Leo imenibidi niliongee hili ili niae huru kwa maana moyo unauma kuona uongo uzushi chuki na fitna kwa Mama Samia.
Ninaona ni kama watu wamejipa ajira ya kudumu ya kukosoa maraisi. Kukosoa sio...
Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT nchini Dr Shoo ameiomba serikali ya Rais Samia kuwapunguzia kodi katika shule na hospitali za taasisi za kidini kwani mxigo wa kodi ni mkubwa na umewaelemea.
Askofu...
Taarifa zaidi zitawajia hivi punde
=====
Hii ni baada ya Upande wa Mashitaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi kwa ajili ya usikilizaji wa kesi hiyo leo tarehe 5 May 2021...
Katika Hali ya kawaida na utawala Bora, matusi yale ya DC yalibidi yamwondoe ofisini. Bado yupo Kama vile hakuna "uhalifu" alioufanya. Angalau Jiwe alimwajibisha aliyetishia mtu na pistol. Sasa...
Eti huyu ni injinia amebadili gari lake lililotumika kubebea spika za kampein kuwa gari la wagonjwa hii ni dharau kwa wapiga kura .
Hivyo vitanda vinaweza vipi kumbebea mama mjamzito kutoka...
Ukweli ndio huo.
Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.
Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.
Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF...
Roho ya kujitosheleza,kutotaka Makuu na kutojilimbikiza Mali. Hii roho nyerere aliitoa wapi? Zama zile nadhani Nyerere angekuwa amejilimbikizia Mali nyingi na Familia yake au Ukoo ungekuwa moja ya...
Leo kumetokea maamuzi Kama siyo ya kushangaza Basi maamuzi kichaa kabisa umma wa watanzania umeshikwa na butwaa watu wametumia rasilimali fedha,muda kufika uwanjani
Halafu anatokea mtu mmoja...
Ndugu waTanzania wenzangu,
Bila shaka taifa letu linapitia katika kipindi kigumu kabisa katika historia yake baada ya kumpoteza Rais wetu Mh. John Magufuli. Nimeungana na waTanzania wenzangu...
Kwenu Watanzania wenzangu wa vyama vyote nchini,
Tunayo mengi ya kufanya lakini swala ajira linahitaji kujadiliwa kwa mapana na marefu na Watanzania wote, tusiwaachie wabunge peke yao wanao pokea...
Nimeona wapinzani wetu wanamshangilia Rais Samia kuwaalika waingie Serikalini.
Bila shaka, Mama atawateua wale wapinzani wenye majina makubwa kwa malengo fulani ya kisiasa, pamoja na kuunda umoja...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wanajukwaa.
Ndugu zangu kwanza nitaanza kwa ku declear interest kwamba mimi ni mwana CCM ambae nilikuwa simuungi na sikubaliani na hayati Magufuli bila...
Kwako Mh.Rais sisi wananchi wa kawaida tunakuombea sana kwa Mungu mwingi wa rehema akuongoze katika kuliongoza taifa letu.
Unapoendelea kupanga safu yako ya kukusaidia kuongoza, natamani kuona...
Nimetafakari sana visa vingi vinavyofanywa na vilivyowahi kufanywa na watawala kwa wananchi wa Tanzania.
Vuta picha askari polisi wanavyonyanyasa raia katika mambo mbalimbali halafu hawarushiwi...
Asalaam Aleykum Wasomaji wa JFs.
Kwanza nitoe pongezi za awali kwa Mh Samia Suluhu kwa namna alivyoanza kuongoza nchi yetu ambayo kwa namna moja ama nyingine ilikuwa unapoteza mwelekeo chini ya...
Mjadala wa Simba na Yanga umehamisha mjadala mkali uliokuwa ukiendelea juu ya uhalali wa Rais ambaye siye waziri wa Nishati na wala si mwanasheria mkuu wa serikali wala hatujaona anawashirikisha...