Kumbukizi: Video ya Hotuba ya Dkt. Bashiru

Mindi

JF-Expert Member
Apr 5, 2008
3,328
2,000
Hakika muda unakwenda mbio sana na akija mgeni hapa Tanzania akakuta watanzania wanavyo ishi kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita atajiona kama kapotea njia.

View attachment 1795326
Kwa hakika Bashiru alijikweza mno, japo pengine tabia ya Bosi wake, mzee Keko, inaweza ikawa ilichangia. Sasa yeye ni viti maalum, kina Jafo na msajili wa vyama wanadunda. Ipo haja kujifunza kuwa na akiba ya maneno, kuwa na lugha za kistaarabu, na kuwa muungwana. Inasaidia sana pale unapodondoshwa puuuu!
 

Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
3,839
2,000
PhD holder anashindana na std vii kina Kibaja na Jah people
Kwa viwango alivyoiathiri nchi yetu nadhani hata alipo sasa hakustahili.Ila kwa kuwa awamu hii imeamua kumrekebisha badala ya kumwadhibu,yafaa ajifunze pamoja na wengine wenye tabia na mitazamo ya namna hiyo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom