Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika kizungumkuti hiki kinachoendelea leo, Wakubwa wanapeana Mahekalu na Mabenzi wakati wanananchi mamilioni kwa mamilioni wanatopea kwenye lindi la umasikini, Imenikumbusha kauli ya mwalimu...
14 Reactions
80 Replies
6K Views
Queen katika siasa alikuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM mpaka mwaka 2014 alipoamua kuhama na kujiunga na chama cha Alliance for Democratic Change (ADC). Mwaka 2015 kwenye uchaguzi mkuu...
4 Reactions
72 Replies
18K Views
Wapo madereva na wafanyabiashara wanaohitaji msaada wakati huu pale mpakani mwa Rwanda na Kongo,Gisenyi almaarufu GRAND BARRIER. Watumishi wengi Watanzania wahudumuo kwenye mission maalum ya...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema yupo tayari kushirikiana na viongozi, taasisi na mashirika mbalimbali ya kimataifa katika juhudi za kufanikisha jukumu la kuipeleka mbele Tanzania. Amesema...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Leo 24/05/2021 nimesikiliza Swali la Pascal Mayalla aliloliuliza IKULU mwaka 2016 kuhusu Mihimili 3 ya serikali kwenye dhana ya separation of Powers; ' ulitoa maagizo kwa mihimili mingine kwa...
0 Reactions
1 Replies
899 Views
RC Amos Makalla amewakutanisha Meya wa manispaa ya Kinondoni Songoro Mnyonge na Mkurugenzi wake Sipora Liana. Vyombo vya habari vikaripoti kuwa mgogoro umeisha 🤣. Je, nini kiini cha mgogoro huo...
40 Reactions
68 Replies
9K Views
Wawekezaji wa viwanda vya kuchakata minofu ya samaki mkoani Mwanza wamelalamikia uhaba wa malighafi unaochangia kupungua kwa uzalishaji unaodaiwa kusababishwa na shughuli za uvuvi haramu...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ama hakika Wewe ndiye Jembe la ukweli na ndiyo maana umeweza Kukaa Gerezani kwa miezi hiyo Minne na bado umetoka huko ukiwa imara zaidi huku ukiwa hata wasiwasi wa Kuondokewa na Mtu ambaye ulikuwa...
5 Reactions
115 Replies
8K Views
Habari za leo ndugu zangu, Uzi wangu leo utakua mfupi sana. Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada. Na wanaogombea udiwani walau wawe na diploma...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Mwenge wa uhuru umewashwa leo mjini Zanzibar na makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Ameir. Kiongozi wa mbio za mwenge ni luteni Josephine Mwambushi na ataukabidhi ukiwa unawaka siku ya tarehe...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Nawasalimu kwajina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ndugu zangu mheshimiwa Rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliunda tume ya Corona. Taarifa ya tume imepokelewa Jana na wengi...
45 Reactions
143 Replies
10K Views
CCM 2015-2020 ilivyovutia na kupendwa zaidi na Watanzania wengi. 1) Rais alishinda Uchaguzi 2020 kwa 84.4% haijawahi kutokea. 2) Wabunge na madiwani wote walishida Uchaguzi 2020 isipokuwa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Hatimaye sasa Tanzania imeamua kuungana na walimwengu ktk mapambano na Corona. Hii ni habari njema sana kwa mamilioni ya watanzania ambao wanajali afya zao na wapendwa wao. Pia ni pigo kwa wale...
8 Reactions
141 Replies
10K Views
Upande mwingine linaonekana ni jambo jema limefanyika kuweza kufutia raia wema wengi waliokuwa wakikabiliwa na kesi 147 za kubumba na kuteseka pasipo sababu. Lakini pia ni aibu kubwa kwa upande...
10 Reactions
66 Replies
8K Views
Asubuhi hii niko Idodomya. Nilitumwa na daktari wa Hospitali ya rufaa Mbeya kuja kufanya MRI. Alinipa chaguo la kufika Dodoma au Dar es Salaam. Idodomya ni jirani sana kwangu. Ni mwendo wa masaa...
9 Reactions
21 Replies
4K Views
Mkoa wa Mara ndio mkoa aliozaliwa muasisi wa Taifa hili MWL. Julius Kambarage Nyerere mnamo mwaka 1922 katika wilaya ya Butiama. Ila kimaendeleo upo nyuma katika Kanda ya Ziwa yote hauna hadhi na...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Baadhi ya masuala aliyogusia katika Ripoti hiyo ni kama ifuatavyo: CAG ASHINDWA KUTHIBITISHA MALIPO YA MILIONI 376 KWA MADAKTARI Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Zanzibar, Dkt. Othman...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Hakika muda unakwenda mbio sana na akija mgeni hapa Tanzania akakuta watanzania wanavyo ishi kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita atajiona kama kapotea njia.
9 Reactions
51 Replies
5K Views
Nimepitia CV ya huyu mwamba nikashangaa bado anahitajika ,kwa lipi hasa mtu aliyetakiwa kustafu tangu Januari . Huyu alishindwa kabisa pale Home Affairs hata Polisi wa cheo cha constable walikuwa...
5 Reactions
61 Replies
9K Views
Natafakari sana haya makampuni ya simu kuigomea serikali kupunguza bei ya vifurushi. Katika awamu ya tano tulijionea, serikali ilikuwa ikiamua jambo lake, watendaji waliwajibika kwa wakat na kwa...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…