Hii kasi ya ujenzi wa ofisi za CHADEMA Nchi nzima tena kwa michango ya kawaida ya wanachama wao ni ya kupongezwa

UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
5,183
2,000
Wewe acha acha huo upuuzi wa kukipaka mafuta kwa mgongo wa chupa chama chetu kikubwa cha upingaji. Tunahitaji chama imara cha upinzani ili kujenga demokrasia imara. Kiwanja tu cha kujenga ofisi ya makao makuu ya chama hawana, halafu unasema ofisi zinajengwa nchi nzima! Bro acha hizo fix.
 
Pac the Don

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
986
1,000
Wewe acha acha huo upuuzi wa kukipaka mafuta kwa mgongo wa chupa chama chetu kikubwa cha upingaji. Tunahitaji chama imara cha upinzani ili kujenga demokrasia imara. Kiwanja tu cha kujenga ofisi ya makao makuu ya chama hawana, halafu unasema ofisi zinajengwa nchi nzima! Bro acha hizo fix.
Masikini wabongo daaah 🤣🤣🤣 Yaan hata jambo dogo kama hilo mmeshindwa kufuatilia ukwel wake? Nimegundua humu kuna watu wao wakiona post ya kuhusu CDM baas hakuna kutoa hoja ni kupinga na kubeza bila facts!!
 
potokaz

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
379
500
Uongo mtupu! Leta evidence. makao makuu mmepanga kwa Mbowe, hizo ofisi za mikoa mtajenga na nini. Hiyo hela ya wabubge viti maalumu haitoshi, ingawaje mnawakataa lakini pesa yao mnaweka mfukoni.
Wewe si umeshaambiwa watu wanachanga.
Hujaelewa nini?
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
42,634
2,000
Makao makuu kama kijiwe cha kahawa,
leta picha tuone ujenzi.

Hilo la ujenzi ni bora ukae kimya tu maana ofisi zipo na tumechanga buku buku. Kwa taarifa yako cdm imetoka kuwa chama cha siasa, na siasa imegeuka ni imani. Unapoona chama kinaweza kuwa na wafuasi wake wanajenga ofisi zao kwa kujitolea ujie hicho chama hakiwezi kufa tena. Nawapongeza sana cdm kwa kuruka kiunzi cha ruzuku, ambayo imekuwa ikitumika kumaliza vyama vya upinzani.
 
Chama smart. Viongozi smart!
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
42,634
2,000
Miaka yote walikua wapi, kwanza watupe matumiz ya Ruzuku walizokua wakipata tangu chama kimeanzishwa kama sio Ufisadi na wizi mtupuuuuuuuuuuuuuuuu

Miaka yote kilikuwa chama cha siasa, ila sasa kimegeuka Imani ndio maana wanajenga ofisi zao kwa fedha za wafuasi wake. Kwani wanakukera?
 
sweettablet

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
7,480
2,000
Hilo la ujenzi ni bora ukae kimya tu maana ofisi zipo na tumechanga buku buku. Kwa taarifa yako cdm imetoka kuwa chama cha siasa, na siasa imegeuka ni imani. Unapoona chama kinaweza kuwa na wafuasi wake wanajenga ofisi zao kwa kujitolea ujie hicho chama hakiwezi kufa tena. Nawapongeza sana cdm kwa kuruka kiunzi cha ruzuku, ambayo imekuwa ikitumika kumaliza vyama vya upinzani.
Acha porojo. Hizo mwachie Mbwiga. Hapa Jijini Mwanza mnajenga wapi ofisi?
 
sweettablet

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
7,480
2,000
Hapo ulipoona kujenga ofisi nchi nzima kuna mahali kasema kujengwa kwa wakati mmoja? Ni hivi, ujenzi wa ofisi sehemu mbalimbali unaendelea nchini, sana sana mjiandae uvccm kwenda kuzichoma, ila hatua ya ujenzi iko kwenye utekelezaji as we speak.
Ahahahahahahahahahahah!!!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom