Vyama vya Upinzani vinamsakama Zitto kabwe kwa kushiriki uchaguzi mdogo Muhambwe na Buhigwe

Jackwillpower

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
693
1,000
Chadema walisusia uchaguzi jimbo la Lazaro Nyalandu Singida kwa madai ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya

Wakaja kushiriki Uchaguzi ndogo wa Kinondoni Wakasusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Sababu haukuwa na manufaa yoyote kwa mbowe na genge lake...wakaja kushiriki uchaguzi Mkuu ili kupata ruzuku na nafasi za viti maalumu ambavyo kina mdee walikuja kuviwahi. Nyakati zote hizo hapakuwa na Mabadiliko yoyote

Lipumba nae baada ya uchaguzi Mkuu akaitisha Press Conference akasema hawatashiriki uchaguzi wowote hadi Tume Huru ya Uchaguzi ipatikane lakin ghafla uchaguzi uliofuata ndani ya miezi miwili kule Pemba wameshiriki

CHA AJABU WANAMSAKAMA ZITTO KABWE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO MUHAMBWE NA BUHIGWE
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
24,226
2,000
Lini Zitto alishakuwa mpinzani? siasa za upinzani zina qualities zake!! Zitto bado ni kijana ila huwezi kumtofautisha na wazee akina Cheyo, Mrema, Lipumba na Shibuda!! Tumbo kwanza kisha mengine yafuate!!
 
issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
3,417
2,000
Chadema walisusia uchaguzi jimbo la Lazaro Nyalandu Singida kwa madai ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya

Wakaja kushiriki Uchaguzi ndogo wa Kinondoni Wakasusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Sababu haukuwa na manufaa yoyote kwa mbowe na genge lake...wakaja kushiriki uchaguzi Mkuu ili kupata ruzuku na nafasi za viti maalumu ambavyo kina mdee walikuja kuviwahi …nyakati zote hizo hapakuwa na Mabadiliko yoyote

Lipumba nae baada ya uchaguzi Mkuu akaitisha Press conference akasema hawatashiriki uchaguzi wowote hadi Tume huru ya Uchaguzi ipatikane lakin ghafla uchaguzi uliofuata ndani ya miezi miwili kule Pemba wameshiriki

CHA AJABU WANAMSAKAMA ZITTO KABWE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO MUHAMBWE NA BUHIGWE
Hivi chama cha Upinzani ni CHADEMA tu? Maana kila ukifungua uzi ulioanzishwa na MATAGA/UVCCM unakuta malalamiko yao wanayaelekezea CHADEMA. Huwezi kuta wanailalamikia TLP, ADC, ADA TADEA, DP, UDDP, PPT Maendeleo. NCCR Mageuzi wala ACT Wazalendo
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
121,017
2,000
Acha KUKURUPUKA na kuandika ujinga.
Chadema walisusia uchaguzi jimbo la Lazaro Nyalandu Singida kwa madai ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya

Wakaja kushiriki Uchaguzi ndogo wa Kinondoni Wakasusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Sababu haukuwa na manufaa yoyote kwa mbowe na genge lake...wakaja kushiriki uchaguzi Mkuu ili kupata ruzuku na nafasi za viti maalumu ambavyo kina mdee walikuja kuviwahi …nyakati zote hizo hapakuwa na Mabadiliko yoyote

Lipumba nae baada ya uchaguzi Mkuu akaitisha Press conference akasema hawatashiriki uchaguzi wowote hadi Tume huru ya Uchaguzi ipatikane lakin ghafla uchaguzi uliofuata ndani ya miezi miwili kule Pemba wameshiriki

CHA AJABU WANAMSAKAMA ZITTO KABWE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO MUHAMBWE NA BUHIGWE
 
Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
10,163
2,000
Unajua goli NNE kurudisha sio mchezo! Yaani muanze la kwanza! La pili mpaka la 4! Hao Kaizer Chiefs wanakua wamelewa au?

Tuache masikhara! Eti pira biriani... Watu wamewachezea pira pishori la Pakistan huko!

Mshana Jr
 
Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
5,019
2,000
Chadema walisusia uchaguzi jimbo la Lazaro Nyalandu Singida kwa madai ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya

Wakaja kushiriki Uchaguzi ndogo wa Kinondoni Wakasusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Sababu haukuwa na manufaa yoyote kwa mbowe na genge lake...wakaja kushiriki uchaguzi Mkuu ili kupata ruzuku na nafasi za viti maalumu ambavyo kina mdee walikuja kuviwahi …nyakati zote hizo hapakuwa na Mabadiliko yoyote

Lipumba nae baada ya uchaguzi Mkuu akaitisha Press conference akasema hawatashiriki uchaguzi wowote hadi Tume huru ya Uchaguzi ipatikane lakin ghafla uchaguzi uliofuata ndani ya miezi miwili kule Pemba wameshiriki

CHA AJABU WANAMSAKAMA ZITTO KABWE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO MUHAMBWE NA BUHIGWE
Achaporojo njoo na habari zenye maslahi kwa taifa.
 
Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
5,019
2,000
CDM bado inasumbua vichwa vya mataga wengi sana

Alafu thimba wamekula eid South Africa
Kuna usemi,sijui wa kiswahili ule mkaidi hafaidi mpaka siku ya Idi kama nakosea naomba mnisahihishe.kwani tulianza kuona dalili baada ya kukimbiwa uwanjani.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
121,017
2,000
. Zitto
Chadema walisusia uchaguzi jimbo la Lazaro Nyalandu Singida kwa madai ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya

Wakaja kushiriki Uchaguzi ndogo wa Kinondoni Wakasusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Sababu haukuwa na manufaa yoyote kwa mbowe na genge lake...wakaja kushiriki uchaguzi Mkuu ili kupata ruzuku na nafasi za viti maalumu ambavyo kina mdee walikuja kuviwahi …nyakati zote hizo hapakuwa na Mabadiliko yoyote

Lipumba nae baada ya uchaguzi Mkuu akaitisha Press conference akasema hawatashiriki uchaguzi wowote hadi Tume huru ya Uchaguzi ipatikane lakin ghafla uchaguzi uliofuata ndani ya miezi miwili kule Pemba wameshiriki

CHA AJABU WANAMSAKAMA ZITTO KABWE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO MUHAMBWE NA BUHIGWE
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
9,140
2,000
Mbona hata ccm ukiichunguza kwa undani utagundua siyo chama cha siasa! Ni kikundi tu cha wapigaji wachache, kinachotumia ushawishi kwa wananchi wengi wasio na elimu ya uraia, kuendelea kutawala miaka zaidi ya 40 sasa!
 
katitu

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,070
2,000
Chadema walisusia uchaguzi jimbo la Lazaro Nyalandu Singida kwa madai ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya

Wakaja kushiriki Uchaguzi ndogo wa Kinondoni Wakasusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Sababu haukuwa na manufaa yoyote kwa mbowe na genge lake...wakaja kushiriki uchaguzi Mkuu ili kupata ruzuku na nafasi za viti maalumu ambavyo kina mdee walikuja kuviwahi. Nyakati zote hizo hapakuwa na Mabadiliko yoyote

Lipumba nae baada ya uchaguzi Mkuu akaitisha Press Conference akasema hawatashiriki uchaguzi wowote hadi Tume Huru ya Uchaguzi ipatikane lakin ghafla uchaguzi uliofuata ndani ya miezi miwili kule Pemba wameshiriki

CHA AJABU WANAMSAKAMA ZITTO KABWE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO MUHAMBWE NA BUHIGWE

Leo ndo unajua kama wanasiasa wetu ni wanasiasa uchwara.wote hao wanaopiga kelele kwenye vyombo vya habari ukiishawapa madaraka wanafumba midomo.hao ni wanasiasa mahiri au wanasiasa uchwara tu hao.wanapiga kelele ili biashara zao ziende bila kulipa kodi.hakuna dezo sasa hivi kama wafanyakazi wanachanjwa kodi ya kutosha mwanasiasa anataka akwepe kodi.hata posho za wabunge nao wachanjwe tu hamna wanalolifanya pale bungeni wamekalia majungu tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom