Maono: Namuona Tundu Lissu akiachana kabisa na siasa na kujielekeza kwenye kazi ya Mungu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,850
141,770
Kwa namna alivyopita katika tanuru la kisiasa na misukosuko yote ile, namuona Tundu Antipas Lissu akiachana kabisa na mambo ya siasa na kwenda kutoa ushuhuda wa yale Mungu amemtendea. Ni kwa neema ya Mungu tu Lissu alipona katika tukio lile la kijambazi, hivyo ana kila sababu ya kwenda kuihubiri injili ya uponyaji. Chadema wamwache Lissu na familia yake sasa ili wapate fursa ya kuwa na maamuzi yao kama familia na chama kirudi huku duniani kuendelea na shughuli za siasa zilizosimama kwa zaidi ya mwezi sasa!
 
Inaonekana nawewe ulishiriki kutaka kuyakatiza maisha ya mh Lissu
 
Kwa namna alivyopita katika tanuru la kisiasa na misukosuko yote ile, namuona Tundu Antipas Lissu akiachana kabisa na mambo ya siasa na kwenda kutoa ushuhuda wa yale Mungu amemtendea. Ni kwa neema ya Mungu tu Lissu alipona katika tukio lile la kijambazi, hivyo ana kila sababu ya kwenda kuihubiri injili ya uponyaji. Chadema wamwache Lissu na familia yake sasa ili wapate fursa ya kuwa na maamuzi yao kama familia na chama kirudi huku duniani kuendelea na shughuli za siasa zilizosimama kwa zaidi ya mwezi sasa!
Real?? Kijambazi...!!!
How?
 
Utasubiri sana Lissu kupanda madhabahuni. Hujui kuwa kazi anayoifanya sasa ni maagizo ya Mungu na ndio maana akasema "mwanangu Lissu hutakufa ila utaishi upate kuwatumikia watu wangu dhidi ya hawa viongozi washirikina, wauaji na mafisadi hadi kieleweke'
Mkono was Mungu tumeuona dhidi ya risasi 38
 
Kwani siasa ni kazi ya nani?
 
Mimi nimeshachoshwa na habari za Lissu na matusi ya washabiki wake.
 
Utasubiri sana Lissu kupanda madhabahuni. Hujui kuwa kazi anayoifanya sasa ni maagizo ya Mungu na ndio maana akasema "mwanangu Lissu hutakufa ila utaishi upate kuwatumikia watu wangu dhidi ya hawa viongozi washirikina, wauaji na mafisadi hadi kieleweke'
Mkono was Mungu tumeuona dhidi ya risasi 38
Duh!:D:D:D:D
Ulikuwepo wakati Mungu anatoa maagizo hayo Kamanda?
 
Back
Top Bottom