Sio siri mashekhe wa uamsho wamekamatwa kwa tuhuma za kuuping Muungano wa Tanzania kuwa sio wa haki na unafaa kuangaliwa au kuvunjwa ni tuhuma zilizowapelekea kusota mahabusu au jela za Tanganyika...
Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango
Kutokea hapa “S/M Simbawanga,” nawasalimu watu wa huko Dar es Salaam kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nikiwa natarajia kuwa kazi inaendelea! Huku...
Viongozi hususani wa kisiasa wamekuwa wakiitwa au wakiitana waheshimiwa sijui sisi wengine tunaonekanaje hata yani!
Utakuta mtu ambae ni mbunge waziri diwani mkuu wa wilaya/mkoa mkurugenzi nk...
Awali ya yote, napenda kutumia fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kunifikisha siku hii ya leo na pia sitakuwa mtenda haki bila kuwashukuru waanzilishi wa forum hii. Baada ya kusema hayo machache...
Tulibahatika kumpata Mwalimu Nyerere. Alikuwa ni Rais mwenye maono. Alifahamu kunahitajika nini ili nchi yetu isonge mbele.
Tukumbuke aliipokea nchi ikiwa na wasomi wachache, teknolojia duni...
Watu hawa wameandaa au kuandaliwa mjadala wenye maudhui ya usaliti kwa Hayati Rais wetu Dkt John Pombe Magufuli.
Nimewashangaa wataalamu hawa wa tiba ambao hawana weledi wala uzoefu wa maswala ya...
Ndani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali.
Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini?
Spika...
Mambo vp jamiiforums
Hongera sana dada yangu kipenzi Queen Cuthbert Sendiga kutoka chama cha ADC kwa kuchaguliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa (RC) wa Iringa. Mungu akakusimamie na kukupa muongozo...
Full article here
Was Tanzania vindicated on Covid testing claims?
Was Tanzania vindicated on Covid testing claims?
Tuesday, 20 April 2021 11:24
Written by Sonia Elijah...
Mbunge wa Jimbo la Konde Ndugu, Khatib Haji wa Chama cha ACT Wazalendo, amefariki Dunia. Umauti umemfika katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili akipatiwa matibabu Alfajiri ya leo.
Khatibu aliwahi...
Kuna watu wanaleta propaganda za ajabu sana nchini, kwamba eti tumerudi kwenye umaskini kwa sababu ya Rais mpya.
Naomba kuwauliza lini tumewahi kuwa matajiri? Hizi mentality za kitumwa tumezitoa...
Waziri wa Uwekezaji Mhe.Geofrey Mwambe ametoa siku 14 wawekezaji nchini ambao shughuli zao za uwekezaji zimesimama au zimekwazwa kutokana na maamuzi ya taasisi za Serikali kuandika barua na...
Mh. Rais Samia Hassan Suluhu,
Ni ukweli usiopingika kuwa watendaji wengi wa Serikalini wananyanyasika sana sana. Mwanasiasa kama Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na hata baadhi ya watendaji wa ngazi...
CHONDECHONDE VIONGOZI WA SERIKALI YA CCM, MUWE NA MAELEWANO.
Natumaini wanaJF mko wazima kabisa.
Leo baada ya wengi wenu kunipigia simu na kunisihi niseme neno kuhusu haya mambo ya viongozi wa...
Sasa najiuliza ikiwa ripoti ya CAG imeonesha madudu je, ni jinsi gani sasa kama taifa tumeingiaje uchumi wa Kati? Ikiwa tumeibiwa Sana namna hii.
Kuna bandiko linatembea nazani ni kutoka timu...
Mabibi na mabwana ni ukweli usiofichika kuwa wengi wa walio wazalendo, wanayo furaha kubwa kumpata mama Samia kama Rais wetu wa JMT kwa sasa.
Katika kumtia shime mama yetu kazi inapoendelea si...
Nisaidie kwahili,
Nimekuwa nikijiuliza Sana, ni vyombo vingapi humu nchini vinalojukumu la kuisimamia serikali?
Kwa ufahamu wangu, ni bunge la Jamhuri ndilo lenye wajibu huo, lakini ni miaka...
Naomba radhi picha hazitakuwa nzuri kwa jamii lakini kuthibitisha jambo lenyewe ni lazima kuweka hizo picha.
Unyama wa namna hii inawezekanaje ukatokea Tanzania?
Nimepewa taarifa kijana huyu...
Habari ya asubuhi ndugu wanajamvi, natumaini bila shaka mu wazima wa afya na mmeianza vema siku ya leo. Kwa ambao ni wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu Muumba wa awajalie nafuu ya haraka ili...