ACT wazalendo ni imara Zanzibar huku Tanganyika afadhali ya Chadema!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,490
141,206
Zitto Kabwe amesema wanaoibeza ACT wazalendo kushiriki uchaguzi mdogo Kigoma ni Washamba.

Mimi nadhani Zitto Kabwe ndio mshamba kwa sababu anadhani ACT wazalendo ya Zanzibar ndio hii ya Tanganyika.
Chadema ni bora zaidi mara 10 kuliko ACT wazalendo kwa siasa za Tanganyika.

Zitto Kabwe ana kawaida ya kuwaita wenzake ni Washamba wakati yeye mwenyewe ni " bonge la mshamba"
Aliponunua ile Hammer ilibidi amuombe Freeman Mbowe amfundishe namna ya kuendesha magari ya thamani hapa mjini, sasa huo ujanja anautoa wapi?

Marudio: Simba 5 Kaizer Chiefs 0
 
Swali moja kuntu: Kwanini mnaogpa tume huru ya uchguzi? Kama mnapendwa na watanzania, kwanini mnakataa kuweka tume huru ya uchaguzi?
Dunia ya wastaarabu tume za uchguzi zinakuwa huru, nyinyi mnaogopa nini kama mnapendwa na watanzania?
 
Kwani iliyopo siyo huru?

Mbona Chadema ina wabunge 20?!!
 
Back
Top Bottom