Observation: Nyerere, Mkapa na Magufuli (RIP) wana mfanano wa ajabu

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Nime observe striking similarities baina ya Marais walio tangulia mbele za haki kwa Tanzania:

1. Wote ni Marais walio toka upande mmoja wa muungano, Tanzania Bara.
2. Wote walikua wasomi zaidi Kuliko walio baki.
3. Wote walikua dini moja, wakristo.
4.Wawili Kati yao walirekebisha uchumi kwa viwango vya juu katika nchi ingawa mmoja alitikisa tunu za taifa hili.
5......
6........

Mungu alaze roho zao panapo stahiki
 
Vipi Kuhusu Nadharia kwamba, Wakitangulizana kutokana na tofauti za kimtazamo katika masula fulani?Wa mwisho kazidiwa kete baada ya kujarbu tena kumtanguliza mwingine.Kuna ukweli katika hilo?
 
Vipi Kuhusu Nadharia kwamba,Wakitangulizana kutokana na tofauti za kimtazamo katika masula fulani?Wa mwisho kazidiwa kete baada ya kujarbu tena kumtanguliza mwingine.Kuna ukweli katika hilo?
Nimepata kusikia kua wa pili alimtanguliza wa kwanza, nae akatangulizwa na wa mwisho Alie angukia pua akijaribu kumtanguliza mstaafu kijana.
 
Vipi Kuhusu Nadharia kwamba,Wakitangulizana kutokana na tofauti za kimtazamo katika masula fulani?Wa mwisho kazidiwa kete baada ya kujarbu tena kumtanguliza mwingine.Kuna ukweli katika hilo?
Ombeni nanyi mtapewa, bisheni nanyi mtafunguliwa. "Nikifa nataka nikawe rais wa malaika" "Siku moja nitakufa........pengine kwa Korona........"
 
Back
Top Bottom