Zitto Zuberi Kabwe nisikilize kwa makini

wajibisha

Member
May 16, 2021
90
215
Sikujui hunijui Ila nakufahamu kama mwanasiasa makini sana na ukiwa kwenye ubora wako Taifa litanufaika.

Sasa nisikilize.

Kuna dalili zote bado haujapona na majeraha ya kupoteza ubunge wako na unafanya juu na chini ubaki relevant kwenye medani za siasa.

Shida ipo kwenye mbinu ama strategies unazotumia kubaki relevant ili system ikutambue.

Nahisi umepoteza muelekeo wa kisiasa, umebaki kuishi na matokeo.

Umekua mwanaharakati zaidi na ilifikia wakati nilishindwa kukutofautisha na the likes of Fatma Karume na Maria Sarungi.

Kwa sisi tuliosoma Political Science, unaanza kuwa Mwanaharakati then Mwanasiasa na sio kinyume.

Hilo moja, pili nahisi Zitto umepoteza ushawishi wa kitaifa kutokana na dhana ya kutokua na msimamo. Ukitaka kudhibitisha hilo njoo hapa Kinondoni, itisha mkutano wa had hada halafu pima muitikio wa watu.

Zitto wa Leo sio Yule wa 2010 - 2015, system inakupuuza kwa sababu umepoteza relevance.

Nini unachotakiwa kufanya?

Sina uhakika na umri wako but nakadiria kati ya 45 mpaka 50. Kwenye Siasa huo ni umri mdogo sana, una miaka mingine kama 25 ndani ya Siasa.

Unachotakiwa kufanya ni kurudi nyuma na upange urejeo wako ‘The Come Back’

Tafuta washauri wa kisiasa, ni kujichimbia kaburi kutegemea vijana wadogo kama Abdul Nondo. Bahati mbaya Mzee Seif Shariff Hamad alitutoka mapema angekua msaada mkubwa Kwako. Naamini kuna wazee wengi ndani ya ACT upande wa Zanzibar, unaweza ukijrudi na kutafuta ushauri kwa wazee wengine wastaafu, bottom line unahitaji ushauri kuna makosa mengi madogo madogo unayoendelea ya kuyafanya.

Mwisho, Waachie Twitter wanaharakati, Siasi ipo mashinani,ingia field.

Mwisho, You may have lost the battle but not the war.

Hapo Vipi?
 
Tafuta pesa kijana usaidie wazazi wako.

Hakuna mwanasiasa masikini na haitakuja kutokea.

Endelea kuwa msukule wa wanasiasa.

Unafikiri kuna kitu Zitto anakosa.

Hivi hizi akili mavi huwa mnaiga au mnaokota?
 
Zito hajui anachokitaka ndio maana ccm wanaweza kumtumia watakavyo.

Kwa kifupi kisichoeleweka kwa wengi ni kwamba, zito anapambana na Chadema badala ya kupambana na ccm ambayo ndio kikwazo kwa watanzania.

Ni kwa vile tupo na mama Samia ndio maana hajaelewa mchezo! Siku akija rais mwenye haiba ya tofauti ndipo ataelewa kumbe adui wake ni ccm. Zitto
 
Tafuta pesa kijana usaidie wazazi wako.

Hakuna mwanasiasa masikini na haitakuja kutokea...
Umejuaje sina pesa if you don’t interest in politics it doesn’t mean politics doesn’t have interest in you. Kama hujui wanasiasa wanaweza kuamua kuzima data usiku huu nchi nchi nzima na wewe usiweze kuingia hapa Jamii Forums.
 
Hakuna mwenye pesa anazurula kwenye social net works kujadili watu.
 
Umejuaje sina pesa if you don’t interest in politics it doesn’t mean politics doesn’t have interest in you. Kama hujui wanasiasa wanaweza kuamua kuzima data usiku huu nchi nchi nzima na wewe usiweze kuingia hapa Jamii Forums.
Umetoa ushauri ambao utamjenga yeye na pia kua msaada kwa jamii pana,tatizo anapenda sifa kupitiliza,pia haaminiki
 
Sijapendeza ulivyo wa portray Maria Sarungi na Fatma Karume. Yaani umewataja tu kuwa wanaharakati.

Nikuhakikushie kuwa baada ya Mwendazake kuvibana vyama vya upinzani na kutisha vyombo vya habari, hawa watu wa TOT ( Tanzania on Twitter) ndio walibakia WAKOSOAJI wa udhalimu wa Magufuli.

Wape heshima wanayo stahili
 
Zitto si ana asili ya chadema lakini!? Hawa watu hawelewekagi.....

Wepesi kuuzwa na wepesi sana kununuliwa

images (23).jpeg

Nchi hii haina upinzani

Ina wasakatonge tuuu
 
Sijapendeza ulivyo wa portray Maria Ssrungi na Fatma Karume. Yaani umewataja tu kuwa wanaharakati.

Nikuhakikushie kuwa baada ya Mwendazake kuvibana vyama vya upinzani na kutisha vyombo vya habari, hawa watu wa TOT ( Tanzania on Twitter) ndio walibakia WAKOSOAJI wa udhalimu wa Magufuli.

Wape heshima wanayo stahili
kama ipi kwa mfano? huyo bibi almanusra aolewe ila mdomo ulimponza, ona sasa mwili ushaota sugu kila sehem anashangilia marehem alieacha watoto
 
Sikujui hunijui Ila nakufahamu kama mwanasiasa makini sana na ukiwa kwenye ubora wako Taifa litanufaika.

Sasa nisikilize.

Kuna dalili zote bado haujapona na majeraha ya kupoteza ubunge wako na unafanya juu na chini ubaki relevant kwenye medani za siasa.

Shida ipo kwenye mbinu ama strategies unazotumia kubaki relevant ili system ikutambue.

Nahisi umepoteza muelekeo wa kisiasa, umebaki kuishi na matokeo.

Umekua mwanaharakati zaidi na ilifikia wakati nilishindwa kukutofautisha na the likes of Fatma Karume na Maria Sarungi.

Kwa sisi tuliosoma Political Science, unaanza kuwa Mwanaharakati then Mwanasiasa na sio kinyume.

Hilo moja, pili nahisi Zitto umepoteza ushawishi wa kitaifa kutokana na dhana ya kutokua na msimamo. Ukitaka kudhibitisha hilo njoo hapa Kinondoni, itisha mkutano wa had hada halafu pima muitikio wa watu.

Zitto wa Leo sio Yule wa 2010 - 2015, system inakupuuza kwa sababu umepoteza relevance.

Nini unachotakiwa kufanya?

Sina uhakika na umri wako but nakadiria kati ya 45 mpaka 50. Kwenye Siasa huo ni umri mdogo sana, una miaka mingine kama 25 ndani ya Siasa.

Unachotakiwa kufanya ni kurudi nyuma na upange urejeo wako ‘The Come Back’

Tafuta washauri wa kisiasa, ni kujichimbia kaburi kutegemea vijana wadogo kama Abdul Nondo. Bahati mbaya Mzee Seif Shariff Hamad alitutoka mapema angekua msaada mkubwa Kwako. Naamini kuna wazee wengi ndani ya ACT upande wa Zanzibar, unaweza ukijrudi na kutafuta ushauri kwa wazee wengine wastaafu, bottom line unahitaji ushauri kuna makosa mengi madogo madogo unayoendelea ya kuyafanya.

Mwisho, Waachie Twitter wanaharakati, Siasi ipo mashinani,ingia field.

Mwisho, You may have lost the battle but not the war.

Hapo Vipi?
Lake Tanganyika Political Pimp of all time.
 
Back
Top Bottom