Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais amesema Leo kuwa Ma-DC wote wapya watakuwa vijana maana karibuni anataka kufanya mabadiliko makubwa na wote watakaochukua nafasi ni vijana. Kama ni kweli hii basi Natoa pongezi kwake...
9 Reactions
90 Replies
11K Views
Ndugu wanajamvi leo nataka nigusie kuhusu wimbi letu la vijana wa hili taifa la Tanzania: Moja, vijana tupambane katika kutafuta riziki ya kila siku vijana tujikubali na tuweze kuuachia ubongo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
DC OLE SABAYA ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai inasemekana shutuma zote ni za Uongo. Ikumbukwe Sabaya alikuwa UVCCM Arusha na alikuwa anajifanya ni TISS kama ambayvo Happi amekuwa akiongopea...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani akabidhiwa zawadi ya Ng'ombe dume na jike. Zawadi hiyo imetolewa na vijana wa mkoa wa Mwanza ikiwa ni shukrani kwake kwa kuendelea...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Leo Rais ametunyoshea mkono vijana kwa kuwa hatueleweki. Hatuna mipango. Amesema kuwa Vijana wamekuwa wabeba maono/ Mabegi wa watu. Hatuna dira kama Vijana hata sera ya tangu 2007 haina maboresho...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
HOJA ya Katiba mpya imeanza tena kuibuka kwa kasi kidogo, kwa maelezo kwamba hiki ni kipaumbele cha taifa kwa sasa. Kwamba baadhi yetu wanaamini kwamba bila Katiba mpya hatuwezi kupiga hatua za...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Sisi vijana kwa kweli tumefurahi sana. Sana safari hii tumepata Rais Jembe hasa. Yaani ameshaonana na makundi yote ndani ya muda mchache sana. Ashaonana na wazee (na tunashukuru mzee wetu mwinyi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Maduka ya kubadilisha fedha za kigeni Arusha karibu yote yako chini ya ulinzi wa wanajeshi wakiwa na mitutu kwa kile kinachoitwa operation. Its truly happening in Arusha. -------- Ulinzi mkali...
39 Reactions
877 Replies
159K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mara Samuel Kiboye maarufu kwa jina la Namba tatu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza nchi hadi mwaka 2030 kwani wananchi wa Kanda ya Ziwa...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari, Wakuu wafanyabiashara wanakwepa sana kodi kwa kutotoa risiti na kutoa risiti pungufu ya mali iliyonunuliwa na wanunuzi hawadai risiti. Ukidai risiti muuzaji anadiriki kusema eti risiti...
6 Reactions
89 Replies
6K Views
Kiukweli nimepitia Sera na ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015 na kugundua mambo mengi mazuri ayafanyayo Dr Magufuli ama ni maono yake binafsi au ni maaumuzi halali ya chama yaliyopitishwa...
8 Reactions
66 Replies
5K Views
Habari wadau..! Huku mitaani wenye nyumba tumeipokea kwa furaha sana bajeti ya Mwigulu Lameck Nchemba. Kwa sasa tutakuwa hatusumbuki tena kwenda bank kulipa kodi maana kodi zitalipwa...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Mheshimiwa Rais utakapoanza kudhuru kwa wakuu wa wilaya usimsahau mkuu wa wilaya ya ukerewe Bw. Lucas magembe Mkuu huyu wa wilaya tangu apangiwe majukumu yake katika wilaya ya ukerewe amekuwa ni...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Juzi wakati Rais Samia alipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete [siyo ule moyo wa Kikwete 🤣 uliopo ndani ya kidari chake], alisema kuwa alifarijika kusikia kwamba miongoni mwa wagonjwa...
18 Reactions
90 Replies
52K Views
Nimepita maeneo mbalimbali nimejionea namna shirika la reli limekuwa likitunza mavyuma chakavu kama mabehewa mataruma na makaravati ambayo yamechakaa. Hivyo nashauri mali hizo ziuzwe kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya kusomwa kwa bajet ya serikali kwa mwaka 2021/22, kumekuwa na mijadala lukuki kuhusu vyanzo vya fedha kupitia ulipaji wa kodi. Serikali imekuwa ikiwaogopa wananchi kuwaelimisha Watanzania...
1 Reactions
1 Replies
573 Views
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/kilio-watanzania-64-waliofanyiwa-majaribio-dawa-ya-ukimwi-1--3436484
1 Reactions
5 Replies
989 Views
Mbunge Munde Tambwe amemuomba Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba kuhakikisha Fedha zinazokusanywa na Serikali zinaelekezwa kwenye Maendeleo badala ya kulipana posho. Akizungumza katika...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanabodi baada ya kutafakari kwa kina uongozi wa awamu ya tano baada ya kuwaongezea Kinga ya kuto kushitakiwa Viongozi mbali mbali hapa nchini husani Rais, Spika wa Bunge Mkurugenzi wa Mashitaka...
2 Reactions
12 Replies
938 Views
Wakuu wameanza tena, Wanasema mama mpaka 2030 na atakayempinga atakiona. Najaribu kuwaza hawa watu tunaposema "Kila amtegemeae mwanadamu amelaaniwa" hawaelewi? Awamu ya Tano walianza hivihivi...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…