Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwakweli serikali ya Tanzania imelichukilia janga la COVID-19 kama jambo la mzaha kupita kiasi, hali hii imewafanya baadhi ya wananchi kubweteka kupita kiasi kutokana na janga hili. Kwa haya...
37 Reactions
61 Replies
8K Views
Nikiwa katika moja ya Airport zetu nikisubiri kupanda ndege ya Qatar kwenda Uarabuni, nilikutana na kundi la Watalii kama 9 waliokuwa wanarudi kwao Marekani wakiwa na malalamiko mazito sana. Hawa...
13 Reactions
51 Replies
5K Views
Pamoja na njama zote za kuhujumu Chama hiki lakini bado wananchi wamepeleka Matumaini yao kwa Chadema, wanaendelea kukichangia ili kukamilisha kujenga ofisi zake nchi nzima. Hili Jengo...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Wandugu, huyu jamaa sijui kapatwa na nini. Ni uzee au ni kuchoka tu kifedha, kisiasa na kijamii ? Amevaa kombati ya CHADEMA imemvaa sana. Nguo zimempwaya sana. Jamaa huwa anajishughulisha na...
3 Reactions
39 Replies
8K Views
Kazi ya Mamlaka ya eGovernment kilichopo Ofisi ya Rais ilikuwa kutengeneza standards na regulations za kuhakikisha institutions za serikali zinaweka mifumo Yao ya IT vizuri. Kazi ya pili ilikuwa...
11 Reactions
66 Replies
5K Views
Mabibi na mabwana inatia moyo sana tunapokuwa na serikali sikivu kama za awamu hii. Madhali haya mambo ni hiari ya mtu, kwanini tupangiane? Wewe hutaki chanjo? Si ubakie bila kuchanjwa? Kwani...
5 Reactions
79 Replies
7K Views
DKT. NDUGULILE ATEMBELEA MAONESHO YA MAKISATU. Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile ametembelea mabanda ya wabunifu mbalimbali kwenye Mashindano ya Kitaifa ya...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Na Faraja Mpina- WMTH, Zanzibar Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amefanya ziara ya kutembelea vituo vya TEHAMA Kisiwani Pemba vilivyopo Wete, machomane...
0 Reactions
3 Replies
982 Views
Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani. Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo...
22 Reactions
329 Replies
24K Views
Awali ya yote nimshukuru mbunge wa Mbeya ambaye pia ni naibu Spika kwa kutufumbua macho kwamba kuna maeneo fulani ilani inasema tofauti na uhalisia unaosemwa na serikali. Natoa rai kwa wananchi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko, ameitaka Serikali kufunga mashine maalum kwenye Magereza ili kuondoa malalamiko ya Wafungwa kukaguliwa wakiwa uchi wa mnyama jambo ambalo ni kinyume na Haki...
16 Reactions
119 Replies
12K Views
Nilikuwa nasikiliza maelezo ya Viongozi wetu wa Taifa kwa wateuliwa wa Rais baada ya kula kiapo cha kazi zao. Moja ya mambo yaliyonishangaza ni pale Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
RAIS AWATAKA POLISI WASITUMIE MAKOSA KAMA KITEGA UCHUMI Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Polisi wasitumie makosa kama kitega uchumi kwa kutoza faini mbalimbali badala yake wajikite...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Kumekuwa na utaratibu wa GPSA kutangaza framework contracts za kusupply bidhaa na huduma mbalimbali kwenye taasisi za umma kila mwaka. Kusema ukweli utaratibu huu hauna tija. Unaongeza ugumu na...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Amani iwe nawe Mama yetu! Kwa mfululizo nimekuwa nikiandika mada mbalimbali za kukushauri juu ya mustakabali wa uchumi wetu sisi Tanzania kama nchi. Leo badala ya kukushauri, napenda sana...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Na Celina Mwakabwale- UCSAF Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) umetoa wito kwa wadau wa Mawasiliano nchini wakiwemo wamiliki wa redio hasa radio jamii, runinga na huduma za waya (cable tv)...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter: Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know...
47 Reactions
296 Replies
26K Views
Amani iwe nawe Mama yangu. Heri ya sikukuu ya Eid! Na Polee na uchovu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan. Kama nilivyotoa commitment ya kukuunga mkono Mara tu ulipochukua kiti cha kuongoza...
13 Reactions
63 Replies
6K Views
Leo nimeenda kununua umeme kituo kimoja cha TANESCO. Nikiwa kituoni pale kulikuwa na msururu mrefu sana wa wananchi wakiwa kwenye foleni, akaja mtu ambaye haiba yake inaonyesha ni mtu mwenye...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…