Kwa sasa Upinzani wa Tanzania upo ndani ya CCM

Epithelium

Member
Nov 20, 2020
13
45
Kwa sasa upinzani wa Tanzania ni wazi uko CCM humo humo na si chadema wala ACT hawa walikwisha kupotezwa,, katika miaka mitano watanzania wamejifunza mambo mengi ambayo pengine ilikuwa ni vigumu kuamini mwanzo kabla ya JPM.

Sasa vyama vya akina CHADEMA na ACT na wengne wanaojiita wapinzani wanashindwa kabsa kuji switch kwenye kasi ile siasa zao hazibadiliki ni zile zile tu tena zimejaaa malalamiko sana na totally wameshindwa kuwaelewa watanzania.

Kama kunaupinzani basi utatoka ccm na hapo kutakuwa na upinzani haswa sio huuu upinzani uliochacha
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
5,681
2,000
Usemaji wa watanzania ulipewa na nani?

Kama upinzani umekufa kwanini mlitumia mabegi meusi kubebea kura feki?

Unadhani wewe ndio wa kwanza kusema upinzani umekufa?

Wabadilishe aina ya siasa zao kwanini wakati CCM bado wanajiita chama dola?
 
Epithelium

Member
Nov 20, 2020
13
45
Usemaji wa watanzania ulipewa na nani?

Kama upinzani umekufa kwanini mlitumia mabegi meusi kubebea kura feki?...
Bado haujanielewa na kwasabb hiyo ni ngumu sana kuichomoa ccm Kama vitu vidogo kama hv unashindwa kuvielewa
 
mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,427
2,000
Wapinzani bado wanapambana na hayati. Tutakachoshuhudia ni wananchi wao wenyewe kujisemea na sio kupitia kina Mbowe kama ilivyokua kabla.

Mama hawa kuwaalika sio relevant tena, yeye afanye tu vitu sahihi lakini sio kupitia kwa kina zito na Mbowe, labda kama ni personal tu aamue kuwareward kishikaji
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
40,712
2,000
Bado haujanielewa na kwasabb hiyo ni ngumu sana kuichomoa ccm Kama vitu vidogo kama hv unashindwa kuvielewa

Ni kweli, ni ngumu kuichomoa ccm maana ccm sio chama cha siasa, bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Ili kuichomoa ccm inabidi machafuko tu maana kwa box la kura, vyombo vya dola vitasimamia huo wizi.
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
15,883

Si mwenda zake kaondoka na madudu yote au?
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
15,883
2,000
Kwa sasa hivi wanamuunga mkono Samia na ccm. Na yote hii ili kuwakomoa mataga na marehemu
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
40,712
2,000
Si mwenda zake kaondoka na madudu yote au?
Nimeizingumzia ccm kama taasisi, dhalimu alikuwa anaitumia kama kichaka cha kujifanya anafanya siasa. Hivyo yeye tukaongea na Mungu ampeleke motoni ili tubaki na chama cha majizi ya kura.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
40,712
2,000
Kwa sasa hivi wanamuunga mkono Samia na ccm. Na yote hii ili kuwakomoa mataga na marehemu
Hatumuungi mkono mama kama mwanaccm, bali anaungwa mkono yeye kama yeye kwa kujitenga na matendo maovu ya dhalimu.
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
15,883
2,000
Hatumuungi mkono mama kama mwanaccm, bali anaungwa mkono yeye kama yeye kwa kujitenga na matendo maovu ya dhalimu.
Naona tu mnavyodemka!

Sisi tuko hapa, tunawachora tu.

Basi Samia mi 10 tena maana matendo yake ni tofauti na dhalimu wako
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
40,712
2,000
Naona tu mnavyodemka!

Sisi tuko hapa, tunawachora tu.

Basi Samia mi 10 tena maana matendo yake ni tofauti na dhalimu wako

Kumi michache, akae hata 100, ila sio kwa kura halali za watanzania walio wengi.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
5,681
2,000
Kwa sasa hivi wanamuunga mkono Samia na ccm. Na yote hii ili kuwakomoa mataga na marehemu
Habari za likizo? nakuona umehamia kwa Samia baada ya likizo, mtaacha lini kufuata upepo kama majani ya miti?
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
22,541
2,000
..upinzani hauwezi kutokea ndani ya ccm kwasababu mwenyekiti ni AMIRI JESHI MKUU.
 
Halaiser

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
2,819
2,000
Kama Upinzani haupo tuambie basi ulitaka kuwaambia nn Chama Tawala (CCM)?
 
  • Love
Reactions: BAK

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
22,444
2,000
Usemaji wa watanzania ulipewa na nani?

Kama upinzani umekufa kwanini mlitumia mabegi meusi kubebea kura feki?

Unadhani wewe ndio wa kwanza kusema upinzani umekufa?

Wabadilishe aina ya siasa zao kwanini wakati CCM bado wanajiita chama dola?
mbona povu bro

kama anazungumzia ulikufa baada ya kuibiwa kura je??
tulia uelewe hoja ya mtu wacha lesi.
sasa hivi kuna chadema yenye mbunge mmoja,au nasema uongo???hao 19 hamuwatambui kwa mujibu wa matamshi yenu.mmepewa salaba zito mbaki mnafarakana kulifikisha kusikojulikana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom