguto: Hapana. Ni baadhi tu!

Askofu Mwamakula: Unafikiri ni kwa nini katika Mikutano hiyo yote ya Kitaifa iliyotajwa haihudhuriwi na Viongozi wote wa Dini?

Ifuguto: Sijui. Labda au pengine wanakuwa wametingwa au wanakuwa wamesafiri au wanakuwa wanaumwa au wanakuwa hawajaalikwa.

Askofu Mwamakula: Sasa unajuaje pengine katika Kongamano la juzi labda Askofu Mwamakula na Viongozi wengine wa Dini ambao hawakuhudhuria labda pengine walikuwa wametingwa, au walisafiri, au walikuwa wanaumwa au hawakualikwa?

Ifuguto: Siwezi kujua Baba Askofu.

Askofu Mwamakula: Una swali lingine?

Ifuguto: Hapana. Ninakushukuru kwa muda wako.

Askofu Mwamakula: Nakushukuru pia na wewe. Ushauri wangu ni kuwa mjitahidi kujihusisha na mambo yanayogusa maslahi mapana ya Taifa kuliko kutafuta ni Kiongozi gani wa Dini alihudhuria au hakuhudhuria matukio!

Ifuguto: Ahsante kwa ushauri Baba Askofu!
Hapa aliyekuwa anahojiwa kati ya mwandishi na Baba Askofu, ni yupi? Mwandishi au Baba Askofu?
 
Trillion

JF-Expert Member
Apr 24, 2018
1,562
2,000
Mungu amembariki sana baba Askofu Mwamakula, hekima, akili na uwelewa wa kinabii huu..🙏🏾🙏🏾

Naelewa sasa kwa nini Nabii Suleiman aliomba HEKIMA kwa Allah.
 
Mikono yenye Sugu

Senior Member
Jul 1, 2020
112
250

PAMOJA NA VIONGOZI WENGI WA DINI KUKUBUHU KWA UNAFIKI, WAPO WACHACHE MIONGONI MWAO WALIOKUBALI KUUSIMAMIA WITO WA UTUME ULIOWEKWA NA MUNGU NDANI YAO. BABA ASKOFU MWAMAKULA NI MMOJAWAPO WA HAO WALIO TAYARI KUSIMAMA NA WANAOONEWA. MUNGU AMBARIKI MTUMISHI WAKE NA KUMPA ULINZI WA KIMBINGU.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom