Rais Samia arejea Dodoma Leo Juni 01, 2021

Rais Samia arejea Dodoma Leo Juni 01, 2021

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,318
Reaction score
9,427
Wadau wa JF

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Jumanne Juni 01 amerejea Makao Makuu ya nchi Jijini Dodoma

Rais Samia alipowasili uwanja wa ndege wa Dodoma alipokelewa na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa Antony Mtaka

*Kazi iendelee
 
Amekuja kufungasha arudi rasmi Dar. Chapa lapa Wewe
 
Taarifa za Rais kuzurura zina umuhimu gani hadi uposti hapa?
 
Wewe ndiye umepewa kazi ya kuwa msemaji wa Ikulu?
 
Itaongeza shuka 200 hospitali ya mirembe mkuu.. 😂
Nchi yakisengesenge sana hii.
go mama Samia, go!
tembea na kwa haki na kwa muongozo wa Mungu tu, maadui watateketea wenyewe bila wewe kusema neno au kufanya lolote lile. amini nakwambia!
 
Tayari kuapisha....nz kuteua tena wengine...acha kazi iendekeee....
 
Back
Top Bottom