Wanaharakati wa Kenya wamsihi Rais Suluhu kuwaachia huru Wanaharakati, Waandishi wa habari na Wafungwa wa Kisiasa Nchini Tanzania

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,369
217,420
Hayo yametamkwa na Watetezi hao wa Haki za binadamu wakati wakiwasilisha tamko lao hilo kufuatia ziara ya Rais wa Tanzania nchini mwao.

Wamesema wanatambua kwamba hivi karibuni Mh Rais alitoa Msamaha kwa zaidi ya wafungwa elf 5 , lakini wanaona kwamba anapaswa pia kuwaachilia huru wale wote walioswekwa rumande kutokana na mambo ya uchaguzi mkuu wa 2020.

Mungu ibariki Kenya.
====

Haki Africa appeals to President Suluhu to release activists, journalists detained in Tanzania
Civil society actors drawn from Kenya, Uganda and Tanzania have implored Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan to release more than 100 human rights activists, journalists and political prisoners incarcerated by the previous regime for criticising the 2020 general election.

The Haki Africa human rights group that made the statement on behalf of their colleagues in the region acknowledged the move by President Suluhu to pardon 5,000 prisoners last week, stating that notable human rights defenders are still languishing in correctional facilities.

“We acknowledge your stature as a progressive leader to the People of Tanzania, East Africa and Africa at large. As civil society organizations, we have confidence and faith in your leadership and the good example you continue to set. Your Excellency, we African civil society actors from all walks of life, view the citizens of the United Republic of Tanzania as our brothers and sisters,” read the statement released on Tuesday.

“We affirm that any concern arising from your country is our collective concern. From the interactions, reports and media highlights, we have come to learn and appreciate your recent move to release over 5,000 prisoners from prison, some of who were detained during the recently concluded electoral process in Tanzania. Indeed, you have shown the way for other African leaders to follow.”

According to Haki Africa, there are at least 100 known human rights defenders, journalists and political activists still being detained over the last election.

“…from our partners in Tanzania, we have come to learn that, there may still be others including human rights defenders, journalists and political activists, who may still be incarcerated in prisons across Tanzania. It is our belief that they too were arrested in relation to Tanzania’s 2020 general elections. Attached is a list of about 100 who we fear may still be held in prisons,” they stated.

“Through this statement, we appeal to you, first as a mother, secondly as a civil society colleague and thirdly as the President of the United Republic of Tanzania, to consider releasing and or pardoning them. This request is keeping in-line with your government’s commitment to fulfill its obligations under international laws and statutes guarding human rights, rule of law and democracy.”

Chanzo cha habari: Citizen TV
 
Hapo kwao Kenya pakoje?

Je, kwenye yale mauaji ya 2007 kuna yeyote kawajibika mpaka sasa hivi?

Yani mwanaharakati kutoka Kenya ampangie Samia chakufanya? Wanafikri tz ni sehemu ya jimbo hapo Kenya?

Na wameainisha hao wafungwa ni kina nani?

Wao ndio wanazijua sheria za tz kuliko watz wenyewe?
 
Ushauri sio lazima upokelewe ila kimsingi watu wengi walioonewa na Jiwe wanatakiwa kuwa huru maana wengi wao hawana hatia walikua wanasaidia uongozi wake lakini matokeo yake wakaonekana wasaliti na wahaini, wengi wao walitoa ushauri tena mzuri tu wa mambo ya kufanyika lakini matokeo yake wakatiwa ndani. Uanaharakati na kuwa na mawazo mbadala ama mawazo tofauti na yakwako sio uadui wala dhambi.
 
Mama wetumppendwa aliisha agiza watu walioko mahabisu ns kesi zao hazina ushahidi waachiwe. Lakini bado kuna watu kwenye mhimili wana damu ya Mwenda zake.

Hawajui kwamba hatorudi tena.

Lakini tutaelewana tu!
 
Bila shaka mpumbavu ni wewe usiyemfahamu kuwa kuna wafungwa wengi na mahabusu ambao kesi zao ni za kubumba kwa kuwa wapinzani wa siasa chafu za CCM!
Unapanic nini sasa?

Siasa zenu za kishenzi ndio zimesababisha mpelekane jela.

Hao wakenya waliuana 2007 na watu zaidi ya 1500 walikufa na waliofanya unyama ule wako ikulu wanakula nchi. Hao wanaharakati wenu uchwara wamefanya nini mpaka sasa hivi ili kuwawajibisha waliosababisha unyama ule?
 
Unapanic nini sasa?

Siasa zenu za kishenzi ndio zimesababisha mpelekane jela,

Hao wakenya waliuana 2007 na watu zaidi ya 1500 walikufa na waliofanya unyama ule wako ikulu wanakula nchi. Hao wanaharakati wenu uchwara wamefanya nini mpaka sasa hivi ili kuwawajibisha waliosababisha unyama ule?
Mshenzi ni yule aliye militarize uchaguzi halafu baada ya miezi mitatu Mungu akamtupa kuzimu.
 
Unapanic nini sasa?

Siasa zenu za kishenzi ndio zimesababisha mpelekane jela,

Hao wakenya waliuana 2007 na watu zaidi ya 1500 walikufa na waliofanya unyama ule wako ikulu wanakula nchi. Hao wanaharakati wenu uchwara wamefanya nini mpaka sasa hivi ili kuwawajibisha waliosababisha unyama ule?
Tunamuomba Mungu afanye kama alivyomfanya mfu shetani mtu Magufuli aliyeuwa na kutesa watu kwa mamia!
 
Kenya bwana ni bahati mbaya tu Iko Afrika hii nchi ilitakiwa angalau iwe hata ulaya mashariki huko.
Unaushahidi wowote unaijua Kenya au unaisikia tu naomba siku moja fika nadhani haya unayoandika hutarudia tena, hakuna watu wa hovyo kama hawa.
 
Hapo kwao Kenya pakoje?

Je, kwenye yale mauaji ya 2007 kuna yeyote kawajibika mpaka sasa hivi?

Yani mwanaharakati kutoka Kenya ampangie Samia chakufanya? Wanafikri tz ni sehemu ya jimbo hapo Kenya?

Na wameainisha hao wafungwa ni kina nani?

Wao ndio wanazijua sheria za tz kuliko watz wenyewe?
Tuma watu hopeless kabisa. Hawa wanamwomba Rais awaachie watu waliopo magerezani kwa sababu ya kutimiza haki zao za kikatiba, wewe unaongelea ka **** watu wamehulumiwa kwa mauji ya 2007!! **** uhusiano gani? Kama mtu huna uwezo hata wa kutambua tu kinachojadiliwa, unaweza kuwa na uwezo wa kufanya analysis kama tunavyotaka watu wafanye kwenye jukwaa hili. Kama huelewi kimachoongelewa, soma maoni ya wanaoelewa, utaeleimika.
 
Back
Top Bottom