Mkuu wa mkoa wa DSM Mh. Makonda amesema mkoa wake umetenga hospitali 25 jijini zikiwemo zile za Rufaa na baadhi ni binafsi ili kuhudumia watu wote wanaojihisi wana dalili za corona.
Makonda...
Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.
Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo...
Wasalaam wadau,
Wakati fulani katika awamu ya tano, kiliibuka kikundi cha kusifu na kuabudu viongozi hata kufikia kutaka kubadili katiba ili kuwaongoza muda viongozi walio madarakani, sio nia ya...
JF
Katika kitu mama amefanikiwa ndani ya muda mfupi ni kurejesha nidhamu ya viongozi wateule wa rais.
Itakumbukwa hapo nyuma wakuu wa mikoa ya Mbeya na Iringa walijiona ni miungu watu ndani ya...
Maoni yangu:
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa taarifa ya utendaji wa Serikali kwa siku 78 za Rais Samia Suluhu ofisini-Ikulu. Pamoja na mambo mengi mazuri, taarifa hiyo ina...
Waziri Faustine Ndugulile amesema hawayavumilia makampuni yanayotoa siri za wateja wao akitolea mfano mtu kupigiwa simu na kuambiwa Salio lililopo.
Pia waziri Ndugulile amekemea wahudumu wasio...
Baada ya Serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani na kuanza kwa kasi kubwa, tumeshuhudia viongozi wengi wakiondolewa kwenye nyadhifa zao na wengine kujiondoa wenyewe kabla ya makubwa...
Mwanafunzi Josephat John hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB
OR-TAMISEMI,DODOMA
Mwanafunzi Josephat John aliyekuwa anasoma kidato cha nne shule ya Sekondari Kom iliyopo kwenye...
Binafsi nampinga Freeman katika mambo mengi lakini namkubali sana kuwa ni kiongozi asiyekumbatia siasa za maji taka.
Pamoja na uovu wote aliotendewa huko Hai chini ya Mwenyekiti wa kamati ya...
Msemaji mkuu wa serikali Mh Gerson Msigwa ametolea ufafanuzi tangazo la serikali linalohusu chanjo ya Corona.
Msigwa amesema chanjo iliyoruhusiwa ni kwa ajili ya wafanyakazi wa balozi na taasisi...
Kubwa lijalo sasa Zanzibar kuna mhaho mpya wa kutaka kujua tafsiri ya Mzanzibari mkaazi ni nini maana yake na hata kufika ktumika katika vitambulisho vya utaifa wao?
Mbona huku Tanganyika hakuna...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, David Silinde amesema serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure hivyo wazazi washiriki katika kutoa michango mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya...
ALL PATRIOTS SHOULD SUPPORT PRESIDENT SAMIA
By: Jenerali Ulimwengu
Back in the mid-1990s a group of us who served in parliament got into the habit of meeting old man Julius Nyerere at his...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amepokea salam za pongezi kwa niaba ya CCM kutoka kwa mwanasiasa mkongwe nchini na mbunge mstaafu Mzee Crisant Mzindakaya.
Katibu Mkuu...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, amesema hajui chochote kile kuhusu kudaiwa au makontena yaliyokamatwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Hivi karibuni Mamlaka ya Mapato (TRA)...
Niliwahi andika humu nikionya kwamba Sera mbovu za kodi na viwanda inaenda kusababisha kufungwa kiwanda cha Tumbaku Moro na hivyo kupelekea kupoteza zaidi ya ajira 1000 za moja kwa moja.
Wapiga...
Hotuba ya Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo kwa Kamati Kuu Juu ya Hali ya Siasa Nchini Tanzania
Ndugu Mwenyekiti wa Chama Taifa,
Ndugu Makamu Wenyeviti, Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar...
Jimbo la Tabora Mjini ni miongoni mwa Majimbo ambayo yametoa wasaliti wa Covid 19 , Hawa Mwaifunga anatokea Jimbo hili , hivyo ni lazima kuwekwe mikakati maalum kwenye jimbo hili , na ndio maana...
Nimeona aibu sana na niliondoka kimya kimya huku nikisononeka inakuwaje Rais wa Nchi anajidhalilisha kwa mcheza mpira? Au ndio ukisikia itifaki imezingatiwa ndio huku?
Tena kwa red carpet kesho...