Rais Samia aondoka kwenda Uganda kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Yoweri Museveni

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
6,835
2,000
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu, Ameondoka leo kwenda Uganda kuhudhuria Sherehe za Kumuapisha Rais alishinda uchaguzi inchini Uganda, Yoweri Kaguta Museveni.

Ikumbukwe jana ubalozi wa Ujerumani inchini Uganda ulilazimika kufuta Post yake kwenye ukurasa wake wa Facebook, Kurasa huo uliandikwa Salamu za kumpongeza Mseven kwa ushindi aliouoata kwenye uchaguzi ulipita, Salamu hizo zilizotolewa na Kiongozi wa Ujerumani Mama Angela Merkel.

Ubalozi uli huo ulifuta post hiyo baada ya wananchi kuonyesha hasira zao kwa maneno makali na matusi hali iliyopelekea kufutwa kwa post hiyo.


=======

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka asubuhi hii kwenda nchini Uganda ambapo leo tarehe 12 Mei, 2021 atahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa sherehe wa Kololo Jijini Kampala.

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom