Karibu sana Mwenyekiti wetu wa Kudumu na wa Milele Freeman Mbowe wa CHADEMA...tunakupenda!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Ama hakika Wewe ndiye Jembe la ukweli na ndiyo maana umeweza Kukaa Gerezani kwa miezi hiyo Minne na bado umetoka huko ukiwa imara zaidi huku ukiwa hata wasiwasi wa Kuondokewa na Mtu ambaye ulikuwa unamuamini na kumkubali sana tu.

Ama hakika Wewe ni Jembe. Na Mimi GENTAMYCINE nawashauri mno wana CHADEMA wenzangu popote pale mlipo kuwa kwa Kitendo hiki cha Mwenyekiti wetu Mpendwa Kukaa huko Gerezani kwa hiyo Miezi yote Mitatu huyu Mbowe ( Mwenyekiti wetu ) tumuache tu atuongoze Milele au mpaka pale tu atakapoona amechoka au vinginevyo.

Na nadhani pia Mwenyekiti wetu Mbowe anastahili Tuzo Kubwa kutoka Kwetu kwani katika Kumbukumbu yangu sijawahi Kuona Mwanasiasa wa Upinzani ambaye amekaa Gerezani kwa Kipindi hiki Kikubwa alichokaa Mwenyekiti wetu Mpendwa Mbowe hivyo anatudai pongezi na Zawadi zetu ili tuzidi Kumpa Moyo na aweze kuwa na ' Mkakati ' Maalum wa Kuwatoa Madarakani CCM na Serikali yake na Mimi kwa ninavyomuona Mbowe anaweza kabisa na hata Mwakani 2020 nashauri tumpitishe tu huyu huyu Mwenyekiti wetu ( Mbowe ) agombee Urais nina uhakika wa 100% kuwa atashinda na kuanzia November 2020 Tanzania hii hii itakuwa chini ya CHADEMA na Tanzania yetu itapata Maendeleo makubwa mno.

Nawasilisha.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,310

Enzi za mwalimu Nyerere kulikuwa na cheo cha Mwenyekiti Mtendaji........nadhani Chadema wameirithi kutoka kuleeeee!
 
BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,051
2,000
Mbowe ndiye Mwenyeki wa C'hama Cha Siasa mwenye mafanikio makubwa yanayotokana na uongozi kuliko yoyote Tanzania.

Amepitia mitihani mingi, amepanda milima na mabonde, hajawahi kutetereka wala kuchuja. Na chama anachoongoza bado ni imara na tishio sana hata kwa mabwana wa taifa hili.

Ni kati ya viongozi wachache sana walio talented
 
Essien jr

JF-Expert Member
Dec 27, 2018
583
1,000
Vyama hovyo kabisa hivi CHADEMA, CUF vinamilikiwa na wakoloni mamboleo.
2015-2018 ongezeko la masikini ni 2 milioni. Hivi mkoloni ni nani?

Ogopa sana viongozi wanaona ni fahali kuwaita wananchi wake masikini na wanyonge kwani ndio kilichofanikisha ongezeko la masikini kwa mda mfupi hivi. Wakoloni mamboleo Nchi hii usipowataja RA+Lowasa +mzilikenda basi wewe unahaki ya kuwa mnafiki wa Nchi, wakisaidiwa cha chao chakavu ccm
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Mbowe ndiye Mwenyeki wa C'hama Cha Siasa mwenye mafanikio makubwa yanayotokana na uongozi kuliko yoyote Tanzania.

Amepitia mitihani mingi, amepanda milima na mabonde, hajawahi kutetereka wala kuchuja. Na chama anachoongoza bado ni imara na tishio sana hata kwa mabwana wa taifa hili.

Ni kati ya viongozi wachache sana walio talented

Hata Mimi naliona hilo Mkuu na ndiyo maana Sisi wana CHADEMA ( GENTAMYCINE nikiwemo ) tunamtia Moyo na kumtaka Mwakani asimpe Mtu yoyote yule Bendera ya Kugombea Urais bali agombee tu Mwenyewe kwani nina uhakika akishindana na Mgombea wa CCM Mbowe atashinda mapema ( asubuhi ) tu kisha atakuwa Rais na atasahau Machungu yake yote aliyokutana nayo Gerezani alipokaa kwa muda mrefu mno wa miezi Mitatu ( 3 )
 
MICHUTZ

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
273
500
Ama hakika Wewe ndiye Jembe la ukweli na ndiyo maana umeweza Kukaa Gerezani kwa miezi hiyo Minne na bado umetoka huko ukiwa imara zaidi huku ukiwa hata wasiwasi wa Kuondokewa na Mtu ambaye ulikuwa unamuamini na kumkubali sana tu.

Ama hakika Wewe ni Jembe. Na Mimi GENTAMYCINE nawashauri mno wana CHADEMA wenzangu popote pale mlipo kuwa kwa Kitendo hiki cha Mwenyekiti wetu Mpendwa Kukaa huko Gerezani kwa hiyo Miezi yote Mitatu huyu Mbowe ( Mwenyekiti wetu ) tumuache tu atuongoze Milele au mpaka pale tu atakapoona amechoka au vinginevyo.

Na nadhani pia Mwenyekiti wetu Mbowe anastahili Tuzo Kubwa kutoka Kwetu kwani katika Kumbukumbu yangu sijawahi Kuona Mwanasiasa wa Upinzani ambaye amekaa Gerezani kwa Kipindi hiki Kikubwa alichokaa Mwenyekiti wetu Mpendwa Mbowe hivyo anatudai pongezi na Zawadi zetu ili tuzidi Kumpa Moyo na aweze kuwa na ' Mkakati ' Maalum wa Kuwatoa Madarakani CCM na Serikali yake na Mimi kwa ninavyomuona Mbowe anaweza kabisa na hata Mwakani 2020 nashauri tumpitishe tu huyu huyu Mwenyekiti wetu ( Mbowe ) agombee Urais nina uhakika wa 100% kuwa atashinda na kuanzia November 2020 Tanzania hii hii itakuwa chini ya CHADEMA na Tanzania yetu itapata Maendeleo makubwa mno.

Nawasilisha.
Mkuu katika ubora wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mitigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,960

Mnafiki mithili ya shetani
 
ngilenengo1

JF-Expert Member
Feb 14, 2012
1,277

Ni kama vile ulikuwa kwenye mawazo yangu. Kwa hakika Nchi hii ikapata kiongozi wa aina ya Mbowe itapata maendeleo ya haraka sana. Nchi hii ian kila kitu imekosa uongozi wenye maono.
Mh. JPM angekuwa Kiongozi mzuri sana ila amepotesa fursa adhim sana kwenye maisha yake, hamna forcus ya nini kitendeke waoi saa ngapi, nani atende nini, uonevu, ubaguzi, uminya democrasia na mambo kama haya. Hali ambayo imesabababisha uwekezaji wa kigeni na ndani kupungua, mitaji ya wafanya biashara inakufa, madeni ya kodi ya ajabu ajab n.k

WATZ BILA KUJALI VYAMA TUMTUNUKU MH MBOWE JUKUMU LA URAIS NCHINI MWETU NA HAKIKA HATUTAJUTA
 
Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
1,975
2,000
Mtoa hoja ni manafiki sana,inaelekea ni middle class aliyeridhika na maisha maadamu wapendwa wake wanaishi above inflation rate,kinachotokea ndani ya chama dola cha watoto kuwarithi baba zao majimbo na ubunge hilo hulioni kabisa na athari zake unazifagia chini ya zuria,but yote haya yana mwisho wake na yatakapofika wimbi kubwa la ukimbizi wa kisiasa kwa watawala hawa litajitokeza.
 
Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
13,353
2,000
Mtoa hoja ni manafiki sana,inaelekea ni middle class aliyeridhika na maisha maadamu wapendwa wake wanaishi above inflation rate,kinachotokea ndani ya chama dola cha watoto kuwarithi baba zao majimbo na ubunge hilo hulioni kabisa na athari zake unazifagia chini ya zuria,but yote haya yana mwisho wake na yatakapofika wimbi kubwa la ukimbizi wa kisiasa kwa watawala hawa litajitokeza.
Mkuu hilo la watoto kuwarithi Baba zao lipo dunia nzima. Hata CHADEMA lipo pia, tafuta taarifa binafsi za wabunge ndipo utagundua kuwepo kwa undugu ndani ya chama.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom