Tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani, anatumia usafiri wa ndege tu, gharama zikoje hapa

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
804
1,945
Itakumbukwa katika awamu ya serkali ya tano kila kitu kilifanyika kwa minajili ya kubana matumizi ya Serikali.

Awamu ya sita chini ya Samia Suluhu imekuwa ya kitofauti kabisa na awamu ya tano hususani katika suala la matumizi ya Rais.

Mheshimiwa Rais Samia tangu kuapishwa kwakwe amepiga route kadhaa ndani na nje ya nchi huku usafiri unaotumika muda wote ukiwa ndege pekee.

Hivi gharama zake hapa ziko vipi ukilinganisha na ule usafiri wa barabara ambao ni rahisi kubana matumizi?
 
Wabongo bhana Dah!!
Mwendazake alikuwa anatumia misafara ya magari karibia 50, ukifanya cost analysis, Dar-Dodoma-Mwanza-Chato ilikuwa ghali sana hasa kwa night allowances.
Wafaidika wa misafara wanaisoma namba.

Sasa mama kaamua kutumia ndege, nalo kosa, tunawazia gharama, basi mie nafikiria atumie bajaj na bodaboda! 😆
Au mkokoteni wa punda.

Everyday is Saturday................................😎
 
Back
Top Bottom