Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi kila siku nasema posho za wabunge hazitoshi Mbunge wa Bahi (CCM) anashikiliwa na polisi na atafikishwa kizimbani J3 kwa tuhuma za kuomba rushwa ya 7 mil. Mbunge huyu yupo kwenye kamati ya...
5 Reactions
161 Replies
18K Views
Habari wadau. Imekuwa kawaida kusimamishwa na Askari wa barabarani kwa ajili ya ukaguzi. Huu ni moja kati ya wajibu wao wa msingi kwa ajili ya kuhakikisha usalama wetu watumia vyombo vya usafiri...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Sikujui hunijui Ila nakufahamu kama mwanasiasa makini sana na ukiwa kwenye ubora wako Taifa litanufaika. Sasa nisikilize. Kuna dalili zote bado haujapona na majeraha ya kupoteza ubunge wako na...
13 Reactions
44 Replies
4K Views
DHANA YA UHURU NA UCHUMI WA KUJITEGEMEA KWA AFRIKA Na Elius Ndabila 0768239284 Tunapozungumzia uhuru kama dhana ya kifalsafa mara nyingi huwa tunafikiria uwezo wa mtu binafsi wa kufanya uamuzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mambo fulani ukiyafikiria unaishia kuhuzunika tu. Ukienda University Computing Center ya University of Dar es Salaam, kama unataka usajili Domain Name kupitia UCC, unapaswa kujaza form...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimemsikiliza huyu mbunge kijana Ng'wasi Damas Kamani na nikatambua ni kichwa. Ameelezea vizuri na kwa ufasaha maswahibu ya wakandarasi wazalendo kwa usafaha tena kwa kina. Bunge inatakiwa kuwa na...
5 Reactions
29 Replies
6K Views
Mh Rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako. Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea...
7 Reactions
80 Replies
7K Views
Wana JF, Habari nilizozipata kutoka Arusha ni kwamba, Jeshi la Polisi Mkoani humo limemkamata Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa ndugu Lengai Ole Sabaya kwa tuhuma za kughushi nyaraka mbali mbali za...
4 Reactions
119 Replies
20K Views
Alikamatwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kupewa kesi ya uongo ya kutakatisha pesa na Uhujumu uchumi kwa amri ya CCM na DPP Biswalo Mganga, ambaye jana ameapishwa kuwa jaji wa...
49 Reactions
79 Replies
7K Views
Zipo sababu kadhaa zinazowafanya makada wa CCM kuendelea kuing'ang'ania katiba iliyopo isibadirishwe na iendelee kuwepo kwa jinsi ilivyo. Kubwa kuliko zote ni maslahi ya chama chao, kila mwana CCM...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Kwanza napenda kukupongeza kwa hotuba yako nzuri wakati wa ufunguzi wa kiwanda cha kutengeneza au kushona nguo cha jeshi la polisi. Nilivutiwa na jinsi...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Kitendo cha KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe kumtelekeza mgombea wa chama chake mzee Membe na kumuunga mkono Tundu Lisu wa Chadema wakati wa uchaguzi mkuu hakikuwa cha kiungwana kabisa. Kwa sasa...
1 Reactions
1 Replies
932 Views
Salamu za Askofu Gwajima wa Jimbo la Kawe kwa Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli alipoteuliwa na Mh.Spika kusalimia kwa niaba ya Wabunge wenzake, leo Bungeni...
30 Reactions
236 Replies
21K Views
Nilipita mahali nikamkuta rafiki yangu hakimu akiwa analalamikia upendeleo uliokithiri katika serikali yetu. Kwamba badala ya kuteua watu competent na walioitumikia nchi hii kwa uadilifu mkubwa...
1 Reactions
41 Replies
8K Views
Naomba bora niweke wazi maana ya kutumia neno "OUR MAN". Definition of our man in —— in English: our man in —— NOUN One's representative or envoy in a specified place. Baada ya kufafanua...
2 Reactions
52 Replies
10K Views
Vijana wapo tayari kujitolea kazi hata kama Serikali ingeandaa plan ya kuwaajiri Watu kwa posho la laki moja tu ilimradi Mtu kapewa hata kiwanja maeneo hayo ya kijijini kama ofa. Kwa mfano mtu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Faida ya chanjo imezirudisha nchi nyingi hasa za Ulaya, China, USA, CANADA, SOUTH KOREA ETC katika uchumi wao wa kawaida. Yaani wanaitwa nchi zilizoendelea. Wananchi wao wamepata chanjo na sasa...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Wanabodi Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia...
43 Reactions
334 Replies
33K Views
Nakumbuka enzi za JK mtu mmoja aliweza ku-attend seminars tatu kwa siku. Na wengine walikaa chini ya mti kuandika report ya uongo. Haya niliyashuhudia mwenyewe kwa macho yangu na wala simsingizii...
3 Reactions
7 Replies
923 Views
Huyu waziri wa kilimo Proffesor Mkenda ni mtu mwenye uwezo mzuri wa kupresent hoja zake, ni msomi mahiri na atatufaa sana siku moja kwenye kile kiti kikubwa.
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…