Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.
Angalia laana iliyoikumba DR...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM-Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka atazungumza na Waandishi wa Habari katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Kigoma Leo Alhamisi Tarehe 13.05.2021 kuanzia Saa 4...
Chama cha CHADEMA kimesema hakitashiriki uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Muhambwe lililopo wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma.
Jimbo la Muhambwe liko wazi baada ya aliyekuwa mbunge Atashasta...
Eneo la kwanza ni kuheshimu katiba na sheria, hili ni eneo ambalo kama nchi tunataka kudumisha upendo na amani ni la kuzingatia kwa nguvu zote. Samia ameapa kulinda katiba asipofanya hivyo ni...
Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao...
Katika mawaziri wote wa Serikali ni Juma Aweso Waziri wa Maji ndiye anayesimama kidete kutetea wahitimu wa fani ndani ya Wizara yake.
Hatua ambazo ameshachukua ni pamoja na kuagiza Mkurugenzi wa...
Chama Cha mapinduzi pamoja na TANU enzi zetu vilikuwa vinapeleka vijana kwenda kusoma propaganda na mambo ya siasa nje ya nchi. Baadhi yao ni akina Mrema wa TLP, baada ya watu hao kurejea nchini...
Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amesema ni miezi 5 imepita tangu amwandikie mkurugenzi wa uchaguzi NEC akitaka kujua ni nani alipeleka orodha ya majina ya akina Halima Mdee na wenzake na form...
Ndugu zangu,
Wabunge wa CCM wanapiga kotekote
========
Bunge lajadili malori kukwama bandarini Dar
Bunge la Tanzania limeahirisha mjadala wa Wizara ya Afya kwa takribani nusu saa ili kujadili...
Ni wazi kuwa sakata la uvunjifu wa katiba Bungeni linamkera sana Mheshimiwa Rais mama Samia ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM.
Tatizo ni kuwa kama Rais hapendi aonekane kuwa anaingilia mihimili...
Habari ndugu zanguni,
Nimeona mijadala mingi sana mitandaoni ambayo ukiangalia kwa wingi ni wale ndugu zetu ambao wamekuwa wakikosoa mienendo ya Rais wetu Mama Samia katika ziara yake nchini...
Shalom kutoka Jerusalem,
Mara nyingi kunapotokea sintofahamu inayohitaji uwajibikaji wa serikali viongozi wa juu wamekuwa wakiwaambia wananchi kuwa "serikali ilikuwa na nia njema kabisa". Hivi...
MBUNGE AHOJI UHALALI WA BAKWATA KUWA MSEMAJI WA WAISLAMU
Na Esther Mbusi, Dodoma
Mbunge wa Mchinga, Hamidu Bobali (CUF), amehoji uhalali wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) kuwa wasemaji...
Soma hii hapa chini
Freeman Mbowe alianza kufanya biashara akiwa na miaka 23,anasema hali ya biashara nchini ilikuwa mbaya baada ya Azimio la Arusha. Pia Mbowe anasema baba yake alikataa Ujamaa...
Madudu yameanza bandarini ndani ya muda mfupi sana baada ya DG engineer Kakoko kuondolewa bandarini.
Ifahamike hapo nyuma matatizo haya yalikuwepo mpaka Magufuli aliingilia kati akiamini ndio...
Ni ukweli usiopingika kuwa Ili Uchumi wa Viwanda katika nchi yetu uimarike, ni lazima tutegemee Mali ghafi zaidi zinazotokana na Kilimo na Mifugo.
Hivi sasa uzalishaji wa mazao ya Kilimo hasa...
Kwa sasa upinzani wa Tanzania ni wazi uko CCM humo humo na si chadema wala ACT hawa walikwisha kupotezwa,, katika miaka mitano watanzania wamejifunza mambo mengi ambayo pengine ilikuwa ni vigumu...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu, Ameondoka leo kwenda Uganda kuhudhuria Sherehe za Kumuapisha Rais alishinda uchaguzi inchini Uganda, Yoweri Kaguta Museveni...
Habari wadau!
Sasa kilio cha upungufu wa sukari kitapungua maana mama amefungua milango na kuamuru sukari iingie nchini.
Mubashara toka Kololo Uganda kupitia TBC 1 kwenye uapisho wa Rais...