Unapomzushia mtu uongo, kumbuka na hili

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Vitabu vitakatifu, vinasema...kamwe huwezi mfanyia mwenzio fitina na isikurudie.

Kumbukeni malipo ni hapa hapa duniani. Kama sio kwako ni kwa watoto wako.

Enyi vijana mnaompigania Mbowe; vijana masikini mliopata elimu ya mkopo wa HESLB,

Msio na Ajira rasmi na nzuri, mlioamua kutafuta ugali kupitia siasa. Sikilizeni haya:

-Siasa sio mbaya, ila ukiifanya vibaya ni laana kwako na kizazi chako.

-Piganieni huduma bora, piganieni raslimali za nchi yenu katu msimpiganie mtu.

Kumbukeni MBOWE ni tajiri ana pesa za kutosha, familia yao ina pesa...vipi kuhusu wewe na familia yako?

Mnaolipwa kutukana, kuzusha kumbukeni mtalipwa.

Wiki hii kuna mtu atalipwa, wiki ijayo pia, na itaendelea hivyo siku zote.
 
Vitabu vitakatifu, vinasema...kamwe huwezi mfanyia mwenzio fitina na isikurudie.

Kumbukeni malipo ni hapa hapa duniani. Kama sio kwako ni kwa watoto wako.

Enyi vijana mnaompigania Mbowe; vijana masikini mliopata elimu ya mkopo wa HESLB,

Msio na Akira rasmi na nzuri, mlioamua kutafuta ugali kupitia siasa. Sikilizeni haya:

Kama uliwajua wafanyao siasa chafu ni hao,siasa safi hujionyesha,katika kudai haki,uhuru na utawala wa sheria.
 
Wanaompigania Mbowe tu ndo umewaonya na ndiyo watakaolipwa hapa Duniani. Je, wanaoipigania ccm na hadi kutumia silaha kudhuru wapinzani wao wakijua hawawezi kuchukuliwa hatua yoyote hao hawatalipwa? Hawakusoma kwa mkopo? Mbona hueleweki na ushabiki wako wa hovyo?
 
Vitabu vitakatifu, vinasema...kamwe huwezi mfanyia mwenzio fitina na isikurudie.

Kumbukeni malipo ni hapa hapa duniani. Kama sio kwako ni kwa watoto wako.

Enyi vijana mnaompigania Mbowe; vijana masikini mliopata elimu ya mkopo wa HESLB,

Msio na Akira rasmi na nzuri, mlioamua kutafuta ugali kupitia siasa. Sikilizeni haya:

-Siasa sio mbaya, ila ukiifanya vibaya ni laana kwako na kizazi chako.

-Piganieni huduma bora, piganieni raslimali za nchi yenu katu msimpiganie mtu.

Kumbukeni MBOWE ni tajiri ana pesa za kutosha, familia yao ina pesa...vipi kuhusu wewe na familia yako?

Mnaolipwa kutukana, kuzusha kumbukeni mtalipwa.

Wiki hii kuna mtu atalipwa, wiki ijayo pia, na itaendelea hivyo siku zote.
Mkuu,kwani leo unawashwa sehemu gani ya mwili?Unakumbuka Magufuli aliwaambia msipende kuwashwawashwa?Zingatia basi.
 
Vitabu vitakatifu, vinasema...kamwe huwezi mfanyia mwenzio fitina na isikurudie.

Kumbukeni malipo ni hapa hapa duniani. Kama sio kwako ni kwa watoto wako.

Enyi vijana mnaompigania Mbowe; vijana masikini mliopata elimu ya mkopo wa HESLB,

Msio na Akira rasmi na nzuri, mlioamua kutafuta ugali kupitia siasa. Sikilizeni haya:

-Siasa sio mbaya, ila ukiifanya vibaya ni laana kwako na kizazi chako.

-Piganieni huduma bora, piganieni raslimali za nchi yenu katu msimpiganie mtu.

Kumbukeni MBOWE ni tajiri ana pesa za kutosha, familia yao ina pesa...vipi kuhusu wewe na familia yako?

Mnaolipwa kutukana, kuzusha kumbukeni mtalipwa.

Wiki hii kuna mtu atalipwa, wiki ijayo pia, na itaendelea hivyo siku zote.
Naona kutumbuliwa kwa Jambazi Ole Sabaya, kumekutoa kabisa kwenye mstari! Kuanzia asubuhi wewe ni kufungua tu nyuzi za "Dua la kuku......"😇
 
Vitabu vitakatifu, vinasema...kamwe huwezi mfanyia mwenzio fitina na isikurudie.

Kumbukeni malipo ni hapa hapa duniani. Kama sio kwako ni kwa watoto wako.

Enyi vijana mnaompigania Mbowe; vijana masikini mliopata elimu ya mkopo wa HESLB,

Msio na Akira rasmi na nzuri, mlioamua kutafuta ugali kupitia siasa. Sikilizeni haya:

-Siasa sio mbaya, ila ukiifanya vibaya ni laana kwako na kizazi chako.

-Piganieni huduma bora, piganieni raslimali za nchi yenu katu msimpiganie mtu.

Kumbukeni MBOWE ni tajiri ana pesa za kutosha, familia yao ina pesa...vipi kuhusu wewe na familia yako?

Mnaolipwa kutukana, kuzusha kumbukeni mtalipwa.

Wiki hii kuna mtu atalipwa, wiki ijayo pia, na itaendelea hivyo siku zote.
Ahsante kwa neno la baraka,
Kila mtu atavuna alichopanda,

Tayali SABAYA ameanza kuvuna.Makonda tayali.
 
Vitabu vitakatifu, vinasema...kamwe huwezi mfanyia mwenzio fitina na isikurudie.

Kumbukeni malipo ni hapa hapa duniani. Kama sio kwako ni kwa watoto wako.

Enyi vijana mnaompigania Mbowe; vijana masikini mliopata elimu ya mkopo wa HESLB,

Msio na Akira rasmi na nzuri, mlioamua kutafuta ugali kupitia siasa. Sikilizeni haya:

-Siasa sio mbaya, ila ukiifanya vibaya ni laana kwako na kizazi chako.

-Piganieni huduma bora, piganieni raslimali za nchi yenu katu msimpiganie mtu.

Kumbukeni MBOWE ni tajiri ana pesa za kutosha, familia yao ina pesa...vipi kuhusu wewe na familia yako?

Mnaolipwa kutukana, kuzusha kumbukeni mtalipwa.

Wiki hii kuna mtu atalipwa, wiki ijayo pia, na itaendelea hivyo siku zote.
Wewe mushuti hakuna mtu wa kusikiliza huu utumbo wako.
 
Sabaya tayari kesha furumushwa bado kina Hapi na Chalamila
 
Naona wamepiga kwenye mfupa, na bado tulieni yani DC ndio mnaona ni mtu kabisa? DC mwenyewe mjinga kabisa hakuwa na muda mrefu yangemkuta tu.
 
Vitabu vitakatifu, vinasema...kamwe huwezi mfanyia mwenzio fitina na isikurudie.

Kumbukeni malipo ni hapa hapa duniani. Kama sio kwako ni kwa watoto wako.

Enyi vijana mnaompigania Mbowe; vijana masikini mliopata elimu ya mkopo wa HESLB,

Msio na Akira rasmi na nzuri, mlioamua kutafuta ugali kupitia siasa. Sikilizeni haya:

-Siasa sio mbaya, ila ukiifanya vibaya ni laana kwako na kizazi chako.

-Piganieni huduma bora, piganieni raslimali za nchi yenu katu msimpiganie mtu.

Kumbukeni MBOWE ni tajiri ana pesa za kutosha, familia yao ina pesa...vipi kuhusu wewe na familia yako?

Mnaolipwa kutukana, kuzusha kumbukeni mtalipwa.

Wiki hii kuna mtu atalipwa, wiki ijayo pia, na itaendelea hivyo siku zote.
Huu ushauri jipe mwenyewe kwani hauuziki hapa!
Makonda, Sabaya, Chalamila, Madelu, Hapi, Kenani, Musiba, et al wao walimtetea Mbowe? Hawa walidiriki Hadi kuvishirikisha vyombo vya dola na silaha za Moto kuwaumiza na kuwaua wenye itikadi tofauti na ya magufuli! Kama unawatahadharisha wao Basi ni sawa na watubu hadharani na kinyume chake hata wewe yatakukuta yote uliyoshauri Kama ulihusika kwa njia moja au nyingine!
Mliowaumiza kwa siasa zenu za kijinga walilia Sana kwa uchungu Hadi Mungu akasema yatosha na Sasa ni zamu ya watesaji kubweka mithili ya mbwakoko aliyepondwa jiwe la kichwani! KARMA IS LIVING AMONG US SO BE CAREFUL!
 
Back
Top Bottom