Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,551
- 46,092
Dunia ina historia ndefu ya viongozi madikteta wakatili waliowawetesa sana binadamu wenzao, waliosababisha vita na maafa makubwa makubwa kwa binadamu wenzao na walioacha makovu makubwa ya ya ukatili katika jamii zao na zale waliowazunguka.
Ukiifuatilia historia vizuri utaona karibia asilimia 99 ya viongozi hao madikteta ni wanaume tupu. Si rahisi kuliona jina la mwanamke katika historia ya tawala ovu za dunia.
Sijwahi kusoma jina la mtawala wa kike lenye uzito katika historia za watawala waovu wa dunia.Ni sahihi kushikilia nadharia ya kwamba DNA za udikteta zinapatikana katika jinsi ya kiume pekee?