Je, baadhi ya Wabunge na wana CCM bado wanamuogopa Hayati Magufuli?

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,577
15,925
Kwa mfumo alioutengeneza Hayati John Pombe Magufuli ni wazi kuwa mpaka sasa wana CCM walio wengi wakiwemo waheshimiwa wabunge wanaliogopa kaburi la Magufuli.

Magufuli alikuwa aliyefanikiwa kuweka mfumo wake kuanzia Wabunge, kwenye chama na utumishi wa Umma wakiwemo watu wa Idara ya Usalama wa Taifa huku kote aliweka watu wanaomuogopa na kufuata lolote analosema hata kama halina manufaa kwa nchi.

Ninachokiona mpaka sasa Baadhi ya wateuliwa wana hofu ya kumuogopa Magufuli. Tumeona bungeni wakisema legacy ya Magufuli italindwa kwa namna yeyote na hakuna ruhusa ya kumsema vibaya marehemu.

Huu mfumo utamtesa sana Samia Suluhu kuelekea mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi tarehe 30. Wanataka kumtoa Uenyekiti ili waweze kumwajibisha ikiwezekana atawale kwa kipindi kimoja tu. Mungu akusaidie Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Unajua kuna ile nyimbo ya uhuru Bendera yapepea aafu sijui inasema mayai wameyacha naona na Mheshimiwa huenda ameacha mayai,si unajua wanaitwa Mataga yaani mayai.
 
Wabongo wamezoea shida na tabu, yaani hakuna point ya kutaka utawala wa ukame uendelee kutawala but wanalazimisha iwe ivyo, mtumieni mama Samia vizuri coz anaongoza kwa busara sana ingawaje yuko undercontrol ya ccm but kuna uafadhali sana
 
Unajua kuna ile nyimbo ya uhuru Bendera yapepea aafu sijui inasema mayai wameyacha naona na Mheshimiwa huenda ameacha mayai,si unajua wanaitwa Mataga yaani mayai.
Daah inawezekana.ila mama samia anatakiwa kuwa na moyo wa kiume japo mwanamke bila kuwakazia watamsumbua.
 
Kwa mfumo alioutengeneza Hayati John Pombe Magufuli ni wazi kuwa mpaka sasa wana CCM walio wengi wakiwemo waheshimiwa wabunge wanaliogopa kaburi la Magufuli.

Magufuli alikuwa aliyefanikiwa kuweka mfumo wake kuanzia Wabunge, kwenye chama na utumishi wa Umma wakiwemo watu wa Idara ya Usalama wa Taifa huku kote aliweka watu wanaomuogopa na kufuata lolote analosema hata kama halina manufaa kwa nchi.

Ninachokiona mpaka sasa Baadhi ya wateuliwa wana hofu ya kumuogopa Magufuli . Tumeona bungeni wakisema legacy ya Magufuli italindwa kwa namna yeyote na hakuna ruhusa ya kumsema vibaya marehemu.

Huu mfumo utamtesa sana Samia Suluhu kuelekea mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi tarehe 30. Wanataka kumtoa Uenyekiti ili waweze kumwajibisha ikiwezekana atawale kwa kipindi kimoja tu. Mungu akusaidie Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Madaraka ya rais ni makubwa sana,,hakuna mbuzi hata mmoja atakae zuia Samia asiwe mwenyekiti,,take it from me
 
Kwa mfumo alioutengeneza Hayati John Pombe Magufuli ni wazi kuwa mpaka sasa wana CCM walio wengi wakiwemo waheshimiwa wabunge wanaliogopa kaburi la Magufuli.

Magufuli alikuwa aliyefanikiwa kuweka mfumo wake kuanzia Wabunge, kwenye chama na utumishi wa Umma wakiwemo watu wa Idara ya Usalama wa Taifa huku kote aliweka watu wanaomuogopa na kufuata lolote analosema hata kama halina manufaa kwa nchi.

Ninachokiona mpaka sasa Baadhi ya wateuliwa wana hofu ya kumuogopa Magufuli . Tumeona bungeni wakisema legacy ya Magufuli italindwa kwa namna yeyote na hakuna ruhusa ya kumsema vibaya marehemu.

Huu mfumo utamtesa sana Samia Suluhu kuelekea mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi tarehe 30. Wanataka kumtoa Uenyekiti ili waweze kumwajibisha ikiwezekana atawale kwa kipindi kimoja tu. Mungu akusaidie Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Si wabunge tu, hadi na viongozi wakubwa kama hawa.
 
Huwa ni kawaida ya nyumbu kuona yuko salama mbele ya mdomo wa Simba.

Rais Samia wanyooshe tena.
 
Magufuli anaishi mioyoni mwa watu.
Falsafa ya JPM imejikita katika mioyo na ubongo wa Watanzania wengi sana.
Watu wasifanye mzaha juu ya JPM. JPM ni kiongozi wa pekee sana ukiachana na Mwalimu.
Nakuhakikishia kwamba, hata ingetokea VITA kati ya JPM na mtu mwingine yeyote yule aliye hai leo hii JPM angeshinda hiyo VITA kwa kishindo cha ajabu hata kama yupo Kaburini.
Power ya JPM siyo ya utani utani hivi.
 
Mtu aliyekufa anakuwaje na power? Na anazitumiwa wapi wakati yupo kwenye kaburi?
 
Magufuli anaishi mioyoni mwa watu.
Falsafa ya JPM imejikita katika mioyo na ubongo wa Watanzania wengi sana.
Watu wasifanye mzaha juu ya JPM. JPM ni kiongozi wa pekee sana ukiachana na Mwalimu.
Nakuhakikishia kwamba, hata ingetokea VITA kati ya JPM na mtu mwingine yeyote yule aliye hai leo hii JPM angeshinda hiyo VITA kwa kishindo cha ajabu hata kama yupo Kaburini.
Power ya JPM siyo ya utani utani hivi.
Alikuwa anaongoza nchi kwa propaganda
 
Back
Top Bottom